Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Huyu dogo hua humuamini kabisa.Dogo Curtis hii mechi asituangushe tu maana anasifika kwa maamuzi mabovu kimtindo
Akikaba kwa bidii na kuachia mipira kwa wakati itakaa vizuri
Ka-Snake
Money boy haha alituletea mpunga wa maana kuwanasa VVD, Allison aisee.Ka-Snake
Kama ulivyotabiri huyu dogo na takumi wanakuwaga na delay kwenye maamuz wanaifanya timu nzima inapwayaDogo Curtis hii mechi asituangushe tu maana anasifika kwa maamuzi mabovu kimtindo
Akikaba kwa bidii na kuachia mipira kwa wakati itakaa vizuri
Huyu dogo hua humuamini kabisa.
Klopp taratibu anawakaribisha big boys league. Uliona na Elliott was given a piece of the cake apate hizo feeling that comea during UCL matches.
They are being initiated from boys to men πππ.
YNWA
HahahahahaaaaNaona mbeleko inatembea hapa, piga garagaraza Leo hamtoki Salama hapa.
Dogo has excellent skills na mpira but he is carelessHuyu dogo hua humuamini kabisa.
Klopp taratibu anawakaribisha big boys league. Uliona na Elliott was given a piece of the cake apate hizo feeling that comea during UCL matches.
They are being initiated from boys to men πππ.
YNWA
Dah! Kweli aisee kwa performance hii sioni tukichukua ubingwa. Anyway acha tuendelee kujipa matumaini.I said something about us losing a few days ago
We are too casual and we look tired and careless
This is Not a good sign
Naona mbeleko inatembea hapa, piga garagaraza Leo hamtoki Salama hapa.
YeahI am not impressed kabisa na trend yetu
We may lose a game one of these days
Hakuna mbelekoMbeleko gani Mkuu,funga goli likataliwe ndio useme mbeleko.
Unacheza foul halafu usipewe card kweli?
After Carabao we aren't kicking the right gears man.I said something about us losing a few days ago
We are too casual and we look tired and careless
This is Not a good sign
He will become better.Anakaa na mipira bila hesabu nzuri dogo halafu kutembea na mipira bila malengo aaah anazinguaga sana
Liverpool should sort Salah and mane situation sooner rather try an laterAfter Carabao we aren't kicking the right gears man.
This loss today is a wake up call.
Kwa sasa Klopp number one player on the team should be Diaz hawa wengine pale mbele sijui hawa wengine wanawaza mikataba ama ni vipi we are being so predictable..
Ama January blues ndio zimehamia March ππΏππΏππΏππΏππΏππΏ....
YNWA
Donβt rule us out that soonNa kwa hali hii ya leo lets be realistic we can't win the UCL guys playing this way.
YNWA
The drama already is here.Liverpool should sort Salah and mane situation sooner rather try an later
Gini Situation affected the team last season - we donβt want another drama