Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

So what are Mo's demands?

How much is FSG puting on the table?

we'll keep chanting this saga all season, I stand with JK.
 
Ninafuatilia kwa karibu hapa game ya Senegal v/s Egypt ninawaomba Washabiki wa Senegal wana vitu kama Tochi hivi zina mwanga mkali wa Kijani wanawamulika usoni Wachezaji wa Egypt wanapokuwa na Mpira ili ku-interfere visions zao.
Waarabu pia huwa na hizo tabia za kumulika wachezaji wa upinzani
 
Salah wenu huyu takataka ameisaidia Nini timu yake Yaa taifa? Anashindwa kuosaidia timu take angalau hata kufuzu kombe hili la Dunia. Anakosa penati mbele ya mwenzie mane. Salaha ni mzigo kwa taifa laoo...
Mkuu niajee
leo tupo na Mendi hapa, kapuliza kitu flani kwenye mwamba pale nimeipenda sana! kimataifa tunasimamia ngozi!!!
 
Hivi hii liverkuku ikiwekwa sokoni itakuwa hata na pound billion 1 kweli?
Maana thamani ya Chelsea kwa Sasa ni pound billion 3+ ..je Kuna timu yeyote imefikia thamani hii duniani?
LIVERPOOL FOOTBALL CLUB, is valued at £5bn son, (7bn in Us dollars).

Turnover ya club kwa mwaka ni more than $600m, these are Manchester United numbers son (the biggest soccer brand in the world), brand wise, kwasasa level yetu ni United, Madrid, Barcelona etc.

And, main reason ya hiyo valuation hapo juu, ni mgawanyo wa minor stakes ambazo FSG Wanauza kwa bidders through LFC brand.

Redbird recently bought a 10% minor stake at FSG under the LFC banner/brand for £500m ambayo ndiyo inatumika ku-develop anfield, na once Anfield is completely developed, Valuation itapanda zaidi, you're selling your whole Chelsea brand for £1bn+, we have sold a minor stake of our brand for not less than £500m, ($700m+ in us dollars including Red Sox brand), our BRAND is much bigger.
 
Mdau don't waste your time answering this dude Ollachuga he is a comedian here
 
So what are Mo's demands?

How much is FSG puting on the table?

we'll keep chanting this saga all season, I stand with JK.
Nobody knows this zaidi ya ya Club na Salah's camp, but it seems Salah isnt budging/accepting FSG proposal, hence the vile leaks & lies za kumchora Salah kama villain & greedy.

In his last interview when Salah declared kuwa he wants to stay, alisema the Club knows what he wants, so largelly the ball is on FSG court, not Salah's, because yeye ana uwezo wa kubaki msimu mmoja uliobakia akamaliza ku-break records anazozifukuzia at LFC & EPL, na akaondoka zake for free, without FSG making a single dime.
 
Klopp hatenganishwi na hio negotiation, anachosema ndio msimamo wa club. Mo na agent wake hawana ruhusa ya kuleta mtafaruku wakati huu ambao tunaelekea kileleni kwenye mafanikio baada ya dhoruba kali ya miongo takriban mitatu.

Ukisema FSG hawana lolote kwamba wanajivunia sifa kwasababu ya Klopp sio sahihi mkuu, the end justifies the means!
 
Kwa hiyo hiki ukichoandika hapa ndio mwisho wa akili yako?

Watu kama akina John Terry wamecheza na Prime Lionel Messi. Na siyo huyu Messi wa sasa matakataka mnayehisifia.

Shukuruni Mungu nyinyi ng'ombe hamjakutana na moto wa barca between 2008 mpaka 2012. No wonder mnaongea kama mmekatwa vichwa.

Kwanza kuwazungumzia barca ya miaka hiyo ni kuwaonea. Nadhani kama ulikuwa umezaliwa utakuwa unaukumbuka ubakaji uliofanyiwa na Chelsea 2008 na 2009 kwenye UEFA.

Halafu saiv useme drogba mchezaji wa kawaida?

You guys are joke.
 
subirini kwanza tumalizane na quadruple yetu ndo tuje tujibu madai yenu, huyo mbona ni fala mmoja tu muulize Kevin Prince Boateng.
Fala mmoja eeeh 2008 na 2009 ulikuwa hujazaliwa wewe. Wakati chelsea wakikubaka bila huruma kwenye Uefa?

Imagine unaongea hivyo na hujawahi kukutana na Prime Lionel Messi na Prime Barca ya 2008 hadi 2012.

Heeee you guys mnachekesha.
 
Fala mmoja eeeh 2008 na 2009 ulikuwa hujazaliwa wewe. Wakati chelsea wakikubaka bila huruma kwenye Uefa?

Imagine unaongea hivyo na hujawahi kukutana na Prime Lionel Messi na Prime Barca ya 2008 hadi 2002.

Heeee you guys mnachekesha.
We ni kiazi kweli, unadhani unazungumza na watoto wenzio?
Naijua Chelsea tangu enzi za kina Robben na Eidur Gudjonsen ondoa ujinga

Naona umesahau reina alivyookoa penati zenu bokoboko mkabaatisha moja kwa Kevin Right Philips, tulia dogo
Hio miaka unaongelea tupo kwenye crisis nyie ndo mmemvuta yule mserbia wenu aliefungasha wezere akatuotea ya vichwa hahaha

Ballac ni mpuuzi mmoja mwenye gundu na jezi yake namba 13, nani asiejua? Ongelea mtu mwenye heshima zake Kama Essien, ondoa ujinga!
 
Baada ya huwo ubakaji mnaosema mliufanya UEFA hiyo 2008 na 2009 bado mlitoka kapa
 
Fala mmoja eeeh 2008 na 2009 ulikuwa hujazaliwa wewe. Wakati chelsea wakikubaka bila huruma kwenye Uefa?

Imagine unaongea hivyo na hujawahi kukutana na Prime Lionel Messi na Prime Barca ya 2008 hadi 2002.

Heeee you guys mnachekesha.
Huyo Messi wakati barca wanakufa 4-0 2018/19 kwani hakuwepo uwanjani
 
We jamaa naona unang'ang'ania sana hio 2008, vp ndo ulianza kufatilia mpira nini?

Mesi dinho deco xavi puyol marquez, hawa tuliwalaza na viatu pale Nou Camp kwenye mtoano wakiwa mabingwa watetezi!

Kuwa na heshima kijana, liverpool sio saizi yako nenda kapambane na city.
 
Baada ya huwo ubakaji mnaosema mliufanya UEFA hiyo 2008 na 2009 bado mlitoka kapa
Mwehu sana huyu anasahau sisi ndo tuliwafanyia fadhila tukawapa Torres akawabeba, vinginevyo ungekuta wanatamba na hiki kimoko Cha mwanafunzi wa Klopp!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…