[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni fair play, mbna wote wanajuana ni wakali ktk soka, kushow love na respect ni must. Afu pale sisi ni wenyeji ko lazima tuwakarimu wageni wetu. Wajione wako kwao. HahahahLakini uliona kocha wako alivyo mkumbatia Klopp kwa nguvu? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Alijua kabisa Klopp sio wa mchezo mchezo maana alijua kabisa ile game kushinda ni kazi.
Lakini wakati wa sasa unaonesha ishara ya wakati ujao. au wee unasemaje?Nikubali Nini mdogo etu?
Nyie wenzetu mnaishi wakati ujao?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] points 10 bhana cc, mbna una moto mnoo.Wapo wanatufukuzia point 11 ambazo hata wangetenguka viuno hawatupati[emoji23]
Nashangilia sare mie au nyie wenyewe mna haha? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo unashangilia sare[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawa mashabik mamluki wa shit NI TATIZO ZAIDI YA BEI YA MAFUTA..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani ndo ulie sasa? Hebu relaaaaaaaax.Sawa, sheikh YAHYA
Kwanza hawaujui mprira hawa wao niwashangiliaji tu, kwanza ukimpigia sim haraka haraka huyu akutajie wachezaji wa Man city hajui ataanza kukuambia Lukaku, Ronaldo na Messi [emoji1787][emoji1787][emoji1787], haya ukimuuliza jana man city alicheza mfumo gani? Hajui huyu. Huyu ni kama OllaChuga Oc Ambaye haifatilii tim yake eti anaangalia Livescore [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mamluki ni wengi sana. Haya mambo ya babu alikuwa anashabikia City au Chelsea ndio yanayo wakuta hawa vijana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwahiyo unashangilia sare[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawa mashabik mamluki wa shit NI TATIZO ZAIDI YA BEI YA MAFUTA..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtaliwa wote wee na hawa wenzio. Hatuwaachi mwaka huu.Jumapili piga hizi kuku maana zimezidi ngebe zinajiona zenyewe basi ndio timu Bora kumbe ni upepo TU umewatembelea..halafu tukutane Wembley nikukule[emoji23][emoji23][emoji23]
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan guardiola atakuja vile vile? Si atakuja kivingine naye? Nyie kipigo kiko pale pale. Hilo hali epukiki mbna.Anilize huyu Manchester City oiled by Mansour billions no way and yet you guys can't win UCL that the big boys league.
Haya Jumamosi Klopp kashasema atajihidi kuja kivingine maana jana haiku siku powa kibaruani kwetu.
YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waeleze waeleze.Mmeshaanza kusingizia ramadhan [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]benifica mmemfungaje Sasa au man city kumfunga mpaka mtoke kwenye mfungo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko swaumu ya jana kali eeeeh? Nyie livakuku mistake kuchekesha watu hapa jamvini khaaah.Mane na Mo walikuwa wamefunga na ndio ugumu ulianzia kwao, ukimuangalia Mo hakuwa yule wa siku zote hii ni kwa sababu hakuwa na nguvu za kupambana same to Mane , tofauti na City wachezaji wao wengi au wa muhimu hawakuwa kwenye mfungo ukitoa Mahrez, hili liliifanya timu yetu kupotea.
Ramadan ilikuwa ni sababu pia???? [emoji848]
Jitoe ufahamu hivyo hivyo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukweli upi sasa ??????
Unajipitisha pitisha na kanga moko kwa wanaume? [emoji1787][emoji1787] Tutakukula tunda kimasihara sisi.Nashangilia sare mie au nyie wenyewe mna haha? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Share tyuu mnaanza kuweweseka je mngenyukwa? Hahahah
Muda utasema. Ni dakika 90+ ama matuta.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan guardiola atakuja vile vile? Si atakuja kivingine naye? Nyie kipigo kiko pale pale. Hilo hali epukiki mbna.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana tena mnooo, ko sare ya jana ndo imewafanya muwe hivyo? Je mngenyukwa?Kwanza hawaujui mprira hawa wao niwashangiliaji tu, kwanza ukimpigia sim haraka haraka huyu akutajie wachezaji wa Man city hajui ataanza kukuambia Lukaku, Ronaldo na Messi [emoji1787][emoji1787][emoji1787], haya ukimuuliza jana man city alicheza mfumo gani? Hajui huyu. Huyu ni kama OllaChuga Oc Ambaye haifatilii tim yake eti anaangalia Livescore [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mamluki ni wengi sana. Haya mambo ya babu alikuwa anashabikia City au Chelsea ndio yanayo wakuta hawa vijana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hatuendi na nyie matuta, tunawachinja dkk 90 ndani zile halisia.Muda utasema. Ni dakika 90+ ama matuta.
YNWA
Sasa unatoka nje ya mada vipi tena, kwan huwezi kuongelea masuala ya mpira bila kuhusisha hivyo?Unajipitisha pitisha na kanga moko kwa wanaume? [emoji1787][emoji1787] Tutakukula tunda kimasihara sisi.
Jana Fabinho hakua mchezoni sijajua lile jeraha la Lisbon hajapona kabisa ama niaje maana umakini wake jana sio kiwango chake kwenye gemu kama ile.Jana tulizidiwa hasa kipindi cha kwanza. Anyway bado sijakata matumaini
Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
Tyuuu ndio nini?Sasa unatoka nje ya mada vipi tena, kwan huwezi kuongelea masuala ya mpira bila kuhusisha hivyo?
Hapa tunazungumzia mpira, wee mwenyewe shabiki wa mhemko tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee jana mpo nyumbani na mmechemka.Hatuendi na nyie matuta, tunawachinja dkk 90 ndani zile halisia.
Benifica hatuna presha nao hata tukitoa sare ni ushindi tu.Jana Fabinho hakua mchezoni sijajua lile jeraha la Lisbon hajapona kabisa ama niaje maana umakini wake jana sio kiwango chake kwenye gemu kama ile.
Nina amani na sare.
Sasa Jumatano hii tumalize kazi na Benfica.
YNWA