Mbona chama cha uingereza hakifungiwi kuchanganya siasa na mpira??Leseni mliopewa inaisha 31/5/22.
Ni mtihani sana huruhusiwi hata kutoa nyongeza ya mikataba kwa mchezaji yeyote labda uwe mlishakumbaliana kabla ya tamko la Waziri Mkuu.
Duka la Chelsea la kuuza vifaa limeshafungwo.
Mtihani uliopo Mrusi ana miliki Chelsea asilimia 100 peke yake ndio maana unajiuliza jamaa atakumbali vipi hii hasara klabu itaifishwe ama aje akikataa ina maana kuanzia tarehe 1/6/22 Chelsea itashindwa kujiedesha tena.
Ila kimbaya ni hawa wahisani kama 3 Mobile, Hyundai nk kusitisha mikataba yao na Chelsea, hii ni pigo kubwa sana.
Taarifa za serikali UK ni kwamba wana ushahidi Putin na Roman wana urafiki wa ki uchumi na ushahidi upo ndio maana serikali ya Malkia wamekomaa na kumtaifisha chap.
Ngoma bado mbichi.
YNWA
Umesahau wazungu kwa spinning? Watakwambia maisha ya wanaokufa na kushambuliwa Ukraine ni zaidi ya faida za mtu mmoja (Roman).Mbona chama cha uingereza hakifungiwi kuchanganya siasa na mpira??
Yaan ozil alifukuzwa arsenal kwa sababu ya kuwatetea waislam wanaouliwa na Israel wakakaa kimya ila Leo abramovic anaonekana shetanUmesahau wazungu kwa spinning? Watakwambia maisha ya wanaokufa na kushambuliwa Ukraine ni zaidi ya faida za mtu mmoja (Roman).
YNWA
Yaan ozil alifukuzwa arsenal kwa sababu ya kuwatetea waislam wanaouliwa na Israel wakakaa kimya ila Leo abramovic anaonekana shetanUmesahau wazungu kwa spinning? Watakwambia maisha ya wanaokufa na kushambuliwa Ukraine ni zaidi ya faida za mtu mmoja (Roman).
YNWA
Wenzako wanaongelea mpira ww unaleta mapenzi, humu sio pahali pakeHakika
Jitahidi unapopambana na hali yako basi usitikise na ya mwenzako.Wenzako wanaongelea mpira ww unaleta mapenzi, humu sio pahali pake
Kwani kuna msimu wowote muliwahi kusema tunafika Mbali?
Soka limekuwa la kiduwanzi yani liverkuku na matimu mengine yanafurahi mutadhani tutayumba.?!
Hapana tutakuwa bora zaidi.
Haya mambo hua ni mtihani sana kujua ukweli maana sie kila kitu twasoma kwa mitadao. Behind the scenes haya mambo hua mazito sana.Yaan ozil alifukuzwa arsenal kwa sababu ya kuwatetea waislam wanaouliwa na Israel wakakaa kimya ila Leo abramovic anaonekana shetan
Usione MO SALAH akiwanyanysa watu ndani ya Uwanja ukachukulia kirahisi .Tatizo huko mazoezini anakabwa na nani? Usione VVD anakuwa bora uwanjani kila striker anamuogopa .Tatizo mazoezini anamkaba mchezaji bora wa Dunia MO SALAH si rahisi hata kidogo .Na MO SALAH anakabwa na beki bora wa DUNIA mpaka umpite si kazi rahisi ndio maana wote wakiwa uwanjani ni moto Sasa Kimbulu mazoezini anakabwa na MAGUIRE kwa nn asijione fundi haya mpeleke kwenye mechi sasa toka mwaka uingie ana goli moja Daaah.Nasikia jina la YATIMA limehamia upande wa pili wa Nzi wa blue vp huko wameachwa au ? #Nyumbu hana Epl ukame uendelee au mnasusa?
View attachment 2147186