Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu Captain kesho unaweza kukutana na game tough ya msimu ambayo hujakutana nayo, Pep Guardiola anasema game yake ngumu this season ilikuwa dhidi yetu anashinda 2-1.
 
Nyie takataka munataka kubeba kombe kwa mbeleko ..Eti jana CP katowa draw na shitye basi munaonakama ubingwaa mushabeba ..Ngoja mukalishwe na arse8 ili mujue kuwa bingwa apatikani kwa mbeleko.
 
Nyie takataka munataka kubeba kombe kwa mbeleko ..Eti jana CP katowa draw na shitye basi munaonakama ubingwaa mushabeba ..Ngoja mukalishwe na arse8 ili mujue kuwa bingwa apatikani kwa mbeleko.
Arsenal, Hahahaaaa.... Jikazeni mpate nafasi ya nne, The Reds mabingwa 2021/2022 hilo halina ubishi.

Aya utembee uchi aseno ni underdog kwa Sasa.
 
Liverpool mwenyewe huwa anashinda kwa mawenge kwamba ile fixture yenu ndio ya kujihakikishia point 3 kila game 😅😅😅ni swala la muda tu ....Bado matchi 9 ila safari Bado ndefu sana ...!
Liverpool inashinda kwa mawenge, lkn akina man u, chelsea, Aseno ndiyo mnashinda kwa umakini na uhakika. We na kipara presha itawauwa Siyo kwa kupaniki hivi.

YNWA
 
Kwa mashabiki wa Chelsea na Manchester United wameshaingia baridi maana Arsenal anataka sana kuingia big 4 msimu huu.

Tazama msimamo Arsenal ana viporo viwili hivyo on paper yupo nafasi bora kuingia Top 4 msimu huu.

View attachment 2151975

YNWA
Nahisi vijana wa Arteta watatoboa sioni Man u wakimtoa hiyo nafasi.
 
Nyie takataka munataka kubeba kombe kwa mbeleko ..Eti jana CP katowa draw na shitye basi munaonakama ubingwaa mushabeba ..Ngoja mukalishwe na arse8 ili mujue kuwa bingwa apatikani kwa mbeleko.
Vipi mabingwa zile kelele zimeishia wapi? Ooooh mara sisi nimabingwa lazima tuchue Epl msimu huu saiz hata hiyo top 4 mnaihangaikia.
 
Mkuu Captain kesho unaweza kukutana na game tough ya msimu ambayo hujakutana nayo, Pep Guardiola anasema game yake ngumu this season ilikuwa dhidi yetu anashinda 2-1.
Sibishi ndugu sio kesho gemu nyingi zetu vs Gunners hazijawai kua rahisi. Kwa bahati mbaya tangu Klopp katua Liverpool mmekua na kikosi dhaifu kushindana vyema ubingwa, kwa sasa mpo kwenye raiti traki chini ya Mikel anapambana kuwarudisha kileleni.


Kwa sisi ma fans hua hatujui lugha nyingine zaidi ya ushindi ndugu kila mmoja akivutia timu yake ishinde na pia wahasimu wakipiga sala kama zote tuwazime kwa Mfano Chelsea, Manchester United, Tottenham watakua wanapiga ramli tuwafunge huku Kipara na vijana wake wakipiga ramli mtufunge ili wapumue pale juu pamekua pa moto sana.

Nwa ni kesho ndugu mbabe atajulikana baada ya dakika 90+

YNWA
 
Kuna kitu

Pep kuna aina ya wachezaji anawapenda. Na ukiangalia aina ya uchezaji wao unafanana. Bernardo Silva, Gundogan, na Siva aliyeondoka wana mpira wa kufanana sana.
Stelling, Grealish, Mahrez nao mpira wao unafanana.

Ukija pale kati. Rodri na Fernadinho shughuli zao ni moja. Ona Cancelo na Walker utaelewa namaanisha nini.
Grealish ni mchezaji mzuri kwa aina ya mpira anaotaka pep. Dribbling zake huku kushoto zinaisaidia sana kupandisha mashambulizi.
Kwa maoni yangu Grealish bado ana mxhango mkubwa kwa city.
 
kifupi Pep anapenda watu talented siyo marobot kama kina Milner, Fred, kovacic, nk na hicho ndicho kilichompa mafanikio City
 
Kabisa ndugu.

Too bad hizo talent zinashindwa kumsaidia mechi ya Southampton, Crystal Palace nk.

Ni wachezaji wazuri sana any day of the week lakini pale false 9 kwa siku za karibuni pamempa changamoto ku balance timu.

Bado kuna mechi 9 ngoja tuone.

Kwa sasa ma pundits wote wanasema Liverpool wamesheheni ukali pale mbele ambao wapo fire kuliko vijana wa Ethad na ukiangalia namba zinaongea kwamba tupo juu.

Ngoja tupambane mechi zetu na wao mechi zao itajulikana Mei 22 nani mkali wa Uingereza EPL

YNWA
 
His man management skills Bado pia ni za kujifunza

He may come till good if akibaki asenane na as ipate e na tamaa ya kuhamahama
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…