Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Loyalty

Hio taarifa kuwa tunapitwa na club 4 tu ulaya kwenye wage bill umetoa wapi? Mimi nafahamu kwenye epl pekee sisi ni wa 4 kwa total pay roll (134m Sterling) na total expenditure kwa mwaka ulioisha ni 314m Sterling ambapo ni wa 4 vile!

Kwenye history ulipotea mazima kwa maana sikulenga kama ulivyojitafsiria, nilisema earlier kuwa peak ya mafanikio kwangu ni kipindi cha paisley vijana wake nikimaanisha hii ndio 'benchmark' sio competing na clubs nyingine hapa. I expect every liverpool fan to have a fair share of history, you felt doubted? a mere flaw?

Stevie G is that much respected kwasababu ya loyalty ila husemi hili unakwepakwepa alafu unadai hakuna loyalty kwenye Mpira. Yes alitaka kwenda chelsea lakini hakwenda akabaki na akatwaa taji la UCL. Heshima ya Gerrard ni kwasababu ya loyalty usiwe mzito kukiri yaliyowazi

Boss unajua huyo unayembishia ni nani na yuko wapi na anafanya nini kuhusu Liverpool?

Umetoa mfano wa Neil Jones, lakini katika kutajataja kwako hao reporters wa Liverpool kuna wengine MosDef ameshawasiliana nao mpaka kushare nao Articles zake hivyo anawajua nje ndani walivyo ndiyomana akakwambia Neil Jones ni Mdakaji wa taarifa tu anazozisikia kwa wengine na sio investigative.

Hebu uliza members wengine humu watakwambia.

Ni hayo tu.
 
Neil Jones ni football reporter siyo investigive reporter, anapata na kuchukua news kutoka kwa credible sources anazoziamini, sasa kama hajapata credible source ya kumwambia kuhusu anachokitaka Salah kutoka upande wa Salah, hawezi report uongo, ame-report kile anachokijua, and thats FSG offer is 250k.


Salah isnt budging, FSG arent bugding, ingawa they're still in talks lakini bado wapo bit apart kufikia makubaliano, so kama either side hazitaki ku-budge, outcome ni moja tu mchezaji kuondoka, na Salah amebakiza msimu mmoja, na ana haki ya kuendelea kubakia LFC mpaka mkataba wake utakapoisha, so its either akubali offers za club zingine au aamue kubaki mpaka mkataba wake utakapoisha, ambapo atapata suitors wengi sana maana itakuwa ni free transfer, na kama ataamua kuondoka for free hii itakuwa ni bad business for the club & FSG, maana thamani ya Salah ni more than £80m-£100m kwenye market, so its either umpe mkataba mpya au u-risk kumpoteza for free, so utaangalia ni upande upi ambao upo kwenye bad spot right now.

"Tumefika hapa kwa pay-structure za kiwango hiki", this is absurd, so you're risking kuwa left behind kwa ku-stick na kitu ulichokuwa unafanya wakati unajaribu kuuinua na kukuza brand ya club iliyokuwa imefifia? so it means upo tayari kurudi kule kule kwa mwanzo kwa ku-stick na rules ambazo zimekuwa out-grown na Club revenues? LFC are one of the biggest clubs in the world now, ku-maintain hiyo STATUS ni lazima u-dig deep, Chelsea & City hawaku-maintain hiyo status kwasababu tu ya kuwa na rich owners, ni kuwa walitengeza structures zinazoruhusu Club kubadilika na ku-evolve kulingana na mahitaji ya mpira wa sasa, sasa how can you compete kwa kipindi kirefu kama unataka kujificha kwenye kivuli cha Sell to buy policy & limited wage bill structure ambayo ni myth vile vile, hiyo sell to buy policy ilitaka kutuumiza msimu uliopita, kwa kushindwa ku-replace players tuliowauza on time, tumekuja kumnunua Konate wakati tayari damage imeshafanyika, now its Salah, next time itakuwa Trent, Jota, Diaz, Fabinho, VVD etc, tutakuwa tunashindwa ku-keep WC players kisa Wage bill structure? Jota is on 90k now, kwa his important goals anazofung kila week, you agent wake ata-demand pay-rise ya Shilingi ngapi? so naye tutamuacha aende? a serious club with ambition ingekuwa kwenye maongezi ya 1-2 years extension na Mane/Firmino, but FSG wapo kimya mpaka sasa, na ukimya unamaanisha mambo mengi sana.

Sisi siyo oil club, yes but we are competing with oil clubs kila week, and i have been holding back kuhusu hii ishu ya Wage-bill structure, because i didnt want to go there, but our WAGE BILL ni kubwa tunapitwa na 4 clubs tu (Barcelona, Man City, PSG and Madrid), our Wage bill structure is bigger than Chelsea, Utd, Arsenal, Spurs etc, ndiyo maana nikasema ni myth, we are in €317m, Man City are in €433m, the difference is not that big, kwa kisingizio kwamba we are not the oil club, LFC haijafika hapo ilipo kwa hiyo notion yako ya wage-bill, ni MYTH, mnazolishwa kwenye mitandao, na its sad kwasababu mnapokea kila kitu bila kufanya research, i didnt want to go there but i had to.

Team yenye more than 6 WC and bankable players haiwezi kuwa na wage-bill structure iliyo limited, we have 3 players who are on 200k+ (plus bonuses), we have 7 players who are on 150k+ (plus bonuses), we have few players who are on 100k-140k (plus bonuses), Curtis Jones is 60k p/w, Utd or Chelsea hawalipi youngsters wao who are yet to make a mark mshahara mkubwa kama huu, then soon, Jota & Diaz will need a pay-rise, if Takumi gets a new deal, ataingia kwenye 100k club, hata jones kama aki-renew ataingia kwenye 100k club, what limited wage-structure are you talking about?

Man City (Oil club) highest earner ni KDB, analipwa 375k, whats wrong with payinh Salah that amount? especially if you're paying Milner 150k p/w (plus bonuses)

Yes, at utd Cr7, sancho, varane, pogba etc are on high wages, same to chelsea with Lukaku, Werner etc, but kinachoiumiza club ni excessive bonuses, at first wali-introduce bonuses ili ku-limit basic wages, but LUCKLY the team is perfoming at the HIGHEST LEVEL now (PL, CL, FA, EFL), na bonuses ni za team nzima (players & Coaches) Klopp analipwa 340k p/w, with bonuses unadhani itakuwa sh.ngapi kwa kila bonus ya 3 points?

LFC hatuna wage-bill ya kinyonge, Salah ishu ipo deep zaidi ya his wage demands.

Hakuna FOOTBALL CLUB ambayo haina HISTORY, hakuna CLUB ambayo haina PIONEERS and LEGENDS, kitu ambacho kinafanya LFC HISTORY kuwa special kuwa we used to win a LOT, but again your club history means nothing if your club is failing to cope with modern football, i respect the Club's history and i respect Club's legends, but kama walivyoishape LFC back then, na sasa ni time ya ku-shape hii LFC team ya sasa, because years from now nayo itakuwa ni HISTORY, itakuja team ambayo ita-set na kuvunja records za hii team ya sasa, thats nature. and we cant stay here a lie kuwa this is not the BEST lfc team in years, with great players, i'm the biggest advocate of LFC rich history but am not BLIND.

Daglish is a legend, but vipimo and adimiration zinatofautiana dude, SG is the most respected Club legend in our history, you can ask the older fans waliokuwepo tangu zamani na watakwambia the same, SG carried this team wakati tukiwa kwenye phase ya kupokea mabadiliko na uhitaji mpya wa mpira wa kisasa, SG ndiyo alikuwa DARAJA, ndiyo maana he's the most respected, Daglish, Liddel, Molby, Ian, Hansen, Neal, Rush, barnes etc shaped our HISTORY, but influence ya SG at LFC ni undisputed, ask these legends and they will tell you the same thing.

LOYALITY kwenye football, hakuna loyality kwenye football, acheni kujidanganya kwenye hivi vichaka, hii sport ni ajira, siyo charity organization, players wana-make a living through football, ndiyo maisha yao, untaka acheze free? wakati owners wana-make millions kutokana na his hard work on the pitch, you think its easy ku-chase the ball with a lot of energy, power and risk tackles, leg breaking accelerations for whole 90 minutes every week and maybe sometimes weekdays? hakina kazi nyepesi duniani, na hakuna kitu kama "ROYALITY" kwenye financial matters, football ni kazi kama kazi zingine, SG put in a transfer request ya kutaka kwenda chelsea, Ian Rush aliondoka LFC kwenda Juventus in his peak years, what loyality unayoiongelea? Trent a born & bred Scouser and a LFC fan demanded 180k p/w at 21, so why should Salah awe na Royality? what is royality wakati the player in question anakupa trophies & 3 points every week? stop treating football as a charity sport, there's a reason it was called a Professional footabll sport.

250k ni peanuts kwa world star like Salah, and yes na-compare na hizo team because zote bar Man city zina wage structure ndogo kuliko sisi.
Gary Neville on FSG:

“Liverpool fans don’t see it now because of where they are, but once Klopp leaves and the money they’re spending means they finish 4th or 5th, which is where they should be, Liverpool fans won’t be happy with their owners.”
 
Boss unajua huyo unayembishia ni nani na yuko wapi na anafanya nini kuhusu Liverpool?

Umetoa mfano wa Neil Jones, lakini katika kutajataja kwako hao reporters wa Liverpool kuna wengine MosDef ameshawasiliana nao mpaka kishere nao Articles zake hivyo anawajua nje ndani walivyo ndiyomana akakwambia Neil Jones ni Mdakaji wa taarifa tu anazozisikia kwa wengine na sio investigative.

Hebu uliza members wengine humu watakwambia.

Ni hayo tu.
Sijakuelewa, nyooka mzee
 
Adjustments.jpg
 
Dude, you expecting me to declare my sources? you're a LFC do your research, kila kitu kipo on paper.

But, again nimeona hapo research yako imeishia google, kujumlisha total ya basic weekly salary za whole team, siyo how you determine a wage-bill structure, you need to study kuhusu Wage-bill structure, it seems you no nothing about it, and ruhusu your brain kusoma vitu vipya, aritcles za spotrac/transefer market zinazojadili zaidi Seasonal basic salary cap table, haziwezi kukusaidia, LEARN.

Hizo expenditures za mwaka ni zipi? matumizi yapi hayo yaliyofikia £314m kwa mwaka? na kutufanya kuwa wanne kwa matumizi mzee mwenzangu?

Mwaka 2018, forbes walitoa list ya Clubs zenye high wage bills, and LFC were above Man City, with £263m, now few years later what has changed from LFC perpective? giving extensions tu Firmino, Trent, Salah, VVD, Robertson, Fabinho etc, signing Thiago on big wages, etc, wage-bill itakuwa the same? from 2018 up to now, City have signed a 100m players on high wages, renewed a lot of their players contracts, now they KDB sitting at 375k, and few good amount of players are on 250k+, wage-bill yao itabaki the same? kasome kuhusu basic salaries, goals & assists bonuses, 75-90 match minutes bonuses, man of the match bonuses, hat-trick bonuses, Clean sheet bonuses etc, hizi ni exclusive bonuses zinazokuwepo kwenye mikataba ya highly profiled players, and our whole 11 is filled with highly profiled players (excluding Jones, Elliot, Takumi, Tsimikas (huyu anatakiwa na teams kibao europe now), etc), na wote hao wanapata bonuses za goals & assists exclusively. you need to LEARN, and its take time.

You probably dont understand how football contracts works, Origi huyu anaendoka, kama kuna idadi ya games angecheza msimu huu na kuzifikia mkataba wake ungeji-renew automatic for another 1 year, na ndiyo maana Klopp was managing his minutes, na hii simlaumu Klopp maana anajua potential ya Origi na anataka acheze mpira, sadily at LFC hawezi pata nafasi kama akienda kwingine, na ndiyo maana last summer tuli-invite bids na hakuna aliyefikia makubaliano ya wages na Origi, but he's moving to AC MILAN for free, and probably Klopp knew this, ndiyo maana amekuwa makini na minutes za Origi ili move yake isikwame, AC MILAN is a good club for Origi, football contracts zinakuwa na clauses nyingi sana especially contracts za WC players kama Salah.

Flaws? NO, i know LFC history in details, i have original cassettes, jerseys etc za LFC through the years, i advocate it openly, but NOW i have been watching and witnessing the BEST liverpool team in my whole life for the past 4 years, i wont let nostalgia get the best of me dude, not now, not now at all. umechagua Pasley era kuwa the best kwako, me nimechagua Klopp era kuwa the best kwangu, matter of fact my 2nd favorite era ni ya benitez from 2004-2009, We can agree to be different on this, theres nothing wrong with it.

Steven Gerrard, a scouser, a liverpool City native, a boyhood LFC fan, PUT IN A TRANSFER REQUEST ili apate move ya kwenda Chelsea, unaelewa nini kuhusu transfer request? it means una-declare kwenye public na dunia nzima kuwa unataka kuondoka na club ikuruhusu kuondoka kwasababy hutaki kuendelea nayo, TRANSFER REQUEST ni act of betrayal, and SG alifanya hivyo, sasa nisije nikawa naongea na mtu ambaye hakuwepo na LFC that time, maana kama ungekuwepo sidhani kama ungekuwa na concerns hapa, LFC fans walikuwa wana-camp nyumbani kwa SG threating to kill and harm his family and they were serious, he's a liverpool native, people walikuwa wanajua mpaka uncles zake wanapokaa, he STAYED in the end kwasababu ya RAGE ya his fellow scousers na LFC fans around the world, dude you claim to be LFC historian but it seems uko behind sana, saga ya SG ilikuwa ni baada ya ISTANBUL, not before, kabla ya hapo kulikuwa na speculation kuwa chelsea wants, but after CL final, Chelsea made a move, they're bid came in 2005 dude, na ndiyo maana kulikuwa na RAGE kubwa sana because SG was our GOLDEN CHILD, na Mourinho mpaka kesho anaumia, maana SG himself told him, kuwa ata-sign for Chelsea. unaongea kuhusu Royality mzee mwenzangu? kwenye football? Learn the rules of football dude, its not that easy being a football fan, kama huelewi rules za professional sport kama hii, utakuwa unachukia wachezaji kila siku, kisa wanajaribu kutafuta good deals na good teams za kuwapa trophies, players are human-being, they have emotions & preferences, they are not machines..

Then it doesnt matter why SG decided to stay for good (ingawa LFC fan waliopo kipindi kile wanajua why? its just like we dont want to remember or even talk about), my notion kwenye hii ishu ya royality, ilikuwa ni kuonesha kuwa as a human-beings, tumeumbwa na selfishness, whether its good or bad, but the bottom line is everybody wants to have something good for his life & wellbeing, thats the nature, same applies kwa players, they want good deals, trophies, playing with WC players, what made SG want to move to Chelsea after winning the CL? truth is we won the CL but we had a very very average team, na Chelsea walikuwa na very excited project, and SG wanted to be a part of it, main factor ni kuwa alikuwa anaona atashinda EPL na Chelsea na kuwa guaranteed na a very good deal, in football hivi ni vitu vya kawaida sana, players wana asiparations kama za kwetu fans, they want trophies too, mfano mdogo tu kama tungekuwa tuna-struggle, hawa kina Salah, Mane, Fabinho, VVD etc wangekuwa washaondoka muda sana, but they are here because we are competing vizuri, thats football.

Then unatakiwa ujue kutofautisha kati ya Royality, love & respect.

Swala la wages linadadavuliwa na sources nyingi tu, wewe umeng'ang'ana na Forbes it's ok with you ila haimaaniishi ndio most valid credible/ reliable. Weka Forbes report ya 2021 sio hio ya 2018.

Habari ya expenditures na matumizi iliyotop-up hio 314m kamuuluze Martyn Ziegler, maana hizi taarifa zimetoka kwake a very reliable source to many!

Saga ya Gerrard unadanganya watu hapa kuwa ni baada ya UCL 2005 bila aibu mkuu, hakuna kitu Kama hicho!
Ni baada ya msimu ule wa Arsenal invincibles!!! Alisepa Owen

Threats sio kitu cha kuongelea hapa, zipo kila mahali sababu mashabiki ni bimadamu na wanatabia tofauti wapo vichaa na psychopaths n.k. Angeamua kusepa angesepa tu, sio hofu ya threats ama nini maana waliomkubali ni wengi alisepa Rooney wa mji huohuo akaondoka Owen wa mji huohuo
Benitez aliplay part kubwa kumshawishi abaki usilete mambo ya vitisho, viko kila kona!
 
View attachment 2170162

Watford wajiadae anakuja na moto mkali sanaaa.

YNWA
Nahofia pyschologically salah atakuaje baada ya kukosa Afcon na nafas ya world cup..aliamin sana watafuzu nando maana baada ya Afcon alirudi akiwa motivated sana lakin ili la kukosa WC sijui kama ataweza limeza kwa kipind kifupi iki.

Mungu amsaidie sana maana sio rahisi sana kwake nahisi ivyo na hali niliyo muona nayo akitoka uwanjan kama mtu anaetaka kuzimia af kashikwa na bumbuwazi daah yuko kwenye wakat mgumu sana
 
Nahofia pyschologically salah atakuaje baada ya kukosa Afcon na nafas ya world cup..aliamin sana watafuzu nando maana baada ya Afcon alirudi akiwa motivated sana lakin ili la kukosa WC sijui kama ataweza limeza kwa kipind kifupi iki.

Mungu amsaidie sana maana sio rahisi sana kwake nahisi ivyo na hali niliyo muona nayo akitoka uwanjan kama mtu anaetaka kuzimia af kashikwa na bumbuwazi daah yuko kwenye wakat mgumu sana
🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿Mkuu hilo binafsi linanipa wasiwasi sana kwamba hili pigo kwake itakua aje maana WC sio mashindano mepesi kukosa.

Namuonea huruma kukosa lakini kwa kuangalia ubora wa kikosi nilisimama na Mane nikiona kama Senegal wamekamilika zaidi kuliko Misri.

Kama atatumia ile disappointment vizuri basi tegemea kumuona akipambana kushinda makombe yalio mbele yetu.

Kingine Salah ni professional na pale Liverpool naamini kuna dawati la haya mambo kuwasaidia ku recover baada ya vipigo kama hivi.

YNWA
 
Nahofia pyschologically salah atakuaje baada ya kukosa Afcon na nafas ya world cup..aliamin sana watafuzu nando maana baada ya Afcon alirudi akiwa motivated sana lakin ili la kukosa WC sijui kama ataweza limeza kwa kipind kifupi iki.

Mungu amsaidie sana maana sio rahisi sana kwake nahisi ivyo na hali niliyo muona nayo akitoka uwanjan kama mtu anaetaka kuzimia af kashikwa na bumbuwazi daah yuko kwenye wakat mgumu sana

Pia anaweza kuitumia hio positively kuidhihirishia dunia kuwa he is still the best, matokeo ya misri iwe ni teamwork failure
 
Nahofia pyschologically salah atakuaje baada ya kukosa Afcon na nafas ya world cup..aliamin sana watafuzu nando maana baada ya Afcon alirudi akiwa motivated sana lakin ili la kukosa WC sijui kama ataweza limeza kwa kipind kifupi iki.

Mungu amsaidie sana maana sio rahisi sana kwake nahisi ivyo na hali niliyo muona nayo akitoka uwanjan kama mtu anaetaka kuzimia af kashikwa na bumbuwazi daah yuko kwenye wakat mgumu sana

Diaz naye hatokuepo, hayuko peke yake
FPH0XIGWYAQba4L.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom