Endelea kulialia, the game has never been fair. Ndio maana kuna kupetaIncident yenu na zetu hazina mfanano hata kidogo.
Sisi tulikuwa na Incident nyingi[zaidi ya 3] ambazo zilikuwa clear kabisa lakini hazitolewa maamuzi sahihi.
We ni boflo kabisaN6inyi ndo mashabiki maandazi
sawa kiaziWe ni boflo kabisa
Ishu za mikataba hua ni supa confidential yaaani mara chache sana kuujua ukweli ni ngumu especially kutoka kambi ya mchezaji ambae lazima awe na subira ukizingatia kama Salah endapo ataona maisha ya Anfield basi lazima awe na nidhamu anakokwenda wasije muone snitch nk.Salah ni one of the most bankable soccer player in the world right now, na kama nilivyosema tangu huko juu kwa status aliyofikia Salah right now, ni lazima angekuwa na demands za ziada kwenye mkataba mpya, and theres nothing wrong with that, hiyo ndiyo nature ya football.
Problem iliyopo ni kuwa FSG puppets wanataka kuaminisha watu kuwa Salah ana-demand wages kama za kina Ronaldo, Messi, Neymar etc, kitu ambacho siyo ukweli kabisa, kwa kitumia logic ndogo tu.
We have got senseless owners man, kila star player anapokuwa anahitaji pay-rise lazima watengeneze agenda kumuhusu, na wanafanya hivi kwasababu ni kitu cha ajabu sana kushindwa kuafikiana na your star player ambaye bado yuko kwenye his peak years, so ni lazima watengeneze propaganda za kuonesha kuwa "they tried to stop him" ili kuepusha backlash ya fans, but i'm happy, hii ya Salah imekuwa ngumu kidogo because he declared kuwa he WANTS to stay.
Mark this post Captain, kwenye ishu ya Trent lazimq kutakuwa na hizi propaganda because looking at Trent's development right now, na the way anavyo-grow kimpira every week, mpaka kufikia 2025 atakuwa one of the MAIN pillars of LFC, on and off the pitch, na hato-demand pay-rise ya kawaida, considering he's earning 180k now.
Akiodoka kama Gini itawauma balaa. Ndio maana wanafanya lobbying dogo aonekana ni full tamaa kwa kutaka mshahara wa 500k kwa wiki.Nobody knows this zaidi ya ya Club na Salah's camp, but it seems Salah isnt budging/accepting FSG proposal, hence the vile leaks & lies za kumchora Salah kama villain & greedy.
In his last interview when Salah declared kuwa he wants to stay, alisema the Club knows what he wants, so largelly the ball is on FSG court, not Salah's, because yeye ana uwezo wa kubaki msimu mmoja uliobakia akamaliza ku-break records anazozifukuzia at LFC & EPL, na akaondoka zake for free, without FSG making a single dime.
Blogger value. Weka sokoni kama utapata hata 2bnLIVERPOOL FOOTBALL CLUB, is valued at £5bn son, (7bn in Us dollars).
Turnover ya club kwa mwaka ni more than $600m, these are Manchester United numbers son (the biggest soccer brand in the world), brand wise, kwasasa level yetu ni United, Madrid, Barcelona etc.
And, main reason ya hiyo valuation hapo juu, ni mgawanyo wa minor stakes ambazo FSG Wanauza kwa bidders through LFC brand.
Redbird recently bought a 10% minor stake at FSG under the LFC banner/brand for £500m ambayo ndiyo inatumika ku-develop anfield, na once Anfield is completely developed, Valuation itapanda zaidi, you're selling your whole Chelsea brand for £1bn+, we have sold a minor stake of our brand for not less than £500m, ($700m+ in us dollars including Red Sox brand), our BRAND is much bigger.
Mo ni mchezaji mzuri sana lakini kwa kipindi hiki anapaswa aoneshe loyalty zaidi kwa club, ndivyo ilvyo kwa kina Mane na Bobby. They understand the value of the club.Akiodoka kama Gini itawauma balaa. Ndio maana wanafanya lobbying dogo aonekana ni full tamaa kwa kutaka mshahara wa 500k kwa wiki.
Duniani bahati zipo lakini tazama Bale pale Los Blonco tetesi ni anapata 600k kwa wiki kama kweli basi bahati hakika zipo ukizingatia muda mwingi dogo hua mahututi anaumwo lakini Salah ambae hata kuumia hakupo ki vile nusu ya Bale hapati jamani khaaaa.
Salah kwa sasa ana mission yake kumaliza msimu akiwa mfungaji bora na hali ikiruhusu tukishinda EPl, FA na UCL.
YNWA
Kwani nyie mnabeki kama VVD?View attachment 2168554
Huyu beki wenu wa mchongo ametamba kipindi ambacho akina kipepe wanacheza.
Angekutana na wanaume kama Akina Drogba ndio angejua wanaume hawana mchezo. Wangemsataafisha siku 2.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]But also he's very lucky to play in an era where there are Messi and Ronaldo na tukambamiza Barcelona 4 - 0 na Manure 5 - 0.
Messi = 1000 Drogba + 500 Van persie + 10 Henry, 7 Alan shearer + 200 Lampard + 1200 Adebayor + 150 Rooney + 350 Diego Costa.
Kesho kuwa na Akili.
Gini anachokosa ni game time lakini mpunga anapata wa maana at least hilo linapoza machungu ya kutocheza. Akiwa professional anaelewa vyema sio kila move kwake itakua kama alikotaka.Mo ni mchezaji mzuri sana lakini kwa kipindi hiki anapaswa aoneshe loyalty zaidi kwa club, ndivyo ilvyo kwa kina Mane na Bobby. They understand the value of the club.
Kitu kinafanya Salah aonekane villain sio lobbying ya FSG, shida ni yeye na agent wake hawako smart kabisa. Wanafanya madai sahihi lakini at a very wrong time, very very wrong!
Huu sio wakati wa kututingisha ***** kabisa, wrong timing na watajifunza hapo!
Gini anajuta kuhamia PSG, anakumbuka maisha na familia ya liverpool
Sio game time tu, na hilo kwake sio shida! Ni hali ya hewa ndani ya familia pale PSG ndio inamkumbusha mapenzi mtu anayopewa akiwa liverpool. Juzi tu hapa hali ikuwa mbaya baada ya kutolewa na Madrid wakati huku kwetu we stand together no matter what!Gini anachokosa ni game time lakini mpunga anapata wa maana at least hilo linapoza machungu ya kutocheza. Akiwa professional anaelewa vyema sio kila move kwake itakua kama alikotaka.
Salah hana muda mwingine wa kudai anachokitaka ni sasa kwanza yupo kwenye fomu na pia mkataba wake unaelekea ukingoni hivyo angalau afahamu vyema kama anatafuta ajira kwingine.
Salah uwanjani analipa.
Salah kibiashara analipa.
Ukiwa katika levo hizo ndio inakua wakati sahihi kudai nyongeza ya mshahara.
Labda Wakala wake nae kuna baadhi ya vitu mambo hawa FSG wana mdiss kiasi ana behave ana behave si bure kwa kweli.
YNWA
[emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]Mwehu sana huyu anasahau sisi ndo tuliwafanyia fadhila tukawapa Torres akawabeba, vinginevyo ungekuta wanatamba na hiki kimoko Cha mwanafunzi wa Klopp!
I will always stand with Mo salahMo ni mchezaji mzuri sana lakini kwa kipindi hiki anapaswa aoneshe loyalty zaidi kwa club, ndivyo ilvyo kwa kina Mane na Bobby. They understand the value of the club.
Kitu kinafanya Salah aonekane villain sio lobbying ya FSG, shida ni yeye na agent wake hawako smart kabisa. Wanafanya madai sahihi lakini at a very wrong time, very very wrong!
Huu sio wakati wa kututingisha ***** kabisa, wrong timing na watajifunza hapo!
Gini anajuta kuhamia PSG, anakumbuka maisha na familia ya liverpool
Thiago silvaKwani nyie mnabeki kama VVD?
Mo apokee hiyo iliyopo kwa mwaka mmoja ili tumalizane na hizi assignment nzito kwanza, ndo aje adai upya anayoitakaI will always stand with Mo salah
FSG waache ujanja ujanja walipe watu vizuri
This is a very weird take Mkuu especially kutoka kwako.
Choosing kusimama na FSG over Salah/any LFC player siyo suala la kulisema kirahisi kama utazingatia history ya FSG at LFC.
Tunasahau mapema sana, FSG walikuwa wanaiendesha hii Club kama Mid-table team kabla ya ujio wa Klopp, Sifa wanazopata FSG now kwa kuonekana wana-run Club vizuri, zote zimekuja kwenye tenure ya Klopp, zimekuja 5 years late baada ya kuwepo at the CLUB since 2010, our Club was at one point a laughing stock under them, tunasahau pains tulizopitia kwa FSG kutuleletea average players for so many years kwasababu tu project yao ilikuwa hai-attract WC players kabisa, tunasahau kuwa Rodgers alikuwa analazimika kumtumia Captain SG kuwapigia simu wachezaji tunaotaka kusajili ili kujaribu kuwa-convince waje LFC, almost 12 years at LFC na wana 2 major trophies to show for it, na zote zimekuja kwenye tenure ya Klopp, why model yao ambayo inasifiwa kila kukicha ilikuwa haifanyi kazi kabla ya Klopp? i mean mbona haikutupa major trophies? kabla ya Klopp walikuwa na Carabao Cup tu kwenye CV yao, and what kama Klopp akiondoka? hii model inayosifiwa itaendelea kufanya kazi after Klopp? when tunajua fika kuwa it was a nothing model kabla ya Klopp.
Jurgen Klopp, changed LFC.
Salah, yupo very right kwa demands zake kuhusu mshahara, he's one of the most looked at soccer player in the world (on and off the pitch), kwa level ya Salah aliyofikia on a global note, ukikaa nae kwenye negotiation table, huongei nae tu kuhusu pay-rise na bonuses, unaongea nae pia kuhusu "image rights", pia, kama anakuletea hela nyingi kwenye club yako through his stardom (every soccer sponsor ni lazima atataka kufanya kazi na club ambayo ina-own signature ya mchezaji mwenye calibre yake), kwa mtizamo huo hawezi kukubali ku-sign mkataba mpya just because he loves the club, lazima a-secure his future as a husband/father and a human-being, in short huwa tunasahau sana kuwa life-span ya proffesional soccer players kwenye field & peak ni fupi sana, so ni lazima wapiganie maslahi yao ili kulinda maisha yao baada ya mpira.
Salah ameplay part kubwa sana kwenye mafanikio ya LFC under Klopp, matter of fact bado anaendelea kutoa mchango mkubwa sana, umuhimu wake ndani ya LFC ndiyo umefanya awe considered kama one of the top 3 best soccer players in the world right now, ukiwa unazungumzia faces za EPL huwezi kumuacha Salah, people all over the world are tuning EPL just to watch him play, kwanini asi-demand a pay-rise?, look at his numbers, look at what he's doing on the pitch every WEEK, why would you want to cash in on a player like him tena akiwa kwenye his peak? who does that?
LFC highest earner ni VVD (220k p/w), Salah is second with 200k, same with Thiago, now he wants a pay-rise, whats FSG excuse? kuwa wata-break Wage structure? what wage-structure? we are not a midtable team anymore, we are one of the world's best, going toe to toe with Man City, Bayern, PSG, Madrid, Barca etc, why should we entertain a stupid wage structure policy, same policy ambayo imeshuhudia baadhi ya players wakiondoka LFC baada ya kuona kuwa wapo under-valued na Club, same policy imeshuhudia baadhi ya players wakilipwa over the odds ukilinganisha na mchango wao on the pitch, same policy ambayo inafanya mpaka leo Karius agome kuondoka LFC ili ku-run down his contract bila hata kucheza kwasababu tu hakuna club ambayo ipo willing kumlipa anacholipwa at LFC, and whats more funny, wage structure yetu haina tofauti sana na ya Man City (one of the biggest world spenders), our highest earner ni VVD, but 75% ya senior players wana earn more than 150k (excluding bonuses), probably ni senior players wawili tu ambao wanalipwa chini ya 100k at LFC (Diaz & Takumi), we are paying Oxlade 120k p/w, for what? Henderson alikuwa ana-demand pay-rise kwasababu ya mchango wake wa ku-lead the dressing room na togetherness BUT we need to understand FSG policy when it comes to Salah? undisputed world class player.
Who can replace his output? few seasons ago, kuna watu humu walikuwa na agenda na Salah, and wengine wakataka Sancho awe his replacement, i remember writing a whole post about it, now look at Sancho pale Utd and tell me kama angeweza ku-replace output ya Salah right-away.
Front 3 ya SALAH/MANE/FIRMINO ni ICONIC, it will take years kwa LFC kupata front 3 yenye chemistry kubwa kama ile, na huwa haziji mara kwa mara, tulishuhudia, MSN na BBC na hazijajirudia tena kwa SPAIN, at LFC we had SG & Torres partnership, then years later we had SAS, then it took us years again kutengeneza front 3 hii ya sasa, na imefikia mwisho now as Mane & Firmino wamepoteza explosiviness zao, so Klopp is trying his best to manage their game-management, now Klopo is slowly trying to phase out the front 3 by introducing Jota & Diaz, but looking at them, looking at Jota all-round play hawezi ku-replicate role ya Firmino, looking at Diaz, bado ana flaws nyingi sana kwenye his game (though amekuwa impressive and eager to learn), it will take time, but going forward front 3 mpya haitakuwa lethal na complete kama hii inayokuwa phased out, hence Klopp is slowly ditching the 433, tunaingia kwenye 4231 ambayo our main target in the summer lazima itakuwa ni MF and not a forward.
People thinks it will be so easy kwa Jota & Diaz ku-replace game-plays za Mane & Firmino, no it wont be easy, na kwasababu hiyo Klopp itabidi aje na approach mpya ili kuendana na flaws za Jota & Diaz, na kama unawa-phase Mane & Firmino out, hiyo new approach itabidi uijenge around mchezaji ambaye yupo kwenye his peak ( a 25 goals winger, SALAH).
Tuseme, umemuuza Salah nani atakuwa his replacement ambaye anaweza ku-cover flaws za Jota & Diaz? Raphinha? Bowen? Antony? because FSG hawana guts za kusign players kama Mbappe, Kane, Haaland etc ambao wana uweso wa ku-replace directly output ya Salah.
Imagine having a front 3 of Diaz/Jota/Raphinha(Bowen), nani hapo anaweza kwenda Etihad, Bernabeu, Camp Nou, Allianz, OT, Stamford Bridge etc na akaweza kuamua game mwenyewe? Jota is scoring a lot of goals despite his bad all-round play kwasababu anacheza na world class attackers, mwangalie Jota wa Wolves na huyu wasasa, ni 2 different animals na hii sense inakuja kwa kucheza pamoja na world's best players, Diaz will develop kuwa world beater kama akiendelea kucheza alongside world class attackers, because they make it look easy sana, ukicheza nao, BUT you all want FSG to let these players GO, especially Salah, because mnahusi Klopp atafanya miracles, tunasahau his last years at Dortmund, alivyofail na attackers kama Immobile, ramos etc.
Give Salah his new contract and continue to build the new attacking line kupitia yeye, our main rival now, wanataka kumsajili Haaland, sisi tunataka kumuachia Salah, mchezaji ambaye misimu yake yote at LFC kafunga goals zaidi ya ishirini kwenye league, na bado ana njaa ya kufunga, then unataka umuachie kisa ana-demand right yake ya msingi kwenye his peak years. Pep guardiola anaachana na his false 9 experiment, anamtaka Haaland a 20 goals ST per season, sisi tunataka kumtoa our 20 goals per season winger, and bado tunataka ku-compete, compete with Bowen as your starting RW? atakupa nini kwenye CL nights? atakupa nini at Etihad when you need a WIN? atakupa nini ukiwa unahitaji ku-recover some loans kwa returns za mauzo ya Jersey?
FSG wants to sell Salah, and they know this is a perfect time ku-make huge profit on him, Mbappe is leaving PSG and they will try to replace him, its well known kuwa they've already contacted his agent and FSG knows this, luckly Salah doesnt want to leave, na mshahara anaotaka LFC ni mdogo compared na ule ambao ange-demand at PSG, na kama Salah asipopewa mkataba now he will leave for free next season, and this is what pains FSG the most, ndiyo maana wana-leak hizi propaganda kuwa he wants 500k as basic wage, this is nonsense, there's no way mchezaji anayelipwa 200k aende kwenye negotiation table na ku-demand payrise ya 300k, hakunaga kitu kama hicho, huwezi kuwa kichaa uka-demand upwards ya one of the highest wage fee note (300k), and sadly people are buying this, you got to be so stupid and un-educated to believe this, and moves zote hizi ni za kumfanya aonekane GREED, and this is well known FSG tactic, they did it to Sterling, Emre Can, Wijnaldum, Torres, the list goes on
Ukifatilia close hii saga, it seems Salah wants a payrise ya 100k from his-now contract of 200k p/w, which ukiongeza bonuses + image rights, inagota kwenye 380k, kwangu mimi ni very reasonable, ha-demand wages kama za kina Messi, Ronaldo, Mbappe, Haaland, Lewandowski etc, a very reasonable wage, kulinganisha na his status, na it can be negotiated, BUT you can feel FSG watakuwa wame-offer kuongeza 20k kwenye his wages ili awe on per with VVD (HAWASHINDWI na unaweza ukarejea saga ya Gini, that LEGEND was on 75k for years when he finally asked for a payrise for his hard work, sweat and tears, wakatumia media kum-label kama greedy, and as always proper reds turned on him, the guy that gave them so much joy)
You can call Salah greed, but anastahili anacho-demand, thats just nature, hata sisi tunapitia haya kwenye ajira zetu, kazi anayofanya Salah siyo nyepesi, anawaingizia FSG hela nyingi sana, he needs to be compansated, na ukiachana na hilo, we NEED HIM.
Team, ni combination ya 11 players, but ili ufanikiwe ni lazima uwe na mchezaji ambaye ni Stand-out player, nyota wa mchezo ambaye anaweza kukupa matokeo kwa njia yeyote ile mambo yakiwa magumu, peak Messi at Barca, peak Ronaldo at Utd & Madrid, Thienry Henry at Arsenal, Drogba/Lamps at Chelsea, Lewy at Dortmund & Bayern, peak Aguero at Man City and now they have Kevin, now unaona Benzema anayoibeba Madrid, Messi alikuwa anacheza na 2 most intelligent midfielders the world has ever seen (Xavi & Iniesta), lakini kuna muda walikuwa wananyoosha mikono na kumuacha Messi aamue game on his own, at LFC we have Fabinho, Thiago, Trent, VVD, Mane, Firmino, Jota etc, wote hawa ni world beaters, but kuna muda wanamuacha Salah aamue game, na ndiyo maana Salah alivyorudi kutoka AFCON, VVD alikuwa recorded on live video akisema "THE MAIN MAN IS BACK", sasa unakuta wachambuzi na local jornos wanakwambia Salah akilipwa wage anayotaka kina VVD wataumia, yaani ni ujinga mtupu, excuses za kitoto kama hizi zipo LFC tu, tunaruhusu sana FSG itu-brainwash.
1. So rumours of Salah wanting 400k-500k zimekuja from nowhere? kwamba a scouser from toxteth kaamka asubuhi na kuamua ku-put tu hizo rumuors in the streets? what do you understand kuhusu media manipulation kwenye highly profiled contract negotiations katika football? what do you understand kuhusu "full control of narration" kwenye public & media oriented negotiation talks, especially kwenye football? what do you understand kuhusu football politics? you think rumuors huwa zinakuja tu from nowhere?FSG wameleak kuwa Mo anata 500/400k? Umeona wapi hii? Mtafaruku ni kum-mock JK baada ya kusema 'everything is well', Unaanzaje kushindana na Klopp hadharani?
Kileleni ni kuwin treble if possible a quadruple inayo-include UCL na EPL, hapo ndo wote watasema we are the Top Football club in Europe without a doubt, when was the last time we had this?
Klopp halipi mishahara sawa lakini ni nani anaesema juu ya contract ya Mo kwa hadhara? Lini umesika hao jornos wskizungumza na CEO?
Liverpool was the most feared kipindi cha Bob Paisley akiwa na kina Dalglish na Ian Rush, hayo ndo majina makubwa kupita yote klabuni mpaka leo.
Nikisema dark ages nareffer hapa kwakua sisi sio wa kucompete tu tuseme tuko vizuri, we have to win the major titles consistently!
SG will be a good coachGerrard: "He said 'work out what team of people you need around yo"His [Jurgen Klopp] advice to me was: 'Don't go in with the name on your back. I've seen so many ex-players who played at a decent level just automatically think that they can become a good coach or a good manager.'"
Gerrard: "He said 'It's important that you go and do two years with Liverpool's youth teams away from the cameras, go and make mistakes, find out how you want to play, try formations, try tactics,
Gerrard: "He said 'work out what team of people you need around you because you'll be good in some areas, you won't be good in others and get your team. Then you will know. You'll get the right feeling - then an opportunity will come. Then you can decide what you want to do.'"View attachment 2169005
Real dope man. Haya mambo ni mapana sana.1. So rumours of Salah wanting 400k-500k zimekuja from nowhere? kwamba a scouser from toxteth kaamka asubuhi na kuamua ku-put tu hizo rumuors in the streets? what do you understand kuhusu media manipulation kwenye highly profiled contract negotiations katika football? what do you understand kuhusu "full control of narration" kwenye public & media oriented negotiation talks, especially kwenye football? what do you understand kuhusu football politics? you think rumuors huwa zinakuja tu from nowhere?
Now, one of the very reliable LFC jorno, Neil Jones aliwahi ku-report kuwa FSG proposal yao kwa Salah ambayo ipo kwenye table ni 250k p/w, Salah ameikataa hii proposal, he's not bugding in, na pia FSG hawataki kupanda zaidi ya hapo, in december, Salah came out and said "The club knows what he wants, and if it was up to him, he'd like to STAY", then few days later rumours z kuwa he wants 400k-500k zikaingia kwenye media circulations, so kwa mtazamo huo, nani hapo anayetaka ku-claim the upper hand? FSG or Salah? Salah camp haiwezi ku-leak kuwa anataka 400k, itakuwa ni disadvantage na his bid ya kutaka kubakia at LFC ambayo ameshai-declare, FSG dont want to go above 250k, they're failing to convince the best attacker in the world right now, they're failing to convince EPL top scorer, and a man with 8 goals in the UCL this season, they're failing to convince a world class star at the moment, sasa nani ambaye atakuwa anahangaika ku-cover hiyo incomptence? Salah or FSG? who wants to control the narrative here? its FSG and they're winning.
Who mocked Klopp? Salah or his agent? so Salah alimpigia simu agent wake na kumwambia "man, mock klopp, put them emojis out"? you got to be a stupid person to believe this, then unajua how hard it is to deal na hawa AGENTS? LFC mpaka leo hawa-deal na Raiola, ulikuwa around when we were dealing with Sterling agent?, these agents represents players, na kama players wakipata good deals na wenyewe wanakuwa sorted for life, Coutinho alivyoona agent wake wa awali anashindwa kupigana vita ya negotiation na FSG, akambadilisha na kumpa kazi Kia, ambaye haikuchukua months akafanikisha move yake ya Barcelona, agents are not friends of any club dude, you cant expect an agent to respect Klopp, because he's Klopp, Agent anachoongalia ni commission yake tu, and matter of fact LFC ndiyo inaongoza kulipa big agent fees kwenye transfer deals kuliko Club yeyote, na ndiyo maana transfer deals za kina Fabinho, Keita, Salah, Mane, Firmino, Jota, Diaz, Thiago etc zilikuwa smooth, na hii ni power ya agents, they can break/kuvunja transfer deals in a second, kwa sababu ya nguvu waliyonayo katika negotiation, especially kwe fees na wages, na ndiyo maana Edwards aliamua kuja na hii approach.
2. LFC football club, was considered as the best/top football club in the world msimu wa 2019/20, winning the league with 7 games to spare while setting so many memorable records, heights tulizofikia msimu ule ni BORA kabisa kuwahi kutokea kwenye EPL history, alongside with Arsenal's invincibles and Chelsea ya 2004/05, sasa kilele kipi unachokizungumzia? LFC ikishinda treble/quadruple itakuwa ni very impressive new record for the club because ni one-life time occurance, but heights tulizofikia 2019/20 ni top of the lots pia, matter we were on top of europian football for 2 seasons running (2018-19, 2019-20).
3. Dude, i have said in my previous post, Klopp is a MANAGER, you know kazi ya football manager in english football right? but when it comes to financial management, he's just an employee kama employee wengine at the club, because hana LAST SAY kwenye any of club's financial matters, ana exclusive power na kutoa opinions/suggestions but the owners wana LAST SAY, ndiyo maana kuna wachezaji Klopp aliwahitaji na akawakosa kwasababu FSG (the owners) couldnt pay their wages or transfer fee, hii ni nature ya football, then as a MANAGER, on-pitch affairs zote zinamuhusu, kwahyo ni LAZIMA ajue kinachoendelea kwenye negotiation yeyote ile inayomuhusu mchezaji wake, because ana plan team kulingana na wachezaji alionao, mfano now anajua amebaki na Salah kwa msimu mmoja tu (as it stands), so at the end of the days FSG wanatakiwa kuja kumwambia kuwa;
(A). We are still in talks
(B). negotiation have broken down
(C). Salah will leave for free after his last season.
ishu ya kwanza (A), ndiyo details ambazo Klopp anazo, na anajua what the club has offered Salah na mazungumzo yanaendeleje, so akija kwenye presser ni lazima atasema kile ambacho ameambiwa na FSG, unataka aseme kitu gani? hata kama anataka Salah abaki, hana LAST SAY, Mourinho na Conte kila siku wanagombana na owners wakiona hawawi BACKED, lakini mwisho wa siku hakuna kinachobadilika because hawana LAST SAY, na ndiyo maana Conte huwa anaondoka, na Mourinho huwa anafukuzwa owners wakiona kazidisha makelele.
Ishu ya pili (B), FSG ni LAZIMA wamwambie Klopp kuwa negotiation ime-fail ili Klopp aandae new targets in the market, kwasababu yeye ndiyo anaye-plan future ya team on the pitch, so kama FSG wakija na kumwambia negotiation zime-fail and we will sell Salah, Klopp lazima ana-analyze na kuwapa FSG list ya THREE TARGETS (plan A, B, C), anaoona wanafaa kum-replace Salah, na sometimes FSG wanaweza wakashindwa kuzipata hizo targets zote na hakuna Klopp atachofanya zaidi ya ku-plan na alichonacho, mifano ipo mingi.
Ishu ya tatu (C), So Klopp akiambiwa Salah atabaki kwa msimu mmoja, inamaana ataendelea ku-plan na Salah for one last season huku akitafuta solutions za ku-cover eneo lake when he eventually leaves.
4. Being the most feared during less-competitive era doesnt mean nothing, Shankly & Pasley should be remembered for shaping the HISTORY of this CLUB, history ambayo every LFC fan anatakiwa kuwa proud now, BUT football ime-evolve, na ndiyo maana when new experiments zilivyoanza kuwa introduced after 1992 or so, we started to struggle na hizi ni FACTS, as a fan you should respect and honour michango ya Shankly, Pasley & Daglish, but utakuwa ni kipofu kama uta-compare era ya sasa na ile ya kina Pasley, ni 2 different eras, now we are competing na clubs zinazonunua £80m-150m players like its nothing, tuna-compete na clubs zinazolipa players wake wages za £500m-600m like its nothing, we are competing with oil owners with bigger asiparations, and to win and stand firm against these teams you need to be at your VERY BEST, and thats what tunachofanya.
Back then, when LFC were struggling, and had nothing to show for it, nilikuwa najificha sana kwenye kichaka cha HISTORY, my very very very early posts on here can prove this, everyday nilikuwa nabishana na kina Ntuzu, Mentor, Nzi etc kuhusu HISTORY, because my Club wasnt doing GREAT at ALL, so i know LFC history kiundani sana, because i had to research new things everyday ili kubishana na kina Nzi, having said that, i can assure you this LFC team we are witnessing now, is better than any other LFC team in our history.
And jina la STEVEN GERRARD ndiyo jina kubwa kuliko MAJINA ya wachezaji/managers wote waliopitia LFC, and i respect DAGLISH.
We are actually competing every season, what more do you want, kwenye league we're competing with the likes of City & Chelsea every season, kwenye CL tunacompete na Madrid, Barca, Bayern, Juventus, PSG etc, you just cant win "major" trophies every season, the goal is to hang in there at the top and have the power and structure ya ku-compete for major honours every season.