Salah ondoka zako ,huwezi fanya kazi kubwa unazidiwa mshahara na Sancho ...waachie timu lao Liverpool ......football it's all about money ukiwazoea kwanza wewe ni mwafirika ukiflop wao Wana kudump hawatakuwa na huruma Sasa kama hawawezi kukulipa saizi na upo on fire achana nao nenda zako psg ,Madrid ,ukale pension [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Achana na hii club bahili kama mpare wa milimaniii....
Kwanza ukija hata city tunakupa mshahara 400k per week kama KDB japo huwezi mfikia [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Club la kihuni tu na Salah ataondoka zake mbaki na hao kina Diaz... remember form is temporary but talent is permanent...huyo diaz mnaemuona yupo on fire ni form tu ....mtakuja kumkataaa badae pumbavu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Waliondoka wakina Owen, Torres , Suarez na Coutinho na bado tukawa imara as Klopp said the club has done all it can kama Salah hajaridhika asepe tu no one is bigger than Liverpool YNWA.
Unafki tu, Matajiri wa newcastle walihusika na kifo cha jamal khashoggi ila ilo hawakuliona, hw about kile kinachotokea yemen,Chelsea leo imeomba Serikali iwapunguzie vikwazo ili kuwaepusha na uhujumu wa fedha kwani iliibuka kuwa huenda wakavurugwa ndani ya wiki mbili tu huku mawaziri wakifikiria kulazimisha mauzo ya klabu hiyo kwa pauni bilioni 3 bila Roman Abramovich kutoa kibali au kupata yoyote kati ya hizo. fedha taslimu.
Meneja Thomas Tuchel aliwasifu wachezaji wake baada ya Ushindi wao wa 3-1 jana dhidi ya Norwich , na kusema: 'Tunaweza kuaminiana na hili halitabadilika. Ilimradi tuwe na mashati ya kutosha na basi la kuendesha kuelekea kwenye michezo tutakuwepo na tutashindana vikali... Tunaamini Wakati huu ni wa mpito tu.
Lakini kutokana na nyota wake kugharimu karibu pauni milioni 28 ($37m) kwa mwezi kama mishahara, na kwenye Akaunti za Bank zinazoonyesha akiba ya pauni milioni 16 tu, hivyo klabu hiyo itafirisika ndani ya siku 17 kwa sababu sasa wamepigwa marufuku kukusanya fedha zozote za tiketi na bidhaa kama vile jezi n.k , ambapo kabla waliweza kukusanya hadi pauni laki 6 kwa siku tu.
Hatari kubwa ni kwamba, wakati pesa hizo zikiisha, mdhamini mkubwa THREE (3 UK) tayari amesitisha mkataba wake wa udhamini wa jezi ambapo Chelsea ilikuwa ikikusanya pauni milioni 40, huku Nike, Hyundai na kampuni ya utoaji wa bidhaa za vyakula ya Zapp zikiwa ukingoni mwa kuvunja mikataba yao pia.
Waziri wa teknolojia Chris Philp aliwakosoa baadhi ya mashabiki wa Chelsea walioimba Roman Abramovich kuunga mkono mmiliki wa klabu hiyo ambaye anahusika kwa njia moja au nyingine na uvamizi wa Urusi nchini Ukraine.
Ninawaambia tu kwa heshima mashabiki wa Chelsea, najua amefanya mengi kwa klabu, lakini hali ya nchini Ukraine na kile ambacho serikali ya Urusi inawafanyia raia - kupiga makombora hospitali sio Ubinadamu kabisa.(Chanzo BINAGO TV)
Sasa si wameuongezee Hela abaki jamani
Fair enough, we have recouped every penny spent on Salah, plus trophies and profit due to the team performance…. Hakuna marefu yasiyo na nchaSalah ondoka zako ,huwezi fanya kazi kubwa unazidiwa mshahara na Sancho ...waachie timu lao Liverpool ......football it's all about money ukiwazoea kwanza wewe ni mwafirika ukiflop wao Wana kudump hawatakuwa na huruma Sasa kama hawawezi kukulipa saizi na upo on fire achana nao nenda zako psg ,Madrid ,ukale pension [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Achana na hii club bahili kama mpare wa milimaniii....
Kwanza ukija hata city tunakupa mshahara 400k per week kama KDB japo huwezi mfikia [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kelleher WA bure: carabaoImajini Kepa aliewagharimu mammilioni vs Kelleher ambae nadhani tulimpata bureeeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na Kelleher akanyanyua kwapaaaa.
Haya sasa hatutaki kelele sisi wakapambane na Malkia sasa.
YNWA
Dogounakatwa na Tuchel wewe..
Moto ni ule ule
Long time coming
Hii mechi inaisha mapema sana.Tuna mechi ngumu na BHA leo,Mungu atusaidie tushinde
In Klopp,we believe
Shida ya klopp huwa ni emotional guy kumfokea Salah kazingua sana man management
Shida ya klopp huwa ni emotional guy kumfokea Salah kazingua sana man management