Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ila ww jamaa sijui hujielewi? Yaani unataka watu tu post kitu unachokitaka ww? Kila mtu anapost kutokana na feelings alizo nazo hili nijukwaa huru bhana usituletee ujuaji hata sisi ni mashabiki wa Liverpool bhana japo tukipoteza au makosa yakitokea tunapaswa kutoa hisia zetu em kwenda zako huko.
Sasa ambaye hajielewi Kati yangu mm na ww ni yupi??

Unanikataza kufanya kitu ambacho ww unakifanya kwenye paragraph hiyohiyo

Kama ww Ulikuwa unajua hili ni jukwaa huru then mm nimetumia uhuru wangu kama ww ulivyotumia wa kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu acha hasira,tushangilie ushindi,mkuu namna ulivyoandika unaonekana wamekuudhi sana,potezea tujadili mambo ya msingi hayo majibizano hayana faida kwetu. Ingekuwa mshabiki wa timu nyingine sawa.sasa sisi wenyewe tunagombana pasipo Na sababu Za msingi.

Mkuu usipende kuweka vitu moyoni,zeway ulivyoandika haijengi humu ungeandika tu kawaida lakini unaoneka umekasilika sana.
 
hili swala la city kutawala ligi linakera, 4 trophies in last 5 seasons
FSG wanakera sana Mkuu. Mansour anampat sapoti kipara kila akihitaji kuimarisha kikosi wanatoa ela tazama walimtaka Messi, Kane bila hata kuuza mchezaji lakini kwa Klopp lazima auze ndio anunue hua nikisema Klopp ni Genius ni kutokana na ufinyu wa kikosi lakini anakitumia to the maximum kishindana na Kipara Pep to the maximum.

Bila Wolverhampton kukumbali malipo ya Jota yawe kwa instalments nakuhahakishia huyu Jota asingetua na bila Bayern Munich kukumbali malipo ya Thiago yawe ya instalments nauhakika huyu dogo asingetua Liverpool. Kimsingi tuna policy ya ajabu sana kununua na kuuza wachezaji.

Bissouma inakua ngumu kwa vile jamaa wanataka straight cash sio bla bla za extended payment. Na ukweli timu chache sana hukumbali haya mambo ya instalments unless pale mchezaji nae anafosi kuodoka.

Manchester City atageuza huu ubingwa kua wa farmers league tuedako Hahaha.

YNWA
 
Mkuu acha hasira,tushangilie ushindi,mkuu namna ulivyoandika unaonekana wamekuudhi sana,potezea tujadili mambo ya msingi hayo majibizano hayana faida kwetu. Ingekuwa mshabiki wa timu nyingine sawa.sasa sisi wenyewe tunagombana pasipo Na sababu Za msingi.

Mkuu usipende kuweka vitu moyoni,zeway ulivyoandika haijengi humu ungeandika tu kawaida lakini unaoneka umekasilika sana.
Huyu jamaa ni mpuuzi sasa anavyo screenshot kile kilicho andikwa na watu na kuonesha yeye ndio mshabiki halali ndio nini? Mpuuzi tu huyo.
 
IMG-20220122-WA0003.jpg
 
Gerrard kawapiga toffees atakua na weekend njema sana.

Jamaa ana mpira mzuri sana ngoja tuendele kumtazama atabaki kwenye hii peak kwa muda gani?

Ana kiwango bora sana mbinu nzuri soka la kushambulia good marking ila defensively yupo njema sana. Villa amekuta pia kuna watu wazuri na maingizo mapya Coutinho na Digne watampa kitu...

So far ananishawish kuamini ataiweza Liverpool na epl kwa ujumla.

Best of luck to him...

Sent from my Pro_Max11 using JamiiForums mobile app
 
Senegal vs Egypt in the WC qualifiers third round (CAF region). So it means one between Salah or Mane will miss this years World Cup 😂😂

Captain Marvelous
🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🧐🧐🧐🧐🧐Hawa Fifa hawana huruma kabisa.
Ndio nini sasa tutakosa uhondo wa kijana wetu mmoja kule Qatar..

Haya mambo bhana hata Europe World Cup play off matata sana inasubiri kati ya Portugal na Italy yaaani hapo mmoja atakosa safari...

Ningependa watue Mane Qatar haha Salah atulie tuna mission kumshusha kipara kutoka Himalayas...

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom