Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Aisee Mnajiamini Sana[emoji23][emoji23][emoji23] Jana na vvd wenu inter wakawatoboa anfield
 
Don’t rule us out that soon

Tulipigwa 3-0 Barcelona na Bado tukabeba ndoo

It’s a bad patch

I am sure tutarudi kwenye tei soon

We never play well when Faby and Salah play poorly
👍🏿👍🏿👍🏿
 
Nafikiri issue kubwa hapa ni ile pressure ya ku push on all fronts. FA Cup, CL and PL.

Like it's hard to focus on a single one kwa kuona labda hatuna nàfasi upande mwingine. Hata kocha anakuwa na hard time ku rotate key players hivyo unakuta kuna ambao wanatumika week in week out. Fatigue must set in asee so kuna games lazima wawe under par.

I hope we can still push though. Mdogo mdogo the Liverpool way.

Resilience is key.
 
Iyo Napoli unayoongelea ni Napoli ya Mwaka gani maana kama unaongelea ile ya Anceloti walishinda Naples sisi tukashinda Anfield sasa ukibonde unakuja wapi hapo
Huyu aliyesema ukibonde nadhani haelewi, Jana hatukucheza vizuri kabisa na hii inatokea sio kitu cha ajabu. Hakukuwa na ile pressing na pass hazikuwa sharp ila kusema vibonde hapana ni lini team ya Italy ilitutoa sisi? AC Milan anayeongoza league tulipiga kote tena kirahisi tu. Hatukuwa na game nzuri jana tuangalie game ijayo.
 
Rent boys zina akili kinyesi kweli! Hivi wanadhani ingelikuwa tunatafuta nafsi ya kusonga mbele kwa kuto kupata ushindi kwenye Mechi ya kwanza jana Inter wangetufunga?

Hao rent boyz akili hakuna kabisa,kuna mmoja alianzisha uzi eti kombe anampa chelsea kwa kuwa Liverpool alitoa sare na Brighton,sasa hivi ameukimbia uzi wake.

Hao sio wa kubishana nao kabisa mkuu,hao ni wafata upepo tu.
 
Mnabahati sana na red card ya mchongo kwa ALEXIS....otherwise LAUTARO angewafundisha nini maana ya mpira maana alikuwa na uchu wa magoli haswaa. Hata hivyo hamfiki mbali 😂
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…