Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot_20220409_223438.jpg

Hii ligi jamani.

Son kabla ya leo alikua na magoli 14 sasa leo kapiga hat trick huyoo mpaka magoli 17 na Salah 20.

Kwa hali hii Salah ajiangalie kwa kweli vinginevyo hiki kiatu cha mfungaji bora wa ligi msimu huu atapishana nacho.

YNWA
 
Nyie matakataka subiri nipone maumivu ya Madirid hakika najipanga nitatema Cheche hapa Hadi muombe poo..
#CFC💙💙💙
Maumivu kama kawaida yanazidi kuisha hahaha .. maake apo ncheke kwanza 😂😂😂 ..kipigo tulichotoa Leo ni salamu tunatuma uko uefa mjipange nawaambia ..maana ni mwendo wa kurudisha tulichopoteza.
Sisi ndio Chelsea bwana alaah..tutakushangaza muda wowote..
#CFC💙💙💙
 
Man shitye kesho nipigieni hizi kuku maana zimezidi ngebe zinajiona zenyewe basi ndio timu Bora kumbe ni upepo TU umewatembelea. Ninyi tunajua huu msimu kombe lenu ni moja Tu Carabao, mengiee yapo nje ya uwezo wenu.
 
Mwanaume unamsifia mwanaume mwenzako kipiga dem bao nyingi wakati wewe unaishia kimoja, huo ni udem utapelekwa mombasa ww.
 
Man shitye kesho nipigieni hizi kuku maana zimezidi ngebe zinajiona zenyewe basi ndio timu Bora kumbe ni upepo TU umewatembelea. Ninyi tunajua huu msimu kombe lenu ni moja Tu Carabao, mengiee yapo nje ya uwezo wenu.
Kweli jukwaa la vipodozi limekuharibu saivi umeamia man shity hahaha

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2182055

Hii ligi jamani.

Son kabla ya leo alikua na magoli 14 sasa leo kapiga hat trick huyoo mpaka magoli 17 na Salah 20.

Kwa hali hii Salah ajiangalie kwa kweli vinginevyo hiki kiatu cha mfungaji bora wa ligi msimu huu atapishana nacho.

YNWA

Mkuu usiwe na wasiwasi kabisa kiatu ni cha salah.

Huyo son utakuta mechi ijayo anaumia.kumkaribia ni ushindani tu wakawaida hata yeye alikuwa anawakalibia hivyo hivyo.

Kwa kuangalia unaweza kuona kama rahisi lakini Sio rahisi kama wewe unaovyoona utakuta baada ya hapo son hafungi tena, beki zinaongeza umakini kumzuia.
 
Hapana aisee Spurs wako vizuri na Kane ni false 10 safi sana kwao akiwepo uwanjani asipokabwa vyema basi dogo Son ataedelea kufunga ndugu yangu akiwa mzima . Kwamba Son hawezi kumfikia Salah sio sahihi anamfikia vizuri tu endapo huu ukame wa Salah utaedelea. Wasiwasi wangu ni Salah apaniki aanze kuwaza Son anamfukuzia na aanze zile kosa kosa zake na kutotoa pasi kwa wengine kisa tu anawaza kiatu cha mfungaji bora. Hii kwetu itakua sawa kama Salah akiwa makini zaidi golini.

Hivi umeangalia mechi za Spurs hivi karibuni?

Kane namba 10 inamfaa mno anajua wapi apige pasi na Son atakuwepo.

Binafsi ingekua biashara na Levy ni nyepesi long time ningesema huyu dogo Son atue Liverpool yaaani ni mpambanaji matata sana.

Nimeona ma pundits wengine wanamshauri Kane aje Liverpool hahaha jamani hivi nani ana hamu kufanya biashara na yule kipara Daniel maana atahakikisha anafanya revenge kumkosa Diaz. Kwa kweli atulie alipo.

YNWA
 
Walianza kelele wanaitaka nafasi ya 3, wanataka wamtoe Chelsea
Bwana wee sijui uchovu ama namna gani maana sio kawaida kuona Mikel akiwa mpole vile.

Brighton ukitaka kuwaona vyema wakutane na timu inayosaka ushindi pale ndio hua wanaamsha. Kwa bahati mbaya ufinyu wa kikosi unawagharimu lakini ni moja ya timu inayofundishwa mpira safi kabisa. Hata Klopp alisema akiwa na muda hua anapenda kuangalie mechi zao.

YNWA
 
Epl ni ya kueshimiwa sana kwenye ligi bora.
Hakika inastahili heshima yake hii ligi.

Yaani jana Manchester United anaesaka nafasi ya nne kazimwa na Everton anaesaka kubakia EPL. Haya mambo mazito sana.

Ronaldo jana kwa hasira mpaka akapasua simu ya shabiki haha inauma jamani asikwambie imagine mchezaji kama Ronaldo mpaka anapasua simu na kumjeruhi dogo yule kisa wamepigwa yaaani asa alidhani walivyocheza hovyo jana kweli wangepata ushindi gani.

Epl baba lao.

YNWA
 
Screenshot_20220410_144928_com.android.chrome_edit_39268428648694.jpg

Haya mpo juu ya Liverpool wakati hata uhakika wa kushiriki Uefa msimu ujao hamna.

Shame on Rio.

Waheshimu Liverpool kwa sasa Manchester United ni zilipendwa hata Watford anajipigia tu na haringi wala nini.

YNWA
 
Screenshot_20220410_145437_com.android.chrome_edit_39232817665367.jpg

Aisee muda unazidi kusogea.

Hii gemu kuangalia inabidi uwe na moyo wa chuma maana hakuna kibonde hapa wote wanakutana wanajua.

Kwa wale wenye presha jamani mtazame na glasi ya maji pembeni kupoza joto.

YNWA
 
Mwamba wetu
Kijana mnyenyekevu

Mungu wa Mbinguni azidi kumtunza jamani.
Happy birthday kwake
Dogo hana Makuu aafu sijui kwa nini mashabiki pale Anfield hawanaga mzuka nae kama Firmino na Salah lakini wala yeye hana mambo mengi ni kazi kazi kwake.

One of the most underrated player of all time pale Liverpool.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom