Mondela
JF-Expert Member
- Aug 20, 2021
- 2,567
- 3,780
Ila ww jamaa sijui hujielewi? Yaani unataka watu tu post kitu unachokitaka ww? Kila mtu anapost kutokana na feelings alizo nazo hili nijukwaa huru bhana usituletee ujuaji hata sisi ni mashabiki wa Liverpool bhana japo tukipoteza au makosa yakitokea tunapaswa kutoa hisia zetu em kwenda zako huko.You ain't that new to me brother
Kwa sababu hatucoment sana hapa usidhan kuwa hatupit katika jukwaa hili au sisi ni wagen
ET enz hizo unaitwa King ngwaba so am I supposed to be afraid of you
Sent using Jamii Forums mobile app

