Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwahiyo huyo Paul ndio anakutisha na maneno yake?

Kwa akili ya kawaida tu unadhani man u atatufunga nyumbani??
Hakuna mechi ya kupoteza hapo kwetu.

Nyie wolves atawachakaza na sisi tunakuja kuwachakaza.
Mchezo utakuwa umeishia hapo.
Sijasema kuwa maneno yake yanatisha mtu but iyo ni perception yake yeye from the point of his view on the upcoming contest for Liver and City!

Nikikumbuka fixture ya kwanza ilivyokuwa msimu huu kati ya liver vs city...binafsi naona wazi iyo april 10 ni 50/50 kwa yeyote, Na game itakuwa kali kikubwa tusubiri muda ndio mwamuzi sahihi wa ubingwa wa hili taji la epl this season.
 
Liver ya sasa ipo moto mno mkuu.
City msijiaminishe sana.

Ona tulivyokimbia hadi tunapishana point 1.

Lolote linaweza kutokea ..Ngoja tusubiri muda.
 
Liver ya sasa ipo moto mno mkuu.
City msijiaminishe sana.

Ona tulivyokimbia hadi tunapishana point 1.

Lolote linaweza kutokea ..Ngoja tusubiri muda.
Ofcourse najua mechi za ubingwa hazina cha home or what...ndo maana nikasem itakuwa 50/50. But city wenyewe wanasem kitendo cha nyie kuja etihad haitakuwa rahisi kushinda pamoja na huo moto wenu, ngoja tuone...KIMSINGI HIYO GAME INAWEZA IKAWA KALI KULIKO ATA FAINALI YA UEFA MSIMU HUU!

 
Na sisi tutakuja Kwa nguvu mno tukijua tupo ugenini [emoji23]
Itakuwa pata shika nguo kuchanika afe kipa afe beki

Mechi natamani iwe kali kama ile ya Chelsea watu tuvuje jasho
 
Mkuu haina haja ya kuogopa hawa kuku lazima tuwale Supu...ukiangalia vizuri utaona jana despite their win against arse8 at emirate...utaona arsenal alishindwa tu kufanya zile clinical finishing lakini alicheza mpira mzuri na takwimu almost the same tu...sioni cha kuogopa sana dhidi ya Cops!!!

 
Ni kweli mmeshinda ila mpira mliocheza ni wa kawaida sana sidhani kama mna ubavu wa kushindana na city na mkikutana nao ndio mtajua hamjui

Mkuu lazima ukubali Liverpool wako vizuri,kwenye mechi 4 mlizokutana nao mmepata point 1 tu lakini mnakuwa wabishi eti Liverpool ya kawaida?

Mashindano yote mpaka Saizi Liverpool kapoteza mechi 3 tu, hiyo timu unayoisifia imepoteza mechi ngapi mashindano yote? Ni zaidi ya mechi tatu imepoteza lakini bado unaisifia kisa Liverpool kakufunga na hutaki kukubali.

Umefungwa na Liverpool Mechi 2 ukiwa nyumbani kwako bado unalazimisha Liverpool wakawaida kweli?
 

Kipindi cha kwanza Arsenal hakupata shot on target hata moja licha ya kusema wamecheza vizuri
 
Hapo kati unaogopa kusema tatizo ni Hendo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…