Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,466
- 32,910
Kwamba unaitaka nafasi ya pili ama namna gani.kwani ligi imeisha? lolote linaweza kutokea tu.
Juzi umekoswa koswa na inter milan ..muda utazungumza
#CFCπππ
Jota habari nyingine, Jota ana finishing Kali kuliko DiazImagine lugha ikianza kupanda atawaelewa vizuri walimu na wachezaji wenzake yaaani nyie subirini huyu dogo kawatia upepo mabeki timu pinzani maana hii work rate is tiresome yupo kila eneo.
Ki ufupi sasa hata Jota ashakumbali tu sasa aanzie benchi hana ubishi kwa sasa
YNWA
Hivi TAA ndio atakutana na Martinelli tena jumatano eh!?[emoji38]
Nawakaribisha tena uwanja wa ndege.
Safari hii mje na mipango zaidi, msitegemee urahisi kama mlioupata last time.
achana na Lukaku na Werner wewe ..Huyu Diaz ni mzuri ila siyo wa kumtegemea kabisa. Sisi pamoja na matatizo yanayotuandama bado Werner ana uhakika wa kumkata namba huyu jamaa hapo liverpool ..View attachment 2148397
Aisee hivi Lukaku na Werner wanakwama wapi kuleta impacts kama hii darajani kusaka ubingwa wa EPL msimu huu.
YNWA
umekusanya point nyingi halafu unaongozwa. Hii kuku vipi..Huo urahisi au ugumu baki nao wewe,sisi tunataka point 3 tu .
Mechi ya kwanza ulifungwa nne na Liverpool mechi ya pili uje umfunge kweli? Liverpool kuanzia mwaka 2022 ndio timu bora hapo epl yaani ndio nimekusanya point nyingi kushinda timu yote hapo Epl kwa kifupi Liverpool gari limeshawaka Saizi.
Mechi ijayo mtakutana na Liverpool iliyokuwa na wachezaji wote hakuna majeruhi hata mmoja,ubavu wa kumvimbia Liverpool huna kwa sasa ilikuwaga zamani.
Sasa hivi Liverpool anakufunga anavyotaka huna timu wewe.pigeni kelele tu utakubali hunatimu ya kushindana Liverpool .
Last time mlisema mtakuja kutufunga nyumbani kwenu,kilichotokea mkaona aibu.liverpool hii iko moto mkuu mpaka sasa imefunga magoli 73,wewe umefunga magoli mangapi kwenye ligi?
Liverpool mashindano yote mpaka sasa kafungwa mechi tatu na westham,leicester Na inter milan, wewe mpaka sasa mashindano yote umefungwa mechi ngapi? Auna timu ya kupiga kelele kwamba utamfunga Liverpool.
Hao westham na leicester tayari tumeshalipa kisasi yaani tumeshawakalisha na wao walikuwa wagumu na kelele nyingi.
Ukiona Liverpool kafungwa ujue kuna wachezaji hawapo sasa nyinyi Arsenal mnaenda kukutana na Liverpool iliyona wachezaji wake wote yaani Klopp anajichagulia tu acheze nani.
Mpaka saizi kwenye round ya pili hakuna aliyechukua point kwa Liverpool nyinyi Arsenal ndio mnataka mjaribu?
sisi hatuna habari na epl tena. Sisi tunatetea ubingwa wetu wa UEFA..Kwamba unaitaka nafasi ya pili ama namna gani.
Lolote mtajuana huko nafasi ya tatu na nne kwa sasa mbio nakimbizana na Kipara na hio inahitaji utulivu hivyo pambanane hukoo nafasi ya 3 na 4 mengine kwa sasa mtulie hamna huo uwezo.
YNWA
ππΏππΏππΏππΏππΏππΏNani Werner huyu huyu asiepata hata goli 10 kwa msimu Chelsea au yupi.achana na Lukaku na Werner wewe ..Huyu Diaz ni mzuri ila siyo wa kumtegemea kabisa. Sisi pamoja na matatizo yanayotuandama bado Werner ana uhakika wa kumkata namba huyu jamaa hapo liverpool ..
Hapo umesema sahihi Mkuu.sisi hatuna habari na epl tena. Sisi tunatetea ubingwa wetu wa UEFA..
Diaz finishing akiwa Liverpool amekua nyuma ya Jota lakini he will come better angalau atuletee magoli 20+ kwa msimu inatosha sana.Jota habari nyingine, Jota ana finishing Kali kuliko Diaz
Mkuu hizo ni tetesi if mmiliki asipopatikana n its impossible, kwa sababu wiki hii ndio mwisho wa kupokea bids zote, then mchakato mzima mpaka ukamilike na tupate mmiliki ni 6 week,probably mwez wa 4 katikati or mwez wa 5 mwanzon tutakuwa tuko chini ya mmiliki mpya.[emoji1552][emoji1552][emoji1552][emoji1552][emoji1552][emoji1552]Nani Werner huyu huyu asiepata hata goli 10 kwa msimu Chelsea au yupi.
Werner mbaki nae huko huko labda mkipigwa mnada na Malkia aje Werner kuchukua nafasi ya Origi [emoji23][emoji23].
Kwa hapo Chelsea wachezaji wenye uhakika kupata namba Liverpool ni Kante, Kovacic, Rudiger, Kai, Mount na James. Hao wengine mbaki nao hatuwataki sie.
Tunasubiri maana tetesi lazima muuze angalau wachezaji wa 5 Juni 2022 maana bila ela za Mrusi mna tatizo kubwa sana hapo darajani.
Mmepewa mpaka Ijumaa mseme namna gani mauzo ya Chelsea hayatamfikia Mrusi.
YNWA
Manchester United wanamfizia kwa nguvu Thomas Tuchel endapo ataamua kusepa lakini pazuri kocha wenu kasema haodoki yupo sana ambayo ni hata kwa wamiliki watarajiwa watakua na imani wanaridhi kikosi madhubuti.Mkuu hizo ni tetesi if mmiliki asipopatikana n its impossible, kwa sababu wiki hii ndio mwisho wa kupokea bids zote, then mchakato mzima mpaka ukamilike na tupate mmiliki ni 6 week,probably mwez wa 4 katikati or mwez wa 5 mwanzon tutakuwa tuko chini ya mmiliki mpya.
Tetes zinasema anayeongoza ni Toddy Boehly-Wyss consortium tho kunawengine wamejitomeza Saudi Media inayoongozwa Mohamed Melkherjil, wengind niNicky Candy,etc
Watakaondoka ni wale ambao hawatakuwa kwenye mipango ya Tuchel,
Werner Dortmund wanamtaka,
Ngoja tuone hali itakavyokuwa