Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jamani

Touch wood

Huyu jamaa kila akigusa ardhi huwa nakua nervous

Msianze kumtia mikosi
 
Ngoja aje hapa Huyu Ollachuga tuone namna gani atawatetea takataka wake[emoji38][emoji38]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Aje wapi abakie Darajani kupiga sala kama zote maana hali tete timu yenyewe haina mwenyewe mpaka sijui April hukoo.... Hapa hatutaki kelele humu tumetulia tuliii tunakwenda Ureno kwanza tuna jambo letu.

YNWA
 
Jana mara ya mwisho nimeona akitolewa bar akiwa kwenye machela. Sijajua hali yake kwa sasa nilikuwa busy sijaenda kumcheki.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hahahahaha atakua kalazwa tu huyo hakuna namna.

Timu haina mwenyewe aafu anachezea 4 nyumbani unadhani mchezo maumivu ni makali yaaani leo wanapita humu kimya kimya kama hawamo vile πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Ataziduka baada ya kusikia kama Benzema amezimwa ama la.

YNWA
 
Nacheck marudio hapa

Aisee Allison ni fundi[emoji119]
Ile dakika ya 21:24 tungepigwaView attachment 2174622

Allison sio wa kawaida ujue.

Huyu mwamba ni sweeper keeper maanake ma beki wanajiamini kucheza high line kiasi hata wakipitwa wana uhakika angalau Allison atafanya anachofanya vyema na kuzuia magoli kwa miguu, kichwa, mikono, mbega nk yaaani pale Roma tuliwapiga aisee ebu tazama Kepa alinunuliwa ela zaidi ya Allison kwa karibu Β£10mπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


YNWA
 
Nimeona ameupiga mwingi sana hiyo dakika

Hahaha!
Mimi namuogopaga yupo siriaz mno.


Kepa wa akina OllaChuga Oc ..mzee wa kupaisha mipira hadi tandahimba[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Week ijayo kitaumana aisee ...hii game nitaangalia pressure ikiwa kubwa Sana ....draw haitakuwa na madhara Sana kwetu ...


Let's go...!
Wachezaji wako washaanza maneno eti wamekamilika kila idara kuliko Liverpool hahaha sasa mbona wameruhusu gepu iwe ya pointi 1 tu.

Yaaani watulie kwanza wapambane na El Cholo kwanza maneno mengi hatutaki sisi kama wamekamilika ni sawa tu hatuna ubishi.

Kwa sasa tunawaza niaje pale Lisbon tutatoka aje na ushindi ugenini UCL. Tukishamalizana na hawa jamaa wabishi basi ndio tutaanza maadalizi mechi ya Ethad Jumapili ijayo.

YNWA
 
Nimeona ameupiga mwingi sana hiyo dakika

Hahaha!
Mimi namuogopaga yupo siriaz mno.


Kepa wa akina OllaChuga Oc ..mzee wa kupaisha mipira hadi tandahimba[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha ni jamaa wa kazi kazi yule hanaga maneno mengi zaidi ya kufanya yake na sasa ana jambo lake anataka GOLDEN GLOVE SEASON HII ITUE KWAKE.

YNWA
 
Dah coacher wa watford alitia huruma baada ya penati kupigwa[emoji23][emoji23][emoji23]


Ila Thiango mfupi aisee


Wataalamu nielekezeni hapa penati imetokeaje tokeaje?
Sijaelewa chochote.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…