Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


You will never walk alone
 
Joel Matip vs Leicester

• 92/101 (91%) passes (1st in game)
• 2 chances created (2nd)
• 1 assist (1st)
• 119 touches (1st)
• 1/1 dribble
• 2/2 aerial duels
• 2/2 tackles
• 3 clearances (=1st for LFC)
• 3 interceptions (2nd for LFC)

What a performance [emoji122]

Huyu jamaa tulimpata bure.
Tunasubiri goli lake lile la ku'dribble
 
Jones hataki kubafilika huyu Dogo yupo too slow to release the ball .

Huyo alivyo ni kwamba anapotakiwa kutoa pass hatoa inavyotakiwa,inapotakiwa kutoa pass yeye ana kokote mpira.

Hiyo tabia anayo tangia msimu uliopita,anapotakiwa kufanya kitu fulani yeye hafanyi haswa anapokuwa anapangwa kila mara,anakera muda mwingine,mimi nimesha mzoea na shauri awe anapigwa bench sana akicheza mara moja moja akili itamkaa sawa atajua kualakisha mipira.
 

Tunapoendea huku lazima atafunga goli la namna hiyo tu na tutalipa goli bora la msimu kwa Liverpool.

Hata mimi huku nalisubiria maana kuna dalili zote
 
Better 2 than 1 we kill this game.

Come on Reds..

YNWA

Hii mechi tusingekuwa kuwa full mkoko wangetupiga tena maana walikuwa wagumu.

Mkuu nikumbushe timu ambayo ilitufunga nje ndani hapo kwenye Epl kwa hivi karibuni.

Hata Leo nilikuwa najua tu tutashinda maana hatufungwagi mara mbili kwenye ligi sisi yaani tufungwe nyumbani na ugenini?.

Westham na wenyewe tutawafanya kitu mbaya pale anfield maana atufungwagi nyumbani na ugenini.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…