Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot_20220410_145228_com.android.chrome_edit_39242181004948.jpg

Huyu dogo kule kwao Colombia anatoka jamii ya asili yaaani kidakidaki kama vile wamasai walivyo hapa. Sasa kule hakuna mamikate wala masoseji nk haha kule wanakula magimbi, viazi tamu nk ndio maana dogo anakimbia dakika 90+ aafu kapoa kama maji ya mtungi.

Ma scouts wamevamia kule kusaka Diaz mwingine haha ukute na jamaa yetu Mosdef yupo kule ku profile upcoming talent Hahaha.

YNWA
 
Hii ndio mechi yetu ya ubingwa leo tunahitaji kushinda tu na sio matkeo mengine, Baada ya Fixtures hii ya leo sioni Man city akidrop point tena kwa mevchi aizonazo.
 
Hii ndio mechi yetu ya ubingwa leo tunahitaji kushinda tu na sio matkeo mengine, Baada ya Fixtures hii ya leo sioni Man city akidrop point tena kwa mevchi aizonazo.

Anaweza kudrop Na wolves,ila tusitegemee afungwe yeye ndio sisi tuchukue ubingwa bali sisi kushinda kila mechi ikiwapo mechi ya leo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom