Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,583
- 235,438
Wakae Kwa kutulia kabisaKwenye mpira alievuka kwenda hatua ya pili ndio mshindi hayo sijui tumekoswakoswa hayana maana yashapita, mpambane sasa tukutane nusu au robo au faino.
Tumeshakumalizeni Carabao hilo halifutiki mpaka Carabao mpya msimu ujao. Mkae mtulieeeeee tuliiiii.
YNWA
Vipi nyie kepa alivyoupaisha mpira juu mawinguni[emoji16]VVD alikaba kama Magwaya
Our Mane[emoji3590]
Tuliwatuma mpaishe mpira?ubingwa upi nyie kuku mutabeba? ubingwa wenu wa mchongo ni carabao tu inatosha.
Tulifungwa?Mngefungwa ndio ungejua hizo post mlizohit ni Non sense
Cheki na Kepaumenipiga ngapi?
Sasa yenu ni mbovu zaidi maana tumewafunga ,golikipa wenu alikuwa na kengeza mguuni.Muna timu mbovu sana nyie takataka.
Scum fc aka ng’ombe mnadani rudini thread yenuHahahahahaaaa
Check carabao replay
Halafu unywe maji mengi sana
HakikaYeah man. We shall push to the end. We are Liverpool we dont give up.
We have almost kikosi kizima lakini mechi sasa zimekua nyingi zinachezwa kwa ushindani mkali sana uwanjani kiasi ma dogo muda wa ku recover umekua mchache tazama wiki hii tumecheza na Inter Milan wekedi ijayo tuna Brighton na Jumatano ijayo tuna Arsenal ugenini hivyo mechi zinakuja kwa kasi ya 5G ndugu.
YNWA
Watajua hawajui
Mganda anawatakaHayo hayatuhusu tupo robo fainali mtajijua huko Darajani.
Hivi hamjapata mteja tu.
YNWA
Ndo nakuambiaTulifungwa?
Lile kombe la Mbuzi halituumizi kichwa.Vipi nyie kepa alivyoupaisha mpira juu mawinguni[emoji16]
Katimu kadogo sanaLile kombe la Mbuzi halituumizi kichwa.
Subirini tukutane Uefa maana kule hakuna marefa wa mchongo wa VAR.
Ndio mtajua hamjui Chelsea ni nani.
Mmezoea kubebwa na marefa wa michongo...Katimu kadogo sana
La Mbuzi ndio mngehangaika kucheza dakika 120 hadi mkataka kupasuka??Lile kombe la Mbuzi halituumizi kichwa.
Subirini tukutane Uefa maana kule hakuna marefa wa mchongo wa VAR.
Ndio mtajua hamjui Chelsea ni nani.
Subiri tukutane kwenye makombe ya Kiume ambayo hayana marefa wa michongo.La Mbuzi ndio mngehangaika kucheza dakika 120 hadi mkataka kupasuka??
Mkuu utakuwa unateska sana ukiwa wapi?
Mkuu utakuwa unateska sana ukiwa wapi?
Mmeshauzwa?Ndo nakuambia