Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,457
- 32,892
Huyu Robertson alipata knock mechi ya FA na leo kapangwa humu...
YNWA
Huyu Robertson alipata knock mechi ya FA na leo kapangwa humu...
Huo ni mzigo halafu umetuganda kinyama asee.Hivi huyu Henderson kweli anajielewa au anafanya kusudi....
Ameanza yale ya Leicester leo mapema hivi...
Ni aibu huyu ndio kapteni wetu..
YNWA
Game bado hapa nacheki live aseno watoto tuHuo ni mzigo halafu umetuganda kinyama asee.
Hawa watoto watulie kwanza hii game ya muhimu sanaIt's about time Curtis Jones na Morton wa step up. Kisha tusajili Bissouma.
Get rid of Hendo.
Mwenyewe nacheki mkuu. Sizumgumzii game ya leo. Hendo kwasasa hayupo katika level yetu. Anahitaji kuachiwa aende. Amekuwa na performances za hovyo sana hasa ukizingatia fact kuwa ndio captain.Game bado hapa nacheki live aseno watoto tu
Mzee hebu uwe unasoma unaelewa basi.Hawa watoto watulie kwanza hii game ya muhimu sana
We are Liverpool
Link wadau, natumia live football tv ila inazingua mtandao uko chini mno
Hahaha 2025 ndio mkataba unaisha yupo sanaaaa oohooooo....Huo ni mzigo halafu umetuganda kinyama asee.
Bissouma huyoooo Aston Villa haha Gerrard hataki ku challenge top 10 anaitaka big 4 ujue.. Pesa wanayo sasa kupata wachezaji wazuri kazi kwao..It's about time Curtis Jones na Morton wa step up. Kisha tusajili Bissouma.
Get rid of Hendo.
Na hii ndio 1st 11 bila wale Wanyamwezi wetu kule Afcon yaaani we are doomed...It's about time Curtis Jones na Morton wa step up. Kisha tusajili Bissouma.
Get rid of Hendo.
Sure mkuu nafasi yetu ya kushinda taji lolote imebaki huko ulikotaja tu. Ila PL hakuna matumaini kabisa.Na hii ndio 1st 11 bila wale Wanyamwezi wetu kule Afcon yaaani we are doomed...
If i were Klopp kwanza napambana kuhakikisha FA na Carabao zinatua Anfield pia napambana Champions League itue Anfield maana kwa haya ninayoona leo huyo Pep mapema wapewe EPL in sky blue ribbons...
YNWA
Aibu nyumbani Anfield mechi ya kushinda kusogea zaidi kwenda Wembley kucheza fainali Carabao ndio tunacheza hivi duuh mpaka sasa hatuna proper move ya kuzaa goli yaani tupo tupo tupo...Sure mkuu nafasi yetu ya kushinda taji lolote imebaki huko ulikotaja tu. Ila PL hakuna matumaini kabisa.