Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa timu lile bovu lolote linawezekana
Nikifikiria kiungo Fred na Mc Tominay ndo huwa nachoka yan
Yaani mnapigwa,hilo siyo la kujiuliza mara 2πŸ˜‚
Sisi tu na man city pamoja na uimara wetu wa timu ila tulishinda kwa mbinde dhidi ya wolves ,,sasa man u na mlivyo wavivuπŸ˜‚πŸ˜‚..pona yenu mjitahidi mdraw wasiwanyuke..ila sahauni kugusa nyavu zao.
 
leo nafurah kuona mmerud kwenye mother tongue [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119] mana kupata matokeo kidogo2 mnaanza jikuta wazungu na sarah na mwenzake maneke ndo ao wameenda
 
Nikiangalia mbungi la jana
Halaf na mtifuano wa Arsenal na Man City ndo nagundua sisi Man U tumeachwa nyuma sana
Wapinzani hongereni mpo mbali sana

Asante mkuu.ni Kweli Mkuu wewe umeona mbali sana.mechi tatu za mwisho umecheza na timu iliyopo nafasi ya 20,19 na 18. Hapo sio kipimo tosha cha wewe kuona una timu Nzuri.

Leo Mechi na wolves ndio itakuwa kipimo tosha kwamba timu yako iko wapi.

Kama uliangalia wolves na man city,Chelsea na Liverpool,sasa hapo kwa wolves Ndio kipimo chenu.
Mjipange kwa msimu ujao.
 
Jamani wala hufi ila cha moto utakiona tu maana kwa hili kikosi cha kuungaunga mbona kazi ipo.

Sasa Salah magoli huyooo zake Afcon tunabaki na Jota kama senior strika aliemzima sababu Takumi, Origi, Firmino majeruhi πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”...

Tutaelewana tu.

Jana ile sare kwetu ni ushindi aisee maana tulisakwa kweli kweli dakika za lala salama.

YNWA
 
Dah yaani akibahatika mtu kuniona ninavyokuwa nikiwa naangalia mechi atacheka azimie..narusha miguu,mikono,kichwa yaani ni tafrani.
Sometimes namimi nakaba kama VVD.


Ila angalau jota ananitia nguvu ya kuendelea kuangalia.
 
Dah yaani akibahatika mtu kuniona ninavyokuwa nikiwa naangalia mechi atacheka azimie..narusha miguu,mikono,kichwa yaani ni tafrani.
Sometimes namimi nakaba kama VVD.


Ila angalau jota ananitia nguvu ya kuendelea kuangalia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na utajua hujui mwaka huu. Poleeeeeh
 

Man Chester united fans hawawezi kugusa huu uzi na ile yetu pendwa ya Chelsea ila subiri washinde sasa[emoji2957][emoji2957][emoji2957] watakuja na analysis jins prof Rangnick alivyowafundisha ukocha Kloop na TT [emoji23][emoji23][emoji23] utacheka ufee[emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…