Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mbona no info kuhusu vipimo vya huyu mmatumbi huko america
 
Hahahaha unakumbuka Mara ya mwisho Hazard aliwafanya Nini carabao?! Ndio kitu tunaenda wafanyia nyie kuku ..sisi mbele ya kombe huwa hatuna msamaha kabisa. Tunawanywa mapema tu Yani mjipange haswa maana kikombe hiki ni Mali yetu sisi ..🤣
CFC💙💙💙
 
Huyu Luis Diaz tumepigwa hamuna kitu mule..
Takumi alikuja kwa mbwembwe lakini mwishowe tumemuona.
 
Hahahaha itakua gemu powa sanaaaa.

Ni mwezi huu wa pili ndani ya Wembley 27/2/22.


YNWA
 
Huyu Luis Diaz tumepigwa hamuna kitu mule..
Takumi alikuja kwa mbwembwe lakini mwishowe tumemuona.
Sasa mkuu hapo kwenye kupigwa hata usijarib kuongea takumi tumemchukua kwa bei ya mtumba kabisa milion 8 tu hapo bado hatujamuuza na bado ametupia vigoli ambavyo vinaenda kutupa kombe mbele yenu

Sasa tukija kwenu mabingwa wa kupigwa hata ctachukua wachezaj weng
1.Kepa anaezubaaga
2.Timo werner
3.Bolingoli a.k.a awafu mwenye nguvu
Emb tuongee nan bingwa wa kupigwa
 
Awafu mwenye nguvu!!! Daah watu mna maneno aisee
 
Mo Salah nje ya mfumo wa Klopp ni mchezaji wa kawaida sana,
Akiondoka ndio kajimaliza, Liverpool tuna kocha mzuri sana na anambinu nzuri.
Harafu ni kweli ,Salah nje ya klop ni garasha tu ,ni shati inayotembea uwanjani ....


Lakini kama hamtaki kumpa 400k per week lazima asepe [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…