Freesociety
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 1,077
- 1,041
Airtel ni janga la internet.Ikae sawa wapi?
Airtel leo ni takataka kabisa.
Airtel ni janga la internet.Ikae sawa wapi?
Airtel leo ni takataka kabisa.
Ila siku zote naitumia hiyo.Airtel ni janga la internet.
Badilisha tumia mtandao mwingineIkae sawa wapi?
Airtel leo ni takataka kabisa.
Ninayo hiyo tu muda huu.Badilisha tumia mtandao mwingine
Labda huko kwenu ndo hua ipo vizuri. Lakini huku kwetu, ni hatari. Hua tunawaita 'wazee wa mb nyingi mtandao utajua wewe kwa kuutoa.'Ila siku zote naitumia hiyo.
Labda huko kwenu ndo hua ipo vizuri. Lakini huku kwetu, ni hatari. Hua tunawaita 'wazee wa mb nyingi mtandao utajua wewe kwa kuutoa.'


Kacheze wewe basi kama hamna timuHapa hamna timu kabisa
Tunarudisha goli na kufunga jingineZamu yenu kupewa kero kwenye uzi wenu
Kwani mechi huko kwako imeisha?Captain Marvelous nilikuambia unakumbuka hii comment .View attachment 2061160
Tumeshapoteza point 3 hapo tunapambania droo tu.Kwani mechi huko kwako imeisha?
Mimi naangalia hapa ni dakika ya 76
Mimi hadi nisikie filimbiTumeshapoteza point 3 hapo tunapambania droo tu.
Leicester city wameamua kuipooteza hii mechi ya Manchester city ili waje wafe na sisi ijumanne.





