Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kabisa
Tunachojali ni point 3 tulizopata..hayo mambo mengine ni stori zake😂
 
Unatafuta matatizo na wale maboya hawachelewi kukumwagia mialiko ya conferences September [emoji23].

On serious note:
Usisokote aisee..hata huyu TAA nilikuwa namzimia sana,,tangu alivyosokota sijui amekuwaje yaani..kama kavuta bangi Fulani hivi.
Sema tupo tofauti mkuu, sema hiyo dred yake ipo tofauti na hizi nilizozizoea .mimi pia huwa sivutiwi na dred ila kwa hapa nisiwe msiri nimezipenda za huyu dogo.
 
Sema tupo tofauti mkuu, sema hiyo dred yake ipo tofauti na hizi nilizozizoea .mimi pia huwa sivutiwi na dred ila kwa hapa nisiwe msiri nimezipenda za huyu dogo.
Na asili ya nywele yake inachangia.
Ni chotara,,,hana kipilipili.. Ana nywele flani amazing ndiyo maana zipo tofauti na dreads zetu za vipilipili
 
He has been good to us

No origi, no party
 
Unatafuta matatizo na wale maboya hawachelewi kukumwagia mialiko ya conferences September 😂.

On serious note:
Usisokote aisee..hata huyu TAA nilikuwa namzimia sana,,tangu alivyosokota sijui amekuwaje yaani..kama kavuta bangi Fulani hivi.
Mkii weee hupendi dreads ebooo..wewe wa wapi😭😭😂😂

Ivi Mr wako angekuwa nazo usingeolewa naye ..

Mkuu dreads ni nzuri sana acha ushamba mkuu.
 
hao ni wazee wa kukamia, na ndio hofu yangu. hawakawii kutuachia majeruhi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…