John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,040
Km n wabovu Sana wangekuwa wanaongoza kufungwa goli nyingi mpk sasa. Cha ajabu mpk nyinyi tumewazidi Kwa kufungwa goli chache.....hyo sentensi yako haiondoi maumivu ya kamubaki[emoji23]Ni vile tu kikosi chetu kilikuwa kibovu..chelsea wabovu sana.
Umefuraahi?Duh waliondoka jana ileile?
Hamna mchezo wapi wakati timu lenu linachapwa,Wewe subiri ukutane hata na Arsenal tu akuoneshe show.
Sisi timu za London hatuna mchezo.
Wachezaji wote ni wa maanaMna mchezaji gani wa maana wa kati.
Mbona mimi siongelei mgogoro wa Lukaku na wachezaji wangu wengine wa muhimu kama James na Chilwell?
Ningekuwa full there is no way hiyo game wewe ungechomoka.
Mbona hata nyie tuliwafunga goli 2 hivyohivyo?Unapigwa goal mbili ndani ya dakika 4 kwa forward line ile ya chelsea?
Huwezi kuwa serious.
Hats sisi wenyewe tulidata maana siyo kawaida.
Sisi tutatumuweka Keppa golini.Umefuraahi?
Kichapo kipo palepale
Sasa kama amekosa tufanyaje!We hujaangalia mpira yaani match inaanza tu, Pulisic kakosa goal la wazi yeye tu na kipa.
Mane na Salah wameondoka. Sisi tutakachokifanya cha maana ni kuhamia humu ndani.Hamna mchezo wapi wakati timu lenu linachapwa,
Hivi city anaenda kuwatandika.
Walete hao Asenali wako uone tunavyowanyoosha.
Sasa kama ni wa maana mbona hamjashinda jana.Wachezaji wote ni wa maana
Wasingekuwa wa maana wasingekuwepo pale.
Sasa sisi tungekuwa full unadhani tungewaacha salama?
Ona aibu basi nyie mna forward line nzuri.Mbona hata nyie tuliwafunga goli 2 hivyohivyo?
Kwako shida ni dakika na siyo magoli?
Yeah tumekubali.Sasa kama amekosa tufanyaje!
Si ndo ashakosa.
Cha moto kipi?Ona aibu basi nyie mna forward line nzuri.
Sisi forward line yetu ni takataka lakini bado tumewaonesha moto.
Subiri tushinde ndio utaona kama tunachechemea wote au mnachechemea pekeyenu.Yeah tumekubali.
Ndio maana nikasema hata nyie timu yenu inachechemea kama yetu. Haina maajabu ya kutisha.
Hata nyie mbona hamjashinda??Sasa kama ni wa maana mbona hamjashinda jana.
Kubalini tu timu yenu kuna watu wasipokuwepo ni takataka.
Mbona sisi tunakubali majeruhi ya wing back zetu yametuathiri?
Tutaendelea kuwachakaza hivyohivyo bila Mane wala Salah.Mane na Salah wameondoka. Sisi tutakachokifanya cha maana ni kuhamia humu ndani.
Subirini.
Brentford tar 16 lazima ajipigie nyinyi kunguni.
Ana uwezo mkubwa huyo jamaa
Muwekeni awadakie na mechi ijayo ya man city[emoji23][emoji23]Sisi tutatumuweka Keppa golini.
Ameshawahi daka match ya man city msimu ukiopita na tukashinda.
Nyie ndio udhaifu wenu unaenda kuwa exposed rasmi.
Mtajua hamjui.
Roho ilimuumaje jamani!Mendy jana amelala anaota lile shuti la Mo tu[emoji23][emoji23]
Liver hana mF ya kueleweka huwezi kukubali hili.Cha moto kipi?
Unadhani hao forward wanacheza bila watu katikati kucheza?
Wachezaji wako wa muhimu wameondoka plus covid.Subiri tushinde ndio utaona kama tunachechemea wote au mnachechemea pekeyenu.