Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,823
- 233,255
Sasa shida unayo wewe halafu nikufuate mimi!Sawa we njoo
Nyumbu bwana mnakuwa wavivu kama timu lenu.
Sasa shida unayo wewe halafu nikufuate mimi!Sawa we njoo
Sasa shida unayo wewe halafu nikufuate mimi!
Nyumbu bwana mnakuwa wavivu kama timu lenu.
Inashangaza sanaKwenye huu uzi adi mashaki wa Man u eti wanakuka kukomenti pia![]()
![]()
![]()
Kwenye huu uzi adi mashaki wa Man u eti wanakuka kukomenti pia![]()
Ebwana weee mbona hii ratiba konki sanaaa.....Inashangaza sana
Huku timu lao limejificha wala halitaki kucheza.
Na kwa fixture hii lile timu halitoboi mechi yoyote hapo
View attachment 2062019
Na ukija pm uanze na salamu ya "YNWA" halafu uendelee sasa na shida iliyokuleta.Hahahahahaaa
Wachomolee wapi mkuu😂😂😂Duuh aisee si bure bhana mechi ngumu sana hivi kweli pale watachomoka hata moja kweli khaa hizi ratiba wakati unaweza sema ni nuksi...
YNWA
Khaa bora Ole kashasepa zake mapema maana hizi lawama zitakua full throttle...Wachomolee wapi mkuu😂😂😂
Khaa bora Ole kashasepa zake mapema maana hizi lawama zitakua full throttle...
Labda hii January watapata reinforcement kadhaa angalau kupoza matatizo yajayo...
YNWA


Wamuache Mane jamaniJames Pearce naona ramsi kashapewa rungu amkaange Mane...
Inshort ni kwamba sioni Mane akipewa mkataba mpya labda FSG wakose mteja wa kumnunua.
View attachment 2062054
View attachment 2062056
YNWA
Bwana wee msimu huu tumepoteza mechi 2 tu EPL/UCL/Carabao hivyo ndugu usishangae sana uzi kuvamiwa.Kwenye huu uzi adi mashaki wa Man u eti wanakuka kukomenti pia![]()
Bhana Mane na Firmino naona safari imeiva mapema wajitazame kabla ya Juni 2023 wawe washapata timu kusepa zao... Ukishaona hawa mouth piece wa FSG wanaanza kupima upepo ndio ujue nyuma ya pazia kuna jambo lipo...Wamuache Mane jamani
Mane yeye angefanyaje sasa,wachezaji wote walikuwa wamebanwa.Bhana Mane na Firmino naona safari imeiva mapema wajitazame kabla ya Juni 2023 wawe washapata timu kusepa zao... Ukishaona hawa mouth piece wa FSG wanaanza kupima upepo ndio ujue nyuma ya pazia kuna jambo lipo...
Jana timu ilicheza chini ya kiwango sana kumnyooshea kidole Mane pekee ni kumwonea.. Inafahamika vyema Liverpool tunacheza kama UNIT hua mara chache sana utaona individual brilliance hutuokoa mbali ni Defence MF Front working in tandem ndio utaona tunapata ushindi...
YNWA
Hahaha labda watuletee Dusan Halland au Mbappe au Vincious unaweza ukawaelewa eti..Mane yeye angefanyaje sasa,wachezaji wote walikuwa wamebanwa.
Kwanza mimi naona alijitahidi sana,ni vile attempts zake hazikuzaa matunda.
Wamuache kabisa kaka wa watu hao wazungu..wasilete ujinga kabisa.
Hahahaha sisi ndio wazee wa matabirio.Kwenye hii fixture nina uhakika mutashinda mechi moja tu.