Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot_20220424_164236_com.android.chrome_edit_102709730146305.jpg


Hivi ikitokea kuna mpenzi wa ku beti aliweka Liverpool anashinda yote manne yaaani EPL, Carabao, FA na kubwa lao UCL basi huyo atakua tajiriiiiii.

Malaika wa ushindi wawe nasi.

YNWA
 
Wana Liverpool wenzangu tusife Moyo hata KIDOGO.
Ni Maombi tushinde game zetu tu.
 
Msimamo wa EPL mpaka mida hii

Screenshot_20220424_175959_edit_107062028908141.jpg


Baada ya ushindi wa Burnley leo majirani wetu Everton haooo nafasi ya 18 ina maana hali kwao inazidi kua tete.

YNWA
 
Naona mnaenda kuwaonea tu Everton wa watu.

Hii itakuwa moja kati ya derby nyepesi kabisa kuwahi kutokea katika msimu huu.
 
Mido pendwa ya mashabiki hii iendelee kufanya vyema mana hapo anaviziwa aflop mtu kelele zianze.

Walau kocha kapunguza upendeleo japo atamuingiza Milner kama kawa
Hahahaha bhanaaaa wametega aisee uone twita na kwingine kukiwaka moto.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom