Aston villa wanaweza wakapanda ujue hahahahaTop 10 yangu Epl msimu wa 2021/2022 ligi itaisha hivi.
1. Liverpool -bingwa.
2. Man city
3. Chelsea
4.Arsenal
5.Spurs
6.Man U
7. Westham
8. Wolves
9.Brighton
10.Leicester
Wasipofunguka, kila game ina strategy yake kulingana na oponent. Usijitoe akili.Relax Kaka. Arsenal hawapaki basi wala kaunta wao wana mpira wa mpango hivyo watafunguka tu na sie hua tuna shine kwa timu inayoshambulia mazima kwa kua tuna wakimbiaji pale mbele.
Arsenal wanashambulia kusaka top 4 hivyo itakua open game.
Hii gemu tuna shinda.
Nina imani na vijana.
Klopp sasa mtihani kwa wachezaji wasiwe na papara kisa Manchester City ametoa sare. Psychological effects ya sare ya jana lazima iwe addressed kupunguza presha kwa wachezaji wetu.
Mechi bado 10 i guess ni parefu sana anything is possible kati yetu na Manchester City.
Our players need patience ya levo ya juu.
YNWA
Bora wamsake tu maana alifanya ujinga hadi kumfanya kipara aendelee kukomaa pale juu [emoji1787][emoji1787]Hivi Everton wakashuka daraja unajua yule refa wa ile mechi hawa ma Scouser wamsaka kumuumiza aisee.
YNWA
Yaah! umeongelea circumstances za uwanjani namna zinavyoaffect matokeo ya mchezo, nakubaliana na hilo.Upo kiujumla ila hapo kwenye Tactical Masterclass itabidi asubiri kwanza tumpime kwa hilo! Kushinda 5 - 6 games in row bado haijaprove his tactical masterclass.
Na kuhusu Arsenal kumfunga Liverpool upo sahihi hata mimi naamini inawezekana kutokana na form yenu ya kipindi hichi, but kuna factors nyingi tu kutufanya tupoteze game na sio lazima Klopp awe outclassed by Arteta.
Mfano Mechi ya Fainali ya UCL between Arsenal v/s Barcelona mwaka 2006 ile game mulipoteza but sio kwamba Rijkaad alimu-outclass Wenger bali Arsenal ilikuwa weakened baada ya Red Card na pia baadhi ya referee's bad decision.
Pis kuna vitu kama Defensive errors including own goal (Kama Magwaya juzi) inaweza kupelekea kupoteza mchezo.
Hata mimi mkuuBro game ya kesho inanipa headache yani migraine sio ya kawaida.
Yaah! umeongelea circumstances za uwanjani namna zinavyoaffect matokeo ya mchezo, nakubaliana na hilo.
Mikel Arteta unahitaji kumuangalia vizuri, he is the big deal right now, PSG & Man city wote wanakeep tab on him.
Structure are there since day one, rebuild kila mwaka inazidi kunoga kwa namna anavyopata profile & quality within his system, Everton walionekana na better transfer window kuliko Arsenal ila leo Wanafight for relegation, meanwhile pundits wanampraise Arteta for his tactical masterclass wakati mwanzo walimponda. Vitu viwili vinakufanya uone ubora wake, Structure & Talent identification. Arteta is the mix of David Moyes + Arsene Wenger + Pep Guardiola + La Masia, Genius.
Mkuu, The kroenkes wanamsupport Mikel Arteta, unaweza kuona kwa usajili wa Benjamin White £50m, Ø £40m, Partey £45m, Juzi wamebid kwa Vlahovic almost £80m.Kuna kitu hutakiwi kusahau! Project ya Arteta inaweza ikakwamishwa na Vitu vilivyo nje ya uwezo wake na ikapelekea isilete mafanikio. You know why? Nakumbuka Misimu miwili ya mwanzo ya Klopp project yake ilifeli vibaya sana licha ya kuintroduce gengenpressing kwenye EPL lakini kulingana na qualities ya Wachezaji alifeli kwasababu ya kuwa na very limited Budget ya kusajili wachezaji aina ya Origi.
Mafanikio aliyapata baada ya kununua wachezaji aina ya VVD, Fabinho, Alisson, Salah, Mane na Keita ambao kiuhalisia ni Very expensive.
Hivyo mbinu pekee haziwezi kuleta mafanikio isipokuwa Budget ya uhakika ya kuweza kusajili wachezaji wenye Vipaji nayo ni moja ya Factors za kuleta mafanikio.
Na sasa baada ya Umri wa kina Salah na Firmino kusogea tayari Jota na Diaz wamesajiliwa.
Hivyo Talented Players + Arteta = Trophy.
Sasa je Wamiliki wenu watamsapoti Arteta kwenye Market ili anunie the likes ya VVD, Fabinho, Diaz, Alisson, Mane?
Na kama Wamiliki watashindwa maanayake yatawafika kama yaliyotufika sisi kukimbiwa na kina Sterling, Torres, Mascherano, Alonso, Suarez kwa ajili ya kwenda kutafuta Makombe.
Hivyo Superpowers watahijack Vijana wenu kina Saka na Martinel na kuwarudisha nyuma katika project yenu.
It is still early to rate ArtetaYaah! umeongelea circumstances za uwanjani namna zinavyoaffect matokeo ya mchezo, nakubaliana na hilo.
Mikel Arteta unahitaji kumuangalia vizuri, he is the big deal right now, PSG & Man city wote wanakeep tab on him.
Structure are there since day one, rebuild kila mwaka inazidi kunoga kwa namna anavyopata profile & quality within his system, Everton walionekana na better transfer window kuliko Arsenal ila leo Wanafight for relegation, meanwhile pundits wanampraise Arteta for his tactical masterclass wakati mwanzo walimponda. Vitu viwili vinakufanya uone ubora wake, Structure & Talent identification. Arteta is the mix of David Moyes + Arsene Wenger + Pep Guardiola + La Masia, Genius.
😂😂😂😂😂😂😂😂Bwana wee Kipara ana hali tete sana ogopa anaekukimbiza hachukulii kama kombe analitaka maana Klopp mwenyewe hua anasema ana concentrate na next game hayo mambo ya ubingwa tutayakuta mbele ya safari...Bora wamsake tu maana alifanya ujinga hadi kumfanya kipara aendelee kukomaa pale juu [emoji1787][emoji1787]
Huyu ndie Kinga Ngwaba ninaemjua sasa.Kuna kitu hutakiwi kusahau! Project ya Arteta inaweza ikakwamishwa na Vitu vilivyo nje ya uwezo wake na ikapelekea isilete mafanikio. You know why? Nakumbuka Misimu miwili ya mwanzo ya Klopp project yake ilifeli vibaya sana licha ya kuintroduce gengenpressing kwenye EPL lakini kulingana na qualities ya Wachezaji alifeli kwasababu ya kuwa na very limited Budget ya kusajili wachezaji aina ya Origi.
Mafanikio aliyapata baada ya kununua wachezaji aina ya VVD, Fabinho, Alisson, Salah, Mane na Keita ambao kiuhalisia ni Very expensive.
Hivyo mbinu pekee haziwezi kuleta mafanikio isipokuwa Budget ya uhakika ya kuweza kusajili wachezaji wenye Vipaji nayo ni moja ya Factors za kuleta mafanikio.
Na sasa baada ya Umri wa kina Salah na Firmino kusogea tayari Jota na Diaz wamesajiliwa.
Hivyo Talented Players + Arteta = Trophy.
Sasa je Wamiliki wenu watamsapoti Arteta kwenye Market ili anunie the likes ya VVD, Fabinho, Diaz, Alisson, Mane?
Na kama Wamiliki watashindwa maanayake yatawafika kama yaliyotufika sisi kukimbiwa na kina Sterling, Torres, Mascherano, Alonso, Suarez kwa ajili ya kwenda kutafuta Makombe.
Hivyo Superpowers watahijack Vijana wenu kina Saka na Martinel na kuwarudisha nyuma katika project yenu.
Sijawai kuona gemu ya Liverpool vs Arsenal ambayo ilikua na strategy tofauti zaidi ya kushambuliana no wonder hii fixture inakua na magoli 3+ ni sababu hakuna kingine zaidi ya attack.Wasipofunguka, kila game ina strategy yake kulingana na oponent. Usijitoe akili.
Anatuliza mizuka tu, tusiingie na matokeo mfukoniKlopp : "When someone tells me we've concede 2 in 8 games, I think about the mistakes. Arsenal are more rested than we are. We've played 12 since we last met, they have played 6. We fix that with changes. It's a tough one tomorrow."