Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dogo anakila sababu ya kuja kuwa [emoji93]

Imagine ameshatishia namba kwa mane, takumi, Jota , Origi, Bobby kwa muda mfupi tu hivi.
Dogo anapiga na miguu yote miwili na yupo chap kama umeme yaaani huyu chini ya Klopp niseme Sky is the limit.

YNWA
 
Aisee nacheka kwa dharau Sana [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hivi unadhani Atletico ataanza tu game kwa kupaki basi?

Ataianza game kwa kukuwashia moto mpaka apate goli 1 tu then atapaki Basi avizie Kaunta.
"ataanza game kwa kukuwashia moto mpaka apate goli 1 tu then apark bus kusubili counter attack". Najua mna maumivu makubwa Sana jeraha alilowapa semion hapo anfield Bado linawatesa na Bado hamuamin kuwa man city kashamiweza semion na tunaenda kumtoa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]


[emoji28]nacheka kwa dharau Sana nikiona hii comment "et atawasha moto mpaka apate goli 1 " too emotional yaani inaonekana huamini kabisa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mkuuu hivi kama unaakili timamu naomba uangalie kama hio picha hapo huo ni mkono au mguu ulioshika mpira ,mtakufa kwa kuedit mpaka mkome [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Simeion kafanya Nini Sasa pale ,,,kashafungwa Bado unasema unamuaminia [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] daaa endelea kuteseka mkuu
 
Rudi nyuma ka edit vzuri mkuu ,unazidi kuonesha ujinga wako hadharani na kila mtu humu anakuona mamruki tu ......angaliaa hapo kama huo ni mkono mlioweka au mmeedit mpaka mkasahau[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kuku ni kuku tu walahi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Mkuu hao atletico tulikuwa kundi moja mechi zote mbili tumewafunga yaani nje ndani tumejipigia.
 
Usha panic sana Mr Citizen.

Haijalishi unachokiamini wewe ukweli upo wazi kuamini ama la ni hiari yake ndugu.

YNWA
 
Kwamba hata Mwajili wa Marefa UK hakuwaomba msamaha Everton kwa maamuzi sio sahihi kunyimwa ile penati wewe haya jitoa ufahamu haya yote wala sio mimi ama Liverpool yapo well documented mahala sahihi ni rekodi zipo.

Ushindi wako dhidi ya Everton ni ushindi wa mchongo hakuna kingine aidha makusudi ama la watajua wenyewe ila Paul na Chris.

Penye ukweli sema ukweli ndugu unaweka ushabiki pembeni tafuta ile mechi tazama tena utaona hata Rodri mwenyewe alijua ameua gemu ila kwa vike ukweli mchungu wewe komaa tu.

YNWA
 
Kwa performance ya Leo nasema tena leteni Hilo jogoo Etihad tulimangeee [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa performance yetu kule Lisbon kwa kweli tupo tayari kwanza sina uhakika kama Wanda mtatoka salama.

Mchague moja sasa aidha mkomae na EPL mpambane haswa Jumapili mtoke kifua mbele ama mhifadhi nguvu kumwedea mazima El Cholo nyumbani na hua hafungiki kirahisi.

Ukumbuke Pep mission yake kuu ni kuwapa Mansour taji ambalo wanaliota la UCL lakini kwa namna mlivyocheza jana sina hakika kama kule Wanda Metropolitano mtatoka kifua mbele.

YNWA
 
somehow uwepo wa marefa wote wawili toka Manchester ni advantage kwetu,
kwanza pressure itakua kubwa kwao kuipa advantage ya aina yoyote city,
pili kosa lao dhidi ya everton litaendelea kutawala vichwa vyao, hivyo hawatakua radhi ku-jeopardize carrier zao kwa kuibeba city kwa mara nyingine

it could be a blessing come sunday, na sitashangaa tukipewa favor somehow
 
Hakika Everton wakishuka hawa jamaa watakua na maisha magumu Sana...
 
We ndo hauna akili timamu maana umeshindwa kuielewa hiyo picha inamaanisha nini...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…