tupo kamili kwa mara ya kwanza kwenye eneo la kiungo, karibuni naimani tuta raise game kama dhidi ya city,
Jota habari nyingine, Jota ana finishing Kali kuliko Diaz
Huyu crystal palace Leo atajuta kuingia uwanjan ...tunampiga sio chini ya goli 5 ....
Keep watching
Huyu crystal palace Leo atajuta kuingia uwanjan ...tunampiga sio chini ya goli 5 ....
Keep watching
Nilisema humu⦠you are very naiveNyie ndio mnahangaika kama wafia maji ...sipati picha siku mkikaa pale juu [emoji23]
4 clear point top of the table ..kama mnaweza tufuaten Mimi sijali sijui mnagame sijui hamna ...
Liverpool is bigger ,organized and purposeful wakati miaka 30 mnacheze nafasi 7&8 Europa tu mlikuwa mnaisikiliza kwenye Bomba mmekuja kuibuka 2019 nyie [emoji28] [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Nilisema humu⦠you are very naive
Liverpool is bigger, organized and purposeful
A couple of months ago tulikua 14 points behind
Wakati unateseka, take time kujifunza historia ya epl na English soccer Kwa ujumla
Where were you before Arab money?Liverpool is bigger ,organized and purposeful wakati miaka 30 mnacheze nafasi 7&8 Europa tu mlikuwa mnaisikiliza kwenye Bomba mmekuja kuibuka 2019 nyie [emoji28] [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ohooo 1980 ....Where were you before Arab money?
Well I have been supporting LFC since 1980sβ¦.
Again, jifunze historia ya city⦠I have seen city being relegated while we were winning fa, league cup, ucl, yuropa, super cup etc.
Hivi vitoto vya timu mpya need some evening classes about football
Hivi soka huwa mnaliangaliaga vp? Mvae na miwani basi. AaarrgghhSalah hana maajabu yyte sema tu anacheza timu yenye viungo wapishi wengi akiondoka Anfield ndio utakuwa mwisho wake, ukitaka kuamini angalia mechi za Egypt
Tayari washafanya yao...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mbona unateseka wakati hayakuhusu we subiria palace wakupige home and away
Mkuu Captain Marvelous kipara anaendelea kutuwekea upenyo tupite, wasiwasi wangu ni game dhidi ya NYUMBU ni muda sahihi wa kulipa alichotufanyia kipara 2018/2019.We are watching kwetu imeisha sare kipara akinuna vipi huko TV ya Ethad mechi ni saa ngapi tuangalia hizo 5.
Upepo umekata ndugu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Pale panaitwa Selhurst Park muulize Surez atakwambia 2014 nini kilimpata akituumiza dogo Gayle.
Yaaani ubora wa EPL ndio huu matokeo ya mfukoni hamna kabisa.
YNWA
Wewe mbona unaongea kinyonge hivyo, toa huruma humu kwa majogoo , utulie dawa iingie usijilize humu.Ndio pep hamuwezi viera ....
Ndio maana tumepata point 1 tu ..kingine mzee
Hahaha bhana dogo Salah ana medali ya UCL, WCC, Super Cup, EPL na Carabao na haringi wala nini yeye ni kazi kazi.Mkuu mtu kama huyo sio wakubushananae yaani utambe Epl hapo ligi gani usicheze.utambe Epl harafu watu waseme wewe hujui duh,hicho kichekesho cha mwaka [emoji3].
Ukionekana epl wewe unajua tu,sema magoli anayofunga wanaona kama rahisi lakini wengine mbona hawafungi?
Record ya kufunga magoli mengi ndani ya msimu mmoja hapo Epl huyo mtu ni hatari sana,tusichulie poa kabisa.
Mkuu BARDIZBAH jana ulitazama mechi?Mkuu Captain Marvelous kipara anaendelea kutuwekea upenyo tupite, wasiwasi wangu ni game dhidi ya NYUMBU ni muda sahihi wa kulipa alichotufanyia kipara 2018/2019.
πππππππWala huko Mei 22 bado mbali sana lolote linaweza kutokea.Tumecheza mpira mkali Sana ,Mimi nasema hivi team yetu Bado iko imara ....japo tumeflop lakini tutapambana hivo hivo Hadi mwisho wa games ...!
Kama nyie mnaona mshanyanyua kombe na mnyanyue [emoji28][emoji28]
Aaaaa sio rahisi ki hivyo bhana bado mpo vizuri jana tu hamkua na bahati.Mzee ni zamu yenu Sasa Kuchukua epl .....nendeni mkachukue njia ileeeeee[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
unayajua mawenge wewe au unamaanisha p the mc???[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hebu cheki hiyo consistenceLiverpool mwenyewe huwa anashinda kwa mawenge kwamba ile fixture yenu ndio ya kujihakikishia point 3 kila game [emoji28][emoji28][emoji28]ni swala la muda tu ....Bado matchi 9 ila safari Bado ndefu sana ...!
Liverpool is bigger ,organized and purposeful wakati miaka 30 mnacheze nafasi 7&8 Europa tu mlikuwa mnaisikiliza kwenye Bomba mmekuja kuibuka 2019 nyie [emoji28] [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]