Dude, you expecting me to declare my sources? you're a LFC do your research, kila kitu kipo on paper.
But, again nimeona hapo research yako imeishia google, kujumlisha total ya basic weekly salary za whole team, siyo how you determine a wage-bill structure, you need to study kuhusu Wage-bill structure, it seems you no nothing about it, and ruhusu your brain kusoma vitu vipya, aritcles za spotrac/transefer market zinazojadili zaidi Seasonal basic salary cap table, haziwezi kukusaidia, LEARN.
Hizo expenditures za mwaka ni zipi? matumizi yapi hayo yaliyofikia £314m kwa mwaka? na kutufanya kuwa wanne kwa matumizi mzee mwenzangu?
Mwaka 2018, forbes walitoa list ya Clubs zenye high wage bills, and LFC were above Man City, with £263m, now few years later what has changed from LFC perpective? giving extensions tu Firmino, Trent, Salah, VVD, Robertson, Fabinho etc, signing Thiago on big wages, etc, wage-bill itakuwa the same? from 2018 up to now, City have signed a 100m players on high wages, renewed a lot of their players contracts, now they KDB sitting at 375k, and few good amount of players are on 250k+, wage-bill yao itabaki the same? kasome kuhusu basic salaries, goals & assists bonuses, 75-90 match minutes bonuses, man of the match bonuses, hat-trick bonuses, Clean sheet bonuses etc, hizi ni exclusive bonuses zinazokuwepo kwenye mikataba ya highly profiled players, and our whole 11 is filled with highly profiled players (excluding Jones, Elliot, Takumi, Tsimikas (huyu anatakiwa na teams kibao europe now), etc), na wote hao wanapata bonuses za goals & assists exclusively. you need to LEARN, and its take time.
You probably dont understand how football contracts works, Origi huyu anaendoka, kama kuna idadi ya games angecheza msimu huu na kuzifikia mkataba wake ungeji-renew automatic for another 1 year, na ndiyo maana Klopp was managing his minutes, na hii simlaumu Klopp maana anajua potential ya Origi na anataka acheze mpira, sadily at LFC hawezi pata nafasi kama akienda kwingine, na ndiyo maana last summer tuli-invite bids na hakuna aliyefikia makubaliano ya wages na Origi, but he's moving to AC MILAN for free, and probably Klopp knew this, ndiyo maana amekuwa makini na minutes za Origi ili move yake isikwame, AC MILAN is a good club for Origi, football contracts zinakuwa na clauses nyingi sana especially contracts za WC players kama Salah.
Flaws? NO, i know LFC history in details, i have original cassettes, jerseys etc za LFC through the years, i advocate it openly, but NOW i have been watching and witnessing the BEST liverpool team in my whole life for the past 4 years, i wont let nostalgia get the best of me dude, not now, not now at all. umechagua Pasley era kuwa the best kwako, me nimechagua Klopp era kuwa the best kwangu, matter of fact my 2nd favorite era ni ya benitez from 2004-2009, We can agree to be different on this, theres nothing wrong with it.
Steven Gerrard, a scouser, a liverpool City native, a boyhood LFC fan, PUT IN A TRANSFER REQUEST ili apate move ya kwenda Chelsea, unaelewa nini kuhusu transfer request? it means una-declare kwenye public na dunia nzima kuwa unataka kuondoka na club ikuruhusu kuondoka kwasababy hutaki kuendelea nayo, TRANSFER REQUEST ni act of betrayal, and SG alifanya hivyo, sasa nisije nikawa naongea na mtu ambaye hakuwepo na LFC that time, maana kama ungekuwepo sidhani kama ungekuwa na concerns hapa, LFC fans walikuwa wana-camp nyumbani kwa SG threating to kill and harm his family and they were serious, he's a liverpool native, people walikuwa wanajua mpaka uncles zake wanapokaa, he STAYED in the end kwasababu ya RAGE ya his fellow scousers na LFC fans around the world, dude you claim to be LFC historian but it seems uko behind sana, saga ya SG ilikuwa ni baada ya ISTANBUL, not before, kabla ya hapo kulikuwa na speculation kuwa chelsea wants, but after CL final, Chelsea made a move, they're bid came in 2005 dude, na ndiyo maana kulikuwa na RAGE kubwa sana because SG was our GOLDEN CHILD, na Mourinho mpaka kesho anaumia, maana SG himself told him, kuwa ata-sign for Chelsea. unaongea kuhusu Royality mzee mwenzangu? kwenye football? Learn the rules of football dude, its not that easy being a football fan, kama huelewi rules za professional sport kama hii, utakuwa unachukia wachezaji kila siku, kisa wanajaribu kutafuta good deals na good teams za kuwapa trophies, players are human-being, they have emotions & preferences, they are not machines..
Then it doesnt matter why SG decided to stay for good (ingawa LFC fan waliopo kipindi kile wanajua why? its just like we dont want to remember or even talk about), my notion kwenye hii ishu ya royality, ilikuwa ni kuonesha kuwa as a human-beings, tumeumbwa na selfishness, whether its good or bad, but the bottom line is everybody wants to have something good for his life & wellbeing, thats the nature, same applies kwa players, they want good deals, trophies, playing with WC players, what made SG want to move to Chelsea after winning the CL? truth is we won the CL but we had a very very average team, na Chelsea walikuwa na very excited project, and SG wanted to be a part of it, main factor ni kuwa alikuwa anaona atashinda EPL na Chelsea na kuwa guaranteed na a very good deal, in football hivi ni vitu vya kawaida sana, players wana asiparations kama za kwetu fans, they want trophies too, mfano mdogo tu kama tungekuwa tuna-struggle, hawa kina Salah, Mane, Fabinho, VVD etc wangekuwa washaondoka muda sana, but they are here because we are competing vizuri, thats football.
Then unatakiwa ujue kutofautisha kati ya Royality, love & respect.