King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,463
- 7,456
High line defence ni kimeo ikiwa kama leo kwa Manchester City.
YNWA
Sisi Liverpool never say never, we don't give up.Unaweza ukawa msimu wa neema kwetu.
Spurs kamfunga ndani nje
Mambo yamebadilika sasa tunahitaji uzoefu wa Klopp na jopo lake na senior players ili vijana endapo hii gepu tuipunguza wawe na utulivu.
We don't bottle this up...
Tukumbashane Kipara kapigwa Ethad nyumbani kwake yaaani bonge statement kutoka kwa Tottenham.
YNWA
Hahaha leo Captain naona tu mazuri yake bhana umeona ile pasi matata sana goli la Diaz yaaani wembe balaa.HIghline Defence inahitaji Mabeki wasifanye kosa lolote tani wawe makini kwa asilimia 100%.
Hivyo inahitaji Mabeki wazuri na na DM mzuri.
Huwezi kucheza HIghline Defence halafu una DM kama Hendo ndiyo yatakukuta kama yaliyotukuta kwenye goli walilotufunga Norwich.
We jamaa unaijua Liverpool kama kocha msaidizi vileKlopp hapa hana muda wa kusubiri Ox na Keita hii mechi imewakataa wanashindwa ku dictate tempo hii gemu chap Ox nje aje Thiago, chap nje Keita aje Fabinho.
YNWA
Bila kusahau Tarehe 27 ni jumapili ijayo tunakiwasha na Chelsea fainali ya CarabaoBaada ya miaka mingi sana hii ndiyo mara ya kwanza mpaka kufikia Feb 20 bado tupo kwenye Makombe yote na tuna nafasi ya kuchukua ubingwa kwenye Makombe yote.
HIghline Defence inahitaji Mabeki wasifanye kosa lolote yani wawe makini kwa asilimia 100%.
Hivyo inahitaji Mabeki wazuri na na DM mzuri.
Huwezi kucheza HIghline Defence halafu una DM kama Hendo ndiyo yatakukuta kama yaliyotukuta kwenye goli walilotufunga Norwich.
Wewe unasema pass lile goal la Mane angefunga Messi au Mbabe au Ronaldo ungesikia they are back lakini Mane kama hawajaona...Nakushauri tushangilie ushindi wetu bila kudharau our own players!
Kaka kocha calibre ya Klopp anampa namba Captain sisi ambao hatujui lolote kwenye soccer skill set why tunamdharau?
Pasi ya bao la Diaz angepiga KDB ingekuwa highlights ESPN lkn kapiga Hendo kama hawaoni!
In Hendo,we believe
😂😂😂😂Pale kati jana paliloza sana na ikawa hatuwapi presha ya kutosha Norwich...We jamaa unaijua Liverpool kama kocha msaidizi vile
Wewe unasema pass lile goal la Mane angefunga Messi au Mbabe au Ronaldo ungesikia they are back lakini Mane kama hawajaona...