Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ni kweli mmeshinda ila mpira mliocheza ni wa kawaida sana sidhani kama mna ubavu wa kushindana na city na mkikutana nao ndio mtajua hamjui
Respct your opponents. Kama tulicheza mpira wa kawaida, mbona hamjapata hata point moja? Na hii ikiwa ni mfululizo tunakuja hapo na kubeba points zote. Na huyo unayemsema wewe mbona gape amepunguzwa imebakia moja? Alicheza mpira gani na Crystal palace akaishia kupata point moja? Gape mpaka linakuwa moja alikuwa anafanya nini?

Chill. Wewe shangilia chenga za Martinelli sisi tunayeya na Points 3. Ndo wakubwa wanavyocheza.
 
[emoji1787]
 
View attachment 2153788

Vile OllaChuga Oc ameamka asubuhi nakukuta hatujapoteza mechi ya jana na kustuka kumbe msimamo wa Ligi tunawaacha pointi 10 sasa.

YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ollachuga anasema Carabao ni kikombe Cha uji[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…