King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,370
Group B: World Cup
England
Iran
USA
EUR
England
Iran
USA
EUR
Senegal yesNimeshaona kuwa:
Ghana out of group stage
Cameroon out of group stage
Morocco out of group stage
Senegal has a chance to last 16
Tunisia has a chance to last 16![]()
UTABIRI WANGU BAADA YA MECHI ZA MAKUNDI WORLD CUP MAKUNDI YATAONEKANA KAMA IFUATAVYOSenegal yes
Ghana anayo nafasi
Cameroon may be
Morocco ndio wana shughuli
Lakini kwenye mpira lolote
UTABIRI WANGU BAADA YA MECHI ZA MAKUNDI WORLD CUP MAKUNDI YATAONEKANA KAMA IFUATAVYO
Kwenye group la Ghana msimamo wangu:
1 - Portugal
2 - Uruguay
3 - South Korea
4 - Ghana
Kwenye Group la Cameroon msimamo wangu:
1 - Brazil
2 - Serbia
3 - Switzerland
4 - Cameroon
Kwenye Group la Morocco msimamo wangu:
1 - Belgium
2 - Croatia
3 - Canada
4 - Morocco
Kwenye Group la Tunisia msimamo wangu:
1 - France
2 - Tunisia
3 - Denmark
4 - ICP 1
Kwenye Group la Senegal msimamo wangu:
1 - Netherlands
2 - Senegal
3 - Qatar
4 - Ecuador
This is a clear outcome if we dont start to plan now, life after Klopp may prove kuwa challenging kama tusipo-plan now au ku-make bad choices/decisions, we need to be very careful.Gary Neville on FSG:
“Liverpool fans don’t see it now because of where they are, but once Klopp leaves and the money they’re spending means they finish 4th or 5th, which is where they should be, Liverpool fans won’t be happy with their owners.”
Tunisia si dhani kama atamaliza juu ya France n DenmarkNimeshaona kuwa:
Ghana out of group stage
Cameroon out of group stage
Morocco out of group stage
Senegal has a chance to last 16
Tunisia has a chance to last 16![]()
Dude, you're insulting my intelligence.Swala la wages linadadavuliwa na sources nyingi tu, wewe umeng'ang'ana na Forbes it's ok with you ila haimaaniishi ndio most valid credible/ reliable. Weka Forbes report ya 2021 sio hio ya 2018.
Habari ya expenditures na matumizi iliyotop-up hio 314m kamuuluze Martyn Ziegler, maana hizi taarifa zimetoka kwake a very reliable source to many!
Saga ya Gerrard unadanganya watu hapa kuwa ni baada ya UCL 2005 bila aibu mkuu, hakuna kitu Kama hicho!
Ni baada ya msimu ule wa Arsenal invincibles!!! Alisepa Owen
Threats sio kitu cha kuongelea hapa, zipo kila mahali sababu mashabiki ni bimadamu na wanatabia tofauti wapo vichaa na psychopaths n.k. Angeamua kusepa angesepa tu, sio hofu ya threats ama nini maana waliomkubali ni wengi alisepa Rooney wa mji huohuo akaondoka Owen wa mji huohuo
Benitez aliplay part kubwa kumshawishi abaki usilete mambo ya vitisho, viko kila kona!
3 points.
He will adjust, but form yake ilipotea alivyotoka AFCON, i guess ilikuwa ni fatgue, maana hakupata rest ya kutosha.Nahofia pyschologically salah atakuaje baada ya kukosa Afcon na nafas ya world cup..aliamin sana watafuzu nando maana baada ya Afcon alirudi akiwa motivated sana lakin ili la kukosa WC sijui kama ataweza limeza kwa kipind kifupi iki.
Mungu amsaidie sana maana sio rahisi sana kwake nahisi ivyo na hali niliyo muona nayo akitoka uwanjan kama mtu anaetaka kuzimia af kashikwa na bumbuwazi daah yuko kwenye wakat mgumu sana
We are in a very pole position to get him.Dogo anasakwa kinoma. Naona wamo pia Chelsea, Real Madrid na Liverpool.
Dogo kipaji.
Pale kati akitulia na Fabinho man we are sorted.
My choice though ni Bissouma or Neves both with EPL action ready for the big boys stuff.
YNWA
Maaan, mikataba mikubwa yenye transfer fee kubwa ina mambo mengi sana, these players are making millions on a weekly basis, football ni mchezo wenye pesa sana.Umenikumbusha msimu fulani Pogba alikua anagombana kupiga penati zote apige yeye tetesi ni kwamba bonus yake ilikua £6,000 hahaha sasa nani hataki huo mkwaja jamani.
Haya mambo ni mapana sana kwa kweli. Kwa bahati mbaya hua ngumu kuyakuta hata kwa media eti Liverpool wanalipa kikosi paudi kadhaa kwa kupata clean sheet, ama kila assist ya Salah analipwa kiasi hiki ama kila goli la Salah analipwa kaisi hiki ama kila ushindi wa Liverpool Klopp anapewa posho hii nk nk kuyajua haya mambo ni extensive research ya kutosha na pengine utakose maana mikataba hii ina usiri mkubwa sana.
Hii ishu ya Gerrard bhana ilikua ngumu kumeza. John Terry na Lampard walimkomalia bwana mdogo aodoke mazima huku Mourinho akiona itakua master stroke Steve kwenye ubora wake akitua pale. Hakika familia yake ilipokea vitisho nk na mwishowe akabakie Anfield shingo upande maana bila kupepesa maneno hatukua na kikosi cha kuchukua ubingwa miaka ile wala kumlipa big salary hayo angeyapata Chelsea kwanza ilikua ni project moja matata sana ilivutia wengi lakini pia Steve alitamani sana kushinda EPL na Chelsea were the less evil kuliko yeye kwenda Manchester United kuipata hio EPL.
Ki ukweli Mourinho hakuishia tu hapo kumtaka Steve hata alipoajiliwa Real Madrid alimhitaji tena Steve G akakipige Santiago Bernabeu lakini hakufanikiwa nadhani ile torture ya familia ya Steve waliopata kutaka kwenda Chelsea akaona ebu nitulie.
Real Madrid tetesi ni kwamba walimfuata Steve mara 3 ikiwa ni 2005 na 2009, 2011. Hii ya 2005 Liverpool tetesi walidai £40m na wapewe wachezaji kama 3 watatu, Real Madrid wakaona mhmh hii dili ni kama vile Liverpool wanawapa masharti magumu ili washindwe. Kwenye hii ishu ilikua Liverpool kuliko wamuuze Chelsea basi kama anaodoka basi iwe nje ya EPL.
Siku zote hua nasema mchezaji anaetaka alipwe zaidi kama Gini ama Salah nk ni sawa kabisa sababu kazi wanafanya inaonekana vyema kabisa bila ubishi, mafanikio wanaleta kama vile UCL, WCC, EPLbaada ya miaka 30 of trying, Carabao nk nk hawa wapo sahihi kutaka maslahi zaidi.
Sasa kazi kwa wawakilishi wajadaliane vyema wapate muafaka Salah asaini maisha yasonge. Incase asiposaini basi no hard feelings kwake kama akisepe all the best he has been a proper professional giving his all kwa kweli and we are lucky to have been part of this journey guys. Ametupa so many beautiful moments to cherish for many more years to come. Its a bit scary kuwaza ile front line bila the Last Pharaoh lakini ndio maisha ya mpira we got to accept this things as long as FSG wapo Liverpool zitaedelea kuwepo.
Kama the Mighty Manchester United anaweza ku fall from all the success mpaka alipo sasa guys we ain't immune from fall. Just one mistake can make us crash big time tutaanza kutafutana humu tukisibiri miaka 30. Haya mambo ya nahitaji utulivu wa juu.
YNWA
Kombe la dunia Lina maajabu yake ,bingwa mtetezi huwa anatoka hatua ya makundi mapema kabisaUTABIRI WANGU BAADA YA MECHI ZA MAKUNDI WORLD CUP MAKUNDI YATAONEKANA KAMA IFUATAVYO
Kwenye group la Ghana msimamo wangu:
1 - Portugal
2 - Uruguay
3 - South Korea
4 - Ghana
Kwenye Group la Cameroon msimamo wangu:
1 - Brazil
2 - Serbia
3 - Switzerland
4 - Cameroon
Kwenye Group la Morocco msimamo wangu:
1 - Belgium
2 - Croatia
3 - Canada
4 - Morocco
Kwenye Group la Tunisia msimamo wangu:
1 - France
2 - Tunisia
3 - Denmark
4 - ICP 1
Kwenye Group la Senegal msimamo wangu:
1 - Netherlands
2 - Senegal
3 - Qatar
4 - Ecuador



unakumbuka germany alichofanywa na kina SON .....hakuaamini lakin ndio alishia group stage ......Tchou tetesi ilikua Chelsea are front kumpata lakini baada ya hii ajali yao they may be out of the picture now.We are in a very pole position to get him.
Madrid eyes are on Mbappe, think they have offered big big wages, na pia itakuwa bad move kwa dogo, nafasi ya kucheza kila week ni ndogo sana.
Tchou, can play as a 6/8, he can be a solid fabinho backup and at the same time as his patner, left/right sided 8.
its time., tusign a durable CM.
I like Bissouma a lot, wont mind if we end up with him, solid player.
Neves, good player, but we can do better.
Salah astaafu na abakie Anfield itakua advantage kwetu design kama Matip au Milner walivyo..Maaan, mikataba mikubwa yenye transfer fee kubwa ina mambo mengi sana, these players are making millions on a weekly basis, football ni mchezo wenye pesa sana.
Jamaa hapo juu anasema kuwa SG saga ni 2004, hawa watu wafundishwe history ya Club, this is SG, the Man, the myth, the hero, huwa naumia sana watu wasipojua facts za kumuhusu, he defined a struggling LFC, the LEGEND.
Wote humu hatukuwahi kufikiria kuwa Utd itakuja ku-turn na kuwa kama hivi, but mistake ndogo tu waliyoifanya katika succession plan yao ndiyo imewaweka na kuwafikisha hapa walipo, mpira ni kitu cha ajabu sana, mistake ndogo tu, na unaachwa nyuma, especially now, mpira umekuwa so competitive, team ndogo zinapata TV money za kutosha, teams ndogo zina WC and potential WC players, now ukienda West Ham, Wolves, Villa, Palace, Brighton, struggling Watford & Leeds, etc lazima ukute SPECIAL TALENTS, Newcastle wamem-sign Guimaires etc, so cant afford to make a mistake kabisa, no room for errors kabisa, kwasababu ukianguka now, kurudi tena it will take time, we need to be careful.
Salah is an important tool kwenye nia yetu ya ku-sustain status yetu, hatakiwi kuachiwa especially now kuna rumours za kuwa anataka kustahafu kuchezea team ya taifa, jamaa atakuwa kaona hamna kitu anachofanya pale Egypt, na jamaa zetu wa Al Ahly /zamalek wanapambana, sema ndiyo sasa uwezo mdogo sana, Egypt wanatakiwa kutengeneza na kurudisha mifumo yao ya mpira kama zamani, team yao imekuwa ya hovyo sana, personally nitashukuru kama akistahafu