Hahahaha aibu ya karne.... Sio tu shot on target tazama final 3rd tulivyo pwaya..Dk 80 Arsenal wapo pungufu lakini hatujapuga shot on targett hata 1.
Kaka mkubwa nilikwambiaga lakini hii timu hiiHahahaha aibu ya karne.... Sio tu shot on target tazama final 3rd tulivyo pwaya..
Wekedi hii tupo na The Bees haha kama nawaona Tony na Mbuemo watakavyotutesa..
Au tuseme ndio ile dry spell ishaanza mapema hivi kama ndio hiiii basi huu ni mwanzo tu mfunge mkanda...
YNWA
Mkuu uliona mbali sana.Kaka mkubwa nilikwambiaga lakini hii timu hii
Hata Leeds hapati namba huyo usionglee aseno Leeds hii mbovu hendo hapati nambaMwenyewe nacheki mkuu. Sizumgumzii game ya leo. Hendo kwasasa hayupo katika level yetu. Anahitaji kuachiwa aende. Amekuwa na performances za hovyo sana hasa ukizingatia fact kuwa ndio captain.
Curtis Jones got on bana dakika za mwisho akapangua Ramsdale. 😂😂😂No short on target [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna mjinga atakuja kutetea maujinga ya hendo na Milner kompliti midifidasi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji174][emoji706]
Leo tulikuwa na jambo, ila Xhaka katuharibia, second leg tutamaliza jambo letu pale EmirateUsije kimbia baada ya mechi.
Ntakufurumua sana.
Hii audacity mnaitoa wap watoto wa arsenal yaan draw na Liverpool Ndó kibur kinawajaa hv???Liverpool next Thursday tutakuwa na, Arthur, Smith Rowe, Odegaard, Tomiyasu... Mna uhakika mko tayari kweli au mtaomba mechi iahirishwe?
Liverpool next Thursday tutakuwa na, Arthur, Smith Rowe, Odegaard, Tomiyasu... Mna uhakika mko tayari kweli au mtaomba mechi iahirishwe?
Kwani timu zenye world class player ndo hazifungwi?Hivi hayo majina uliotaja hapo kuna world class player hata mmoja ?
Ona aibu basi... Timu ya kushinda hizo goal mnayo?Hii audacity mnaitoa wap watoto wa arsenal yaan draw na Liverpool Ndó kibur kinawajaa hv???
Tukija kuwafunga 4 au 5 Kama tunavyowafanyaga ndo mtafurah cyo??
Mpka salah atoke Africa waviziaji nyieCurtis Jones got on bana dakika za mwisho akapangua Ramsdale. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila it was very poor from us today. Hata sielewi niseme kitu gani.