Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
Mbona unajisahau wakati wewe pia una mechi na Liverpool?Liverpool mna game na
Vs arsenal
Vs man utd
Vs Spurs
Hapa lazima kuna draw ya wazi wazi kabisa .....!
Hiyo nimeiacha maksudi kwani itakuwa vita ya tatu ya dunia kuamua atakayenyanyua epl may 2022Mbona unajisahau wakati wewe pia una mechi na Liverpool?
Hapo hatupotezi hata mechi moja ndugu ujue taa ishawaka ogopa sana ukiona Liverpool akianza ushindi wa 1 bila zaidi ya moja yaaani Pep hatanii kusema anachojua ni kwamba hana muda wa kupoteza gemu hata moja maana anaemkimbiza anakuja mazima.. Kwangu hapo hao Spurs itategemea siku hio wataamka aje maana hawatabiriki kabisaaaaLiverpool mna game na
Vs arsenal
Vs man utd
Vs Spurs
Hapa lazima kuna draw ya wazi wazi kabisa .....!
Hapo sawa, team yako ina wachezaji wazuri na wapo kimashindano ila napenda vile ambavyo hamuidharau Liverpool mshindani wenu wa karibu, sio Chelsea makelele mtaa mzima na dharau kibaoHiyo nimeiacha maksudi kwani itakuwa vita ya tatu ya dunia kuamua atakayenyanyua epl may 2022
Liverpool mna game na
Vs arsenal
Vs man utd
Vs Spurs
Hapa lazima kuna draw ya wazi wazi kabisa .....!
Hapo hatupotezi hata mechi moja ndugu ujue taa ishawaka ogopa sana ukiona Liverpool akianza ushindi wa 1 bila zaidi ya moja yaaani Pep hatanii kusema anachojua ni kwamba hana muda wa kupoteza gemu hata moja maana anaemkimbiza anakuja mazima.. Kwangu hapo hao Spurs itategemea siku hio wataamka aje maana hawatabiriki kabisaaaa
Pain killer jiadae gemu ya Aston Villa, Crystal Palace, Brighton, Wolverhampton lolote linaweza kutokea.
YNWA
Hata Brighton mechi kubwa hua wanakamia balaa yaaani.Palace Na wolves tu anawatosha hao,achamoki hapo.
Hiyo na palace ndio uhakika 100%, lazima wataacha points hapo niamini Hilo Mkuu.
Hiyo draw ni wishes zako tu lakini sio kwamba itakuwa ivyooLiverpool mna game na
Vs arsenal
Vs man utd
Vs Spurs
Hapa lazima kuna draw ya wazi wazi kabisa .....!
Kusema kweli katika team ambazo nategema kuzipiga goli za kutosha ni huyo crystal palace ,hio game itakuwa nyepesi Sana ....kidogo wolves ndio atasumbua japo na yeye atakufa tu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Palace Na wolves tu anawatosha hao,achamoki hapo.
Hiyo na palace ndio uhakika 100%, lazima wataacha points hapo niamini Hilo Mkuu.
Hapo game ya arsenal itakuwa ngumu Sana kwenu anaitafuta top 4 zaidi ya kitu chochote ,wachezaji washaahidiwa pesa na bonus za kutosha Sasa usifikili itakuwa rahisi ....namuona arsenal akikung'ang'ania draw anaweza kupata .....Mkuu unautani wewe [emoji3]. Hapo nani wakumfunga Liverpool hapo?
Man U ndio atufunge eti? Au Arsenal na Spurs hao?
Kuna timu Za kuogopa sio hao na uzuri wake sasa hivi wachezaji wetu wote wamerudi.
Kikosi kiko full hao Spurs walipata sare kwasababu wachezaji wetu walikuwa na Covid 19, kama vvd.
Mkuu tafuta mechi zingine hapo tunachukua point 9 zote na magoli ya kutosha.
Kiukweli hapo kwa timu zilibaki mpaka ligi kuisha hakuna timu ya kutufunga tena wakijitahidi sare na hapo ni mechi na man city tu hiyo tofauti ya hapo hakuna timu ya kumfunga Liverpool kwa sasa
Crystal palace atakusimamisha mechi ijayo,hamna huwezo wakumfunga crystal palace nyie.
Mpe tu sisi hatuna shughuli ndogoNataka nimpe liver 20k ushauri jaman
CrapHapo game ya arsenal itakuwa ngumu Sana kwenu anaitafuta top 4 zaidi ya kitu chochote ,wachezaji washaahidiwa pesa na bonus za kutosha Sasa usifikili itakuwa rahisi ....namuona arsenal akikung'ang'ania draw anaweza kupata .....
Kuhusu man utd ,huwa ni kawaida kushangaza ulimwengu yaani kutoka sare hapo anfield [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]....
Spurs sio wa kubeza kabisa ,Tena huyu anaweza chukua point 3...!
Kumbe unajua ni vita ya 3 ya dunia sasa hao wagonjwa uliowaandika hapo tutawapiga hadi wachakaeHiyo nimeiacha maksudi kwani itakuwa vita ya tatu ya dunia kuamua atakayenyanyua epl may 2022
Thiago is alive and kicking man. Alianza mazoezi tangu majuzi ndio maana leo yupo uwanjani.When did they have this dinner? I thought Thiago was in injury few days ago?!