Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hivi hii liverkuku ikiwekwa sokoni Leo itakuwa na thamani hata ya £2BIL kweli..? Kuna mbangaa mmoja anasema Ina pound 5BIL ..hahaha maake ngoja ncheke kwanza😂😂😂
Wapeni Ricketts Family klabu ole wako nikuone unakuja kulialia humu maana wale na FSG kwenye capping ya wages hawachekani hata kidogo.

Unadhani Roman anauza kibiashara ama anauza sababu amebanwa. Hivi sumu kashapona ama ndio bye bye

YNWA
 
Ndio analeta mtafaruku, Huwezi kumfanya JK kuwa laughing stock -hata kwa sekunde moja!

Salah na mwenzie hawajaweka wazi kiasi wanachotaka kwani FSG wameweka wazi kiasi wanachotoa?

Unaushahidi kuwa hizo media zinalipwa na FSG kumchafua Mo?

Mo yuko humble ndio lakini bp kuhusu agent wake? Zinamtosha upstairs?

Uamuzi wenu wa kuwa upande wa Mo na agent wake ni baseless

Sidhani kama kuna Mtu kasema Media zinalipwa na FSG kumchafua Salah.

Unajua unakwama wapi Boss?
Tatizo ni kwamba unadai kuhusu Salah kuleta Mtafaruku kwenye Timu lakini toka Juzi umeshindwa kuweka Fact hata moja ya kithibitisha kivipi MO analeta mtafaruku.

Unasema anamock Klopp, how? Hebu thibitisha basi ndugu ili tujifunze kupitia kwako.

Kipindi anahama Coutinho sote tulishuhudia aliitisha Media nyumbani kwao Brazil na kufanya interview huku akafake injuries ili asicheze tena Liverpool.
Lakini Mzee Baba umeshindwa kuthibitisha chochote kuhusu Salah then umejaa Confidence kutaka tuamini what you're claiming for.

Mzee baba thibitisha madai yako kuhusu Salah vinginevyo hatutokuelewa.
 
1. So rumours of Salah wanting 400k-500k zimekuja from nowhere? kwamba a scouser from toxteth kaamka asubuhi na kuamua ku-put tu hizo rumuors in the streets? what do you understand kuhusu media manipulation kwenye highly profiled contract negotiations katika football? what do you understand kuhusu "full control of narration" kwenye public & media oriented negotiation talks, especially kwenye football? what do you understand kuhusu football politics? you think rumuors huwa zinakuja tu from nowhere?

Now, one of the very reliable LFC jorno, Neil Jones aliwahi ku-report kuwa FSG proposal yao kwa Salah ambayo ipo kwenye table ni 250k p/w, Salah ameikataa hii proposal, he's not bugding in, na pia FSG hawataki kupanda zaidi ya hapo, in december, Salah came out and said "The club knows what he wants, and if it was up to him, he'd like to STAY", then few days later rumours z kuwa he wants 400k-500k zikaingia kwenye media circulations, so kwa mtazamo huo, nani hapo anayetaka ku-claim the upper hand? FSG or Salah? Salah camp haiwezi ku-leak kuwa anataka 400k, itakuwa ni disadvantage na his bid ya kutaka kubakia at LFC ambayo ameshai-declare, FSG dont want to go above 250k, they're failing to convince the best attacker in the world right now, they're failing to convince EPL top scorer, and a man with 8 goals in the UCL this season, they're failing to convince a world class star at the moment, sasa nani ambaye atakuwa anahangaika ku-cover hiyo incomptence? Salah or FSG? who wants to control the narrative here? its FSG and they're winning.

Who mocked Klopp? Salah or his agent? so Salah alimpigia simu agent wake na kumwambia "man, mock klopp, put them emojis out"? you got to be a stupid person to believe this, then unajua how hard it is to deal na hawa AGENTS? LFC mpaka leo hawa-deal na Raiola, ulikuwa around when we were dealing with Sterling agent?, these agents represents players, na kama players wakipata good deals na wenyewe wanakuwa sorted for life, Coutinho alivyoona agent wake wa awali anashindwa kupigana vita ya negotiation na FSG, akambadilisha na kumpa kazi Kia, ambaye haikuchukua months akafanikisha move yake ya Barcelona, agents are not friends of any club dude, you cant expect an agent to respect Klopp, because he's Klopp, Agent anachoongalia ni commission yake tu, and matter of fact LFC ndiyo inaongoza kulipa big agent fees kwenye transfer deals kuliko Club yeyote, na ndiyo maana transfer deals za kina Fabinho, Keita, Salah, Mane, Firmino, Jota, Diaz, Thiago etc zilikuwa smooth, na hii ni power ya agents, they can break/kuvunja transfer deals in a second, kwa sababu ya nguvu waliyonayo katika negotiation, especially kwe fees na wages, na ndiyo maana Edwards aliamua kuja na hii approach.

2. LFC football club, was considered as the best/top football club in the world msimu wa 2019/20, winning the league with 7 games to spare while setting so many memorable records, heights tulizofikia msimu ule ni BORA kabisa kuwahi kutokea kwenye EPL history, alongside with Arsenal's invincibles and Chelsea ya 2004/05, sasa kilele kipi unachokizungumzia? LFC ikishinda treble/quadruple itakuwa ni very impressive new record for the club because ni one-life time occurance, but heights tulizofikia 2019/20 ni top of the lots pia, matter we were on top of europian football for 2 seasons running (2018-19, 2019-20).

3. Dude, i have said in my previous post, Klopp is a MANAGER, you know kazi ya football manager in english football right? but when it comes to financial management, he's just an employee kama employee wengine at the club, because hana LAST SAY kwenye any of club's financial matters, ana exclusive power na kutoa opinions/suggestions but the owners wana LAST SAY, ndiyo maana kuna wachezaji Klopp aliwahitaji na akawakosa kwasababu FSG (the owners) couldnt pay their wages or transfer fee, hii ni nature ya football, then as a MANAGER, on-pitch affairs zote zinamuhusu, kwahyo ni LAZIMA ajue kinachoendelea kwenye negotiation yeyote ile inayomuhusu mchezaji wake, because ana plan team kulingana na wachezaji alionao, mfano now anajua amebaki na Salah kwa msimu mmoja tu (as it stands), so at the end of the days FSG wanatakiwa kuja kumwambia kuwa;

(A). We are still in talks
(B). negotiation have broken down
(C). Salah will leave for free after his last season.

ishu ya kwanza (A), ndiyo details ambazo Klopp anazo, na anajua what the club has offered Salah na mazungumzo yanaendeleje, so akija kwenye presser ni lazima atasema kile ambacho ameambiwa na FSG, unataka aseme kitu gani? hata kama anataka Salah abaki, hana LAST SAY, Mourinho na Conte kila siku wanagombana na owners wakiona hawawi BACKED, lakini mwisho wa siku hakuna kinachobadilika because hawana LAST SAY, na ndiyo maana Conte huwa anaondoka, na Mourinho huwa anafukuzwa owners wakiona kazidisha makelele.

Ishu ya pili (B), FSG ni LAZIMA wamwambie Klopp kuwa negotiation ime-fail ili Klopp aandae new targets in the market, kwasababu yeye ndiyo anaye-plan future ya team on the pitch, so kama FSG wakija na kumwambia negotiation zime-fail and we will sell Salah, Klopp lazima ana-analyze na kuwapa FSG list ya THREE TARGETS (plan A, B, C), anaoona wanafaa kum-replace Salah, na sometimes FSG wanaweza wakashindwa kuzipata hizo targets zote na hakuna Klopp atachofanya zaidi ya ku-plan na alichonacho, mifano ipo mingi.

Ishu ya tatu (C), So Klopp akiambiwa Salah atabaki kwa msimu mmoja, inamaana ataendelea ku-plan na Salah for one last season huku akitafuta solutions za ku-cover eneo lake when he eventually leaves.

4. Being the most feared during less-competitive era doesnt mean nothing, Shankly & Pasley should be remembered for shaping the HISTORY of this CLUB, history ambayo every LFC fan anatakiwa kuwa proud now, BUT football ime-evolve, na ndiyo maana when new experiments zilivyoanza kuwa introduced after 1992 or so, we started to struggle na hizi ni FACTS, as a fan you should respect and honour michango ya Shankly, Pasley & Daglish, but utakuwa ni kipofu kama uta-compare era ya sasa na ile ya kina Pasley, ni 2 different eras, now we are competing na clubs zinazonunua £80m-150m players like its nothing, tuna-compete na clubs zinazolipa players wake wages za £500m-600m like its nothing, we are competing with oil owners with bigger asiparations, and to win and stand firm against these teams you need to be at your VERY BEST, and thats what tunachofanya.

Back then, when LFC were struggling, and had nothing to show for it, nilikuwa najificha sana kwenye kichaka cha HISTORY, my very very very early posts on here can prove this, everyday nilikuwa nabishana na kina Ntuzu, Mentor, Nzi etc kuhusu HISTORY, because my Club wasnt doing GREAT at ALL, so i know LFC history kiundani sana, because i had to research new things everyday ili kubishana na kina Nzi, having said that, i can assure you this LFC team we are witnessing now, is better than any other LFC team in our history.

And jina la STEVEN GERRARD ndiyo jina kubwa kuliko MAJINA ya wachezaji/managers wote waliopitia LFC, and i respect DAGLISH.

We are actually competing every season, what more do you want, kwenye league we're competing with the likes of City & Chelsea every season, kwenye CL tunacompete na Madrid, Barca, Bayern, Juventus, PSG etc, you just cant win "major" trophies every season, the goal is to hang in there at the top and have the power and structure ya ku-compete for major honours every season.

Neil Jones anafahamika vyema tu rep wa liverpool GOAL.COM, anakuwaga hoste na bloodred mara kibao na podcasts zipo nyingi tu, vp mbona hujasema Jones amesikia nini kutoka Salah's court?

Mo aneshajua kuwa FSG do not 'appreciate' him kwa tafsiri ya maneno yake yeye mwenyewe ile December.
Unadhani FSG watagive in easily kwasababu jamaa ni world class? Umeonyesha jinsi gani una uelewa mpana the way football is run, sasa tuseme offer yao ni hiyohiyo 250 aliposema Jones, unadhani watapandisha bowing to Salah?

That will never happen, tumefika hapa na pay structure za kiwango 'hiki' na hata ikipanda haiwezi kuwa abruptly, ni gradual ili kuwe na balance ya wage bill kwenye kikosi kizima.
Akipewa hio 'anayotaka' what will happen kwa extension ya kina Mane na wengine? Unadhani watakubaliana kubakia hapohapo?

Sisi sio oil rich club na wala hatulingani na hao wanaolipa hizo sums kubwakubwa. Ila tunapata faida ndio, namna inatumika ni jukumu la wamiliki!
Wamiliki wanatofautiana biashara, networth, tabia etc. So tegemea utofauti pia kwenye kurun klabu zao (wapo wanaofanya biashara, wapo wanaojipromote zaidi)

Era ya sasa na huko nyuma ni vitu viwili tofauyi ndio, lakini history is history and we live with it. Hio era legeleve kwako ndo inaipa heshima ya kipeke club mpaka kesho, kwani club zingine zilikuwa wapi zisijinyakulie makombe kirahisi?

Salah ataweka records zake, Gerrard ana za kwake, hao wazee ni unbeatable hata useme ilikua era legelege. This is utterly disrespect!

Shearer amecheza era gani? Vp records zake?
I stand with loyalty, you can stay with paycheck status.

250k sio ndogo, labda kama unacompare na kina city, man utd na Chelsea ambapo nimeshasema wamiliki hawawezi kufanana!

Abramovich ameondoka, don't expect atakekuja ataendeleza kumwaga mafedha very easily kwa mapenzi ya club!!!

Hakukuwa na haja ya kum-mock Klopp, anapaswwa kuwa na akili kujua mzigo HAUONGEZEKI na HAPIGIWI mtu magoti. Ramy Abbas was very un-diplomatic
 
Sidhani kama kuna Mtu kasema Media zinalipwa na FSG kumchafua Salah.

Unajua unakwama wapi Boss?
Tatizo ni kwamba unadai kuhusu Salah kuleta Mtafaruku kwenye Timu lakini toka Juzi umeshindwa kuweka Fact hata moja ya kithibitisha kivipi MO analeta mtafaruku.

Unasema anamock Klopp, how? Hebu thibitisha basi ndugu ili tujifunze kupitia kwako.

Kipindi anahama Coutinho sote tulishuhudia aliitisha Media nyumbani kwao Brazil na kufanya interview huku akafake injuries ili asicheze tena Liverpool.
Lakini Mzee Baba umeshindwa kuthibitisha chochote kuhusu Salah then umejaa Confidence kutaka tuamini what you're claiming for.

Mzee baba thibitisha madai yako kuhusu Salah vinginevyo hatutokuelewa.

Hujaona alichofanya agent wa Mo?

Contract uncertainty ni distraction tosha unataka nikuelewesheje mzee?
 
MosDef ndio maana Klopp ni manager bora kwasababu humsikii akigombana na wamiliki kama hao Mou, Conte na wengine.
Kila mtu a-play role yake, manager akishindwa kumshawishi tajiri kununua mtu hapaswi kulialia, ni kupambana na anachopewa
 
Hujaona alichofanya agent wa Mo?

Contact uncertainty ni distraction tosha unataka nikuelewesheje mzee?

Kuhusu Ajent wa MO najua kuwa anafanya Kiburi! Lakini kuhusu Ajenti wake basi usimlaumu He's right coz he has a family to feed, yule ni Mteja wake hata mimi ningefanya kama yeye.

But kuhusu MO himself huwezi kuprove chochote kibaya kuhusu yeye and I stand to be correct.

Man simama kwenye kwenye line of truth sio kuwa brainwashed na British media wanaoattack foreign player in everyday life.

Imagine Maguire alipiga Mtu na uwanjani anacheza worst kulingana thamani yake aliyonunuliwa but wamemuattack Zuma kisa tu kampiga paka.
Do you remember what Flanagan did to his girlfriend? Then what happened?

Hivyo na Salah ataundiwa kila scandal kuhusu huu Mkataba but you'll never ever find sign of Salah's misbehave kwa Klopp au kwa Timu.

Just ni hayo tu.
 
Adjustments.jpg
 
Huyo agent hakuwa na ulazima wa kufanya vile sababu haibadilishi chochote, msimamo wa club upo palepale na umekua hivyo kwa kipindi kirefu tu haihitaji akili mingi kufahamu hili.
Kuhusu uingereza ni habari ya m-wamba ngoma kuvutia kwake - sio kitu kipya, nategemea kila mtu kuelewa hili!
 
Neil Jones anafahamika vyema tu rep wa liverpool GOAL.COM, anakuwaga hoste na bloodred mara kibao na podcasts zipo nyingi tu, vp mbona hujasema Jones amesikia nini kutoka Salah's court?

Mo aneshajua kuwa FSG do not 'appreciate' him kwa tafsiri ya maneno yake yeye mwenyewe ile December.
Unadhani FSG watagive in easily kwasababu jamaa ni world class? Umeonyesha jinsi gani una uelewa mpana the way football is run, sasa tuseme offer yao ni hiyohiyo 250 aliposema Jones, unadhani watapandisha bowing to Salah?

That will never happen, tumefika hapa na pay structure za kiwango 'hiki' na hata ikipanda haiwezi kuwa abruptly, ni gradual ili kuwe na balance ya wage bill kwenye kikosi kizima.
Akipewa hio 'anayotaka' what will happen kwa extension ya kina Mane na wengine? Unadhani watakubaliana kubakia hapohapo?

Sisi sio oil rich club na wala hatulingani na hao wanaolipa hizo sums kubwakubwa. Ila tunapata faida ndio, namna inatumika ni jukumu la wamiliki!
Wamiliki wanatofautiana biashara, networth, tabia etc. So tegemea utofauti pia kwenye kurun klabu zao (wapo wanaofanya biashara, wapo wanaojipromote zaidi)

Era ya sasa na huko nyuma ni vitu viwili tofauyi ndio, lakini history is history and we live with it. Hio era legeleve kwako ndo inaipa heshima ya kipeke club mpaka kesho, kwani club zingine zilikuwa wapi zisijinyakulie makombe kirahisi?

Salah ataweka records zake, Gerrard ana za kwake, hao wazee ni unbeatable hata useme ilikua era legelege. This is utterly disrespect!

Shearer amecheza era gani? Vp records zake?
I stand with loyalty, you can stay with paycheck status.

250k sio ndogo, labda kama unacompare na kina city, man utd na Chelsea ambapo nimeshasema wamiliki hawawezi kufanana!

Abramovich ameondoka, don't expect atakekuja ataendeleza kumwaga mafedha very easily kwa mapenzi ya club!!!

Hakukuwa na haja ya kum-mock Klopp, anapaswwa kuwa na akili kujua mzigo HAUONGEZEKI na HAPIGIWI mtu magoti. Ramy Abbas was very un-diplomatic
Neil Jones ni football reporter siyo investigive reporter, anapata na kuchukua news kutoka kwa credible sources anazoziamini, sasa kama hajapata credible source ya kumwambia kuhusu anachokitaka Salah kutoka upande wa Salah, hawezi report uongo, ame-report kile anachokijua, and thats FSG offer is 250k.

Salah isnt budging, FSG arent bugding, ingawa they're still in talks lakini bado wapo bit apart kufikia makubaliano, so kama either side hazitaki ku-budge, outcome ni moja tu mchezaji kuondoka, na Salah amebakiza msimu mmoja, na ana haki ya kuendelea kubakia LFC mpaka mkataba wake utakapoisha, so its either akubali offers za club zingine au aamue kubaki mpaka mkataba wake utakapoisha, ambapo atapata suitors wengi sana maana itakuwa ni free transfer, na kama ataamua kuondoka for free hii itakuwa ni bad business for the club & FSG, maana thamani ya Salah ni more than £80m-£100m kwenye market, so its either umpe mkataba mpya au u-risk kumpoteza for free, so utaangalia ni upande upi ambao upo kwenye bad spot right now.

"Tumefika hapa kwa pay-structure za kiwango hiki", this is absurd, so you're risking kuwa left behind kwa ku-stick na kitu ulichokuwa unafanya wakati unajaribu kuuinua na kukuza brand ya club iliyokuwa imefifia? so it means upo tayari kurudi kule kule kwa mwanzo kwa ku-stick na rules ambazo zimekuwa out-grown na Club revenues? LFC are one of the biggest clubs in the world now, ku-maintain hiyo STATUS ni lazima u-dig deep, Chelsea & City hawaku-maintain hiyo status kwasababu tu ya kuwa na rich owners, ni kuwa walitengeza structures zinazoruhusu Club kubadilika na ku-evolve kulingana na mahitaji ya mpira wa sasa, sasa how can you compete kwa kipindi kirefu kama unataka kujificha kwenye kivuli cha Sell to buy policy & limited wage bill structure ambayo ni myth vile vile, hiyo sell to buy policy ilitaka kutuumiza msimu uliopita, kwa kushindwa ku-replace players tuliowauza on time, tumekuja kumnunua Konate wakati tayari damage imeshafanyika, now its Salah, next time itakuwa Trent, Jota, Diaz, Fabinho, VVD etc, tutakuwa tunashindwa ku-keep WC players kisa Wage bill structure? Jota is on 90k now, kwa his important goals anazofung kila week, you agent wake ata-demand pay-rise ya Shilingi ngapi? so naye tutamuacha aende? a serious club with ambition ingekuwa kwenye maongezi ya 1-2 years extension na Mane/Firmino, but FSG wapo kimya mpaka sasa, na ukimya unamaanisha mambo mengi sana.

Sisi siyo oil club, yes but we are competing with oil clubs kila week, and i have been holding back kuhusu hii ishu ya Wage-bill structure, because i didnt want to go there, but our WAGE BILL ni kubwa tunapitwa na 4 clubs tu (Barcelona, Man City, PSG and Madrid), our Wage bill structure is bigger than Chelsea, Utd, Arsenal, Spurs etc, ndiyo maana nikasema ni myth, we are in €317m, Man City are in €433m, the difference is not that big, kwa kisingizio kwamba we are not the oil club, LFC haijafika hapo ilipo kwa hiyo notion yako ya wage-bill, ni MYTH, mnazolishwa kwenye mitandao, na its sad kwasababu mnapokea kila kitu bila kufanya research, i didnt want to go there but i had to.

Team yenye more than 6 WC and bankable players haiwezi kuwa na wage-bill structure iliyo limited, we have 3 players who are on 200k+ (plus bonuses), we have 7 players who are on 150k+ (plus bonuses), we have few players who are on 100k-140k (plus bonuses), Curtis Jones is 60k p/w, Utd or Chelsea hawalipi youngsters wao who are yet to make a mark mshahara mkubwa kama huu, then soon, Jota & Diaz will need a pay-rise, if Takumi gets a new deal, ataingia kwenye 100k club, hata jones kama aki-renew ataingia kwenye 100k club, what limited wage-structure are you talking about?

Man City (Oil club) highest earner ni KDB, analipwa 375k, whats wrong with payinh Salah that amount? especially if you're paying Milner 150k p/w (plus bonuses)

Yes, at utd Cr7, sancho, varane, pogba etc are on high wages, same to chelsea with Lukaku, Werner etc, but kinachoiumiza club ni excessive bonuses, at first wali-introduce bonuses ili ku-limit basic wages, but LUCKLY the team is perfoming at the HIGHEST LEVEL now (PL, CL, FA, EFL), na bonuses ni za team nzima (players & Coaches) Klopp analipwa 340k p/w, with bonuses unadhani itakuwa sh.ngapi kwa kila bonus ya 3 points?

LFC hatuna wage-bill ya kinyonge, Salah ishu ipo deep zaidi ya his wage demands.

Hakuna FOOTBALL CLUB ambayo haina HISTORY, hakuna CLUB ambayo haina PIONEERS and LEGENDS, kitu ambacho kinafanya LFC HISTORY kuwa special kuwa we used to win a LOT, but again your club history means nothing if your club is failing to cope with modern football, i respect the Club's history and i respect Club's legends, but kama walivyoishape LFC back then, na sasa ni time ya ku-shape hii LFC team ya sasa, because years from now nayo itakuwa ni HISTORY, itakuja team ambayo ita-set na kuvunja records za hii team ya sasa, thats nature. and we cant stay here a lie kuwa this is not the BEST lfc team in years, with great players, i'm the biggest advocate of LFC rich history but am not BLIND.

Daglish is a legend, but vipimo and adimiration zinatofautiana dude, SG is the most respected Club legend in our history, you can ask the older fans waliokuwepo tangu zamani na watakwambia the same, SG carried this team wakati tukiwa kwenye phase ya kupokea mabadiliko na uhitaji mpya wa mpira wa kisasa, SG ndiyo alikuwa DARAJA, ndiyo maana he's the most respected, Daglish, Liddel, Molby, Ian, Hansen, Neal, Rush, barnes etc shaped our HISTORY, but influence ya SG at LFC ni undisputed, ask these legends and they will tell you the same thing.

LOYALITY kwenye football, hakuna loyality kwenye football, acheni kujidanganya kwenye hivi vichaka, hii sport ni ajira, siyo charity organization, players wana-make a living through football, ndiyo maisha yao, untaka acheze free? wakati owners wana-make millions kutokana na his hard work on the pitch, you think its easy ku-chase the ball with a lot of energy, power and risk tackles, leg breaking accelerations for whole 90 minutes every week and maybe sometimes weekdays? hakina kazi nyepesi duniani, na hakuna kitu kama "ROYALITY" kwenye financial matters, football ni kazi kama kazi zingine, SG put in a transfer request ya kutaka kwenda chelsea, Ian Rush aliondoka LFC kwenda Juventus in his peak years, what loyality unayoiongelea? Trent a born & bred Scouser and a LFC fan demanded 180k p/w at 21, so why should Salah awe na Royality? what is royality wakati the player in question anakupa trophies & 3 points every week? stop treating football as a charity sport, there's a reason it was called a Professional footabll sport.

250k ni peanuts kwa world star like Salah, and yes na-compare na hizo team because zote bar Man city zina wage structure ndogo kuliko sisi.
 
Kuhusu Ajent wa MO najua kuwa anafanya Kiburi! Lakini kuhusu Ajenti wake basi usimlaumu He's right coz he has a family to feed, yule ni Mteja wake hata mimi ningefanya kama yeye.

But kuhusu MO himself huwezi kuprove chochote kibaya kuhusu yeye and I stand to be correct.

Man simama kwenye kwenye line of truth sio kuwa brainwashed na British media wanaoattack foreign player in everyday life.

Imagine Maguire alipiga Mtu na uwanjani anacheza worst kulingana thamani yake aliyonunuliwa but wamemuattack Zuma kisa tu kampiga paka.
Do you remember what Flanagan did to his girlfriend? Then what happened?

Hivyo na Salah ataundiwa kila scandal kuhusu huu Mkataba but you'll never ever find sign of Salah's misbehave kwa Klopp au kwa Timu.

Just ni hayo tu.
Salah amekuwa very professional kwenye hii saga.
 
Salah anadai mshahara wa paundi laki 3 tofauti na 2 anayolipwa sasa. FSG wako tayari kumpa laki 2.5. Hizo za laki 5 ni za media ya UK wameanzisha kumgombanisha Salah na hao FSG.
 
Neil Jones ni football reporter siyo investigive reporter, anapata na kuchukua news kutoka kwa credible sources anazoziamini, sasa kama hajapata credible source ya kumwambia kuhusu anachokitaka Salah kutoka upande wa Salah, hawezi report uongo, ame-report kile anachokijua, and thats FSG offer is 250k.

Salah isnt budging, FSG arent bugding, ingawa they're still in talks lakini bado wapo bit apart kufikia makubaliano, so kama either side hazitaki ku-budge, outcome ni moja tu mchezaji kuondoka, na Salah amebakiza msimu mmoja, na ana haki ya kuendelea kubakia LFC mpaka mkataba wake utakapoisha, so its either akubali offers za club zingine au aamue kubaki mpaka mkataba wake utakapoisha, ambapo atapata suitors wengi sana maana itakuwa ni free transfer, na kama ataamua kuondoka for free hii itakuwa ni bad business for the club & FSG, maana thamani ya Salah ni more than £80m-£100m kwenye market, so its either umpe mkataba mpya au u-risk kumpoteza for free, so utaangalia ni upande upi ambao upo kwenye bad spot right now.

"Tumefika hapa kwa pay-structure za kiwango hiki", this is absurd, so you're risking kuwa left behind kwa ku-stick na kitu ulichokuwa unafanya wakati unajaribu kuuinua na kukuza brand ya club iliyokuwa imefifia? so it means upo tayari kurudi kule kule kwa mwanzo kwa ku-stick na rules ambazo zimekuwa out-grown na Club revenues? LFC are one of the biggest clubs in the world now, ku-maintain hiyo STATUS ni lazima u-dig deep, Chelsea & City hawaku-maintain hiyo status kwasababu tu ya kuwa na rich owners, ni kuwa walitengeza structures zinazoruhusu Club kubadilika na ku-evolve kulingana na mahitaji ya mpira wa sasa, sasa how can you compete kwa kipindi kirefu kama unataka kujificha kwenye kivuli cha Sell to buy policy & limited wage bill structure ambayo ni myth vile vile, hiyo sell to buy policy ilitaka kutuumiza msimu uliopita, kwa kushindwa ku-replace players tuliowauza on time, tumekuja kumnunua Konate wakati tayari damage imeshafanyika, now its Salah, next time itakuwa Trent, Jota, Diaz, Fabinho, VVD etc, tutakuwa tunashindwa ku-keep WC players kisa Wage bill structure? Jota is on 90k now, kwa his important goals anazofung kila week, you agent wake ata-demand pay-rise ya Shilingi ngapi? so naye tutamuacha aende? a serious club with ambition ingekuwa kwenye maongezi ya 1-2 years extension na Mane/Firmino, but FSG wapo kimya mpaka sasa, na ukimya unamaanisha mambo mengi sana.

Sisi siyo oil club, yes but we are competing with oil clubs kila week, and i have been holding back kuhusu hii ishu ya Wage-bill structure, because i didnt want to go there, but our WAGE BILL ni kubwa tunapitwa na 4 clubs tu (Barcelona, Man City, PSG and Madrid), our Wage bill structure is bigger than Chelsea, Utd, Arsenal, Spurs etc, ndiyo maana nikasema ni myth, we are in €317m, Man City are in €433m, the difference is not that big, kwa kisingizio kwamba we are not the oil club, LFC haijafika hapo ilipo kwa hiyo notion yako ya wage-bill, ni MYTH, mnazolishwa kwenye mitandao, na its sad kwasababu mnapokea kila kitu bila kufanya research, i didnt want to go there but i had to.

Team yenye more than 6 WC and bankable players haiwezi kuwa na wage-bill structure iliyo limited, we have 3 players who are on 200k+ (plus bonuses), we have 7 players who are on 150k+ (plus bonuses), we have few players who are on 100k-140k (plus bonuses), Curtis Jones is 60k p/w, Utd or Chelsea hawalipi youngsters wao who are yet to make a mark mshahara mkubwa kama huu, then soon, Jota & Diaz will need a pay-rise, if Takumi gets a new deal, ataingia kwenye 100k club, hata jones kama aki-renew ataingia kwenye 100k club, what limited wage-structure are you talking about?

Man City (Oil club) highest earner ni KDB, analipwa 375k, whats wrong with payinh Salah that amount? especially if you're paying Milner 150k p/w (plus bonuses)

Yes, at utd Cr7, sancho, varane, pogba etc are on high wages, same to chelsea with Lukaku, Werner etc, but kinachoiumiza club ni excessive bonuses, at first wali-introduce bonuses ili ku-limit basic wages, but LUCKLY the team is perfoming at the HIGHEST LEVEL now (PL, CL, FA, EFL), na bonuses ni za team nzima (players & Coaches) Klopp analipwa 340k p/w, with bonuses unadhani itakuwa sh.ngapi kwa kila bonus ya 3 points?

LFC hatuna wage-bill ya kinyonge, Salah ishu ipo deep zaidi ya his wage demands.

Hakuna FOOTBALL CLUB ambayo haina HISTORY, hakuna CLUB ambayo haina PIONEERS and LEGENDS, kitu ambacho kinafanya LFC HISTORY kuwa special kuwa we used to win a LOT, but again your club history means nothing if your club is failing to cope with modern football, i respect the Club's history and i respect Club's legends, but kama walivyoishape LFC back then, na sasa ni time ya ku-shape hii LFC team ya sasa, because years from now nayo itakuwa ni HISTORY, itakuja team ambayo ita-set na kuvunja records za hii team ya sasa, thats nature. and we cant stay here a lie kuwa this is not the BEST lfc team in years, with great players, i'm the biggest advocate of LFC rich history but am not BLIND.

Daglish is a legend, but vipimo and adimiration zinatofautiana dude, SG is the most respected Club legend in our history, you can ask the older fans waliokuwepo tangu zamani na watakwambia the same, SG carried this team wakati tukiwa kwenye phase ya kupokea mabadiliko na uhitaji mpya wa mpira wa kisasa, SG ndiyo alikuwa DARAJA, ndiyo maana he's the most respected, Daglish, Liddel, Molby, Ian, Hansen, Neal, Rush, barnes etc shaped our HISTORY, but influence ya SG at LFC ni undisputed, ask these legends and they will tell you the same thing.

LOYALITY kwenye football, hakuna loyality kwenye football, acheni kujidanganya kwenye hivi vichaka, hii sport ni ajira, siyo charity organization, players wana-make a living through football, ndiyo maisha yao, untaka acheze free? wakati owners wana-make millions kutokana na his hard work on the pitch, you think its easy ku-chase the ball with a lot of energy, power and risk tackles, leg breaking accelerations for whole 90 minutes every week and maybe sometimes weekdays? hakina kazi nyepesi duniani, na hakuna kitu kama "ROYALITY" kwenye financial matters, football ni kazi kama kazi zingine, SG put in a transfer request ya kutaka kwenda chelsea, Ian Rush aliondoka LFC kwenda Juventus in his peak years, what loyality unayoiongelea? Trent a born & bred Scouser and a LFC fan demanded 180k p/w at 21, so why should Salah awe na Royality? what is royality wakati the player in question anakupa trophies & 3 points every week? stop treating football as a charity sport, there's a reason it was called a Professional footabll sport.

250k ni peanuts kwa world star like Salah, and yes na-compare na hizo team because zote bar Man city zina wage structure ndogo kuliko sisi.
Loyalty

Hio taarifa kuwa tunapitwa na club 4 tu ulaya kwenye wage bill umetoa wapi? Mimi nafahamu kwenye epl pekee sisi ni wa 4 kwa total pay roll (134m Sterling) na total expenditure kwa mwaka ulioisha ni 314m Sterling ambapo ni wa 4 vile!

Kwenye history ulipotea mazima kwa maana sikulenga kama ulivyojitafsiria, nilisema earlier kuwa peak ya mafanikio kwangu ni kipindi cha paisley vijana wake nikimaanisha hii ndio 'benchmark' sio competing na clubs nyingine hapa. I expect every liverpool fan to have a fair share of history, you felt doubted? a mere flaw?

Stevie G is that much respected kwasababu ya loyalty ila husemi hili unakwepakwepa alafu unadai hakuna loyalty kwenye Mpira. Yes alitaka kwenda chelsea lakini hakwenda akabaki na akatwaa taji la UCL. Heshima ya Gerrard ni kwasababu ya loyalty usiwe mzito kukiri yaliyowazi
 
Dude, you expecting me to declare my sources? you're a LFC do your research, kila kitu kipo on paper.

But, again nimeona hapo research yako imeishia google, kujumlisha total ya basic weekly salary za whole team, siyo how you determine a wage-bill structure, you need to study kuhusu Wage-bill structure, it seems you no nothing about it, and ruhusu your brain kusoma vitu vipya, aritcles za spotrac/transefer market zinazojadili zaidi Seasonal basic salary cap table, haziwezi kukusaidia, LEARN.

Hizo expenditures za mwaka ni zipi? matumizi yapi hayo yaliyofikia £314m kwa mwaka? na kutufanya kuwa wanne kwa matumizi mzee mwenzangu?

Mwaka 2018, forbes walitoa list ya Clubs zenye high wage bills, and LFC were above Man City, with £263m, now few years later what has changed from LFC perpective? giving extensions tu Firmino, Trent, Salah, VVD, Robertson, Fabinho etc, signing Thiago on big wages, etc, wage-bill itakuwa the same? from 2018 up to now, City have signed a 100m players on high wages, renewed a lot of their players contracts, now they KDB sitting at 375k, and few good amount of players are on 250k+, wage-bill yao itabaki the same? kasome kuhusu basic salaries, goals & assists bonuses, 75-90 match minutes bonuses, man of the match bonuses, hat-trick bonuses, Clean sheet bonuses etc, hizi ni exclusive bonuses zinazokuwepo kwenye mikataba ya highly profiled players, and our whole 11 is filled with highly profiled players (excluding Jones, Elliot, Takumi, Tsimikas (huyu anatakiwa na teams kibao europe now), etc), na wote hao wanapata bonuses za goals & assists exclusively. you need to LEARN, and its take time.

You probably dont understand how football contracts works, Origi huyu anaendoka, kama kuna idadi ya games angecheza msimu huu na kuzifikia mkataba wake ungeji-renew automatic for another 1 year, na ndiyo maana Klopp was managing his minutes, na hii simlaumu Klopp maana anajua potential ya Origi na anataka acheze mpira, sadily at LFC hawezi pata nafasi kama akienda kwingine, na ndiyo maana last summer tuli-invite bids na hakuna aliyefikia makubaliano ya wages na Origi, but he's moving to AC MILAN for free, and probably Klopp knew this, ndiyo maana amekuwa makini na minutes za Origi ili move yake isikwame, AC MILAN is a good club for Origi, football contracts zinakuwa na clauses nyingi sana especially contracts za WC players kama Salah.

Flaws? NO, i know LFC history in details, i have original cassettes, jerseys etc za LFC through the years, i advocate it openly, but NOW i have been watching and witnessing the BEST liverpool team in my whole life for the past 4 years, i wont let nostalgia get the best of me dude, not now, not now at all. umechagua Pasley era kuwa the best kwako, me nimechagua Klopp era kuwa the best kwangu, matter of fact my 2nd favorite era ni ya benitez from 2004-2009, We can agree to be different on this, theres nothing wrong with it.

Steven Gerrard, a scouser, a liverpool City native, a boyhood LFC fan, PUT IN A TRANSFER REQUEST ili apate move ya kwenda Chelsea, unaelewa nini kuhusu transfer request? it means una-declare kwenye public na dunia nzima kuwa unataka kuondoka na club ikuruhusu kuondoka kwasababy hutaki kuendelea nayo, TRANSFER REQUEST ni act of betrayal, and SG alifanya hivyo, sasa nisije nikawa naongea na mtu ambaye hakuwepo na LFC that time, maana kama ungekuwepo sidhani kama ungekuwa na concerns hapa, LFC fans walikuwa wana-camp nyumbani kwa SG threating to kill and harm his family and they were serious, he's a liverpool native, people walikuwa wanajua mpaka uncles zake wanapokaa, he STAYED in the end kwasababu ya RAGE ya his fellow scousers na LFC fans around the world, dude you claim to be LFC historian but it seems uko behind sana, saga ya SG ilikuwa ni baada ya ISTANBUL, not before, kabla ya hapo kulikuwa na speculation kuwa chelsea wants, but after CL final, Chelsea made a move, they're bid came in 2005 dude, na ndiyo maana kulikuwa na RAGE kubwa sana because SG was our GOLDEN CHILD, na Mourinho mpaka kesho anaumia, maana SG himself told him, kuwa ata-sign for Chelsea. unaongea kuhusu Royality mzee mwenzangu? kwenye football? Learn the rules of football dude, its not that easy being a football fan, kama huelewi rules za professional sport kama hii, utakuwa unachukia wachezaji kila siku, kisa wanajaribu kutafuta good deals na good teams za kuwapa trophies, players are human-being, they have emotions & preferences, they are not machines..

Then it doesnt matter why SG decided to stay for good (ingawa LFC fan waliopo kipindi kile wanajua why? its just like we dont want to remember or even talk about), my notion kwenye hii ishu ya royality, ilikuwa ni kuonesha kuwa as a human-beings, tumeumbwa na selfishness, whether its good or bad, but the bottom line is everybody wants to have something good for his life & wellbeing, thats the nature, same applies kwa players, they want good deals, trophies, playing with WC players, what made SG want to move to Chelsea after winning the CL? truth is we won the CL but we had a very very average team, na Chelsea walikuwa na very excited project, and SG wanted to be a part of it, main factor ni kuwa alikuwa anaona atashinda EPL na Chelsea na kuwa guaranteed na a very good deal, in football hivi ni vitu vya kawaida sana, players wana asiparations kama za kwetu fans, they want trophies too, mfano mdogo tu kama tungekuwa tuna-struggle, hawa kina Salah, Mane, Fabinho, VVD etc wangekuwa washaondoka muda sana, but they are here because we are competing vizuri, thats football.

Then unatakiwa ujue kutofautisha kati ya Royality, love & respect.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom