Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Huu usajili mahususi kwa mechi kama ya leo.
YNWA
View attachment 2121486
Benchi limekaa powa sana hakuna wale ma vijana tena. Klopp naona sasa hili kombe ana jambo nalo.
YNWA
Klopp kazi kwake. Hana tena presha akikata mti anapanda mti.Wachezaji wetu wote wamerudi hatuna majeruhi hata mmoja yaani ni full kikosi.
Kifurushi cha shilingi ngapi hiki? Masna cha 49000 naiona mechi ya bayern tu.Itakua 222.
YNWA
Wakuu samahanini hivi hivi hatua hainaga nyumbani na ugenini au ni mimi nina kimuhemuhe leo
He did
Aibu yakoInter Milan 2-0 Liverpool
Kile nadhani hua ni 92,000tsh vile.Kifurushi cha shilingi ngapi hiki? Masna cha 49000 naiona mechi ya bayern tu.