Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahaha babu Vardy vs Klopp amateur MFs and Defence mh leo Vardy asipopiga hat trick basi kashindwa yeye...

Ndio mickey mouse cups ama duuh haya ngoja tuone...

YNWA
 
Aisee what a game....

Thanks Rodgers kaja vizuri Anfield hii gemu naona ni trailer ya mechi na hawa Leicester tukikutana wiki ijayo kwenye ligi...

YNWA
 
Wataanza kukomalia hoja ya mickey mouse cups. Klopp coined this term kuficha udhaifu wa kwamba hana kikosi kikubwa.

Spurs kwa kuona conference league ni mickey mouse cup wameamua kujitoa. Nyinyi mbona hua hamjitoi?
 
Msimu mwingine bila kombe kwa upuuzi wa KLOPP.
Kwamba EPL apewe kipara ama.

Kwa hili nasimama na Klopp ndugu.
Tuna mechi za EPL 3 kali balaa tazama hapa...
Tuna mechi 26/12/21 vs Leeds
Tuna mechi 28/12/21 vs Leicester
Tuna mechi 2/1/22 vs Chelsea.

Je unakumbuka ile gemu ya Champions League msimu uliopita alivyoumia Jota tena tukiwa tume qualify na lile jeraha lakaja kutu cost parefu sana msimu uliopita... Hivyo Klopp lazima ajue priority kwa sasa ni EPL na UCL huku kwingine ni mara FA au Carabao ni kujikongoja hivi hivi...

Mkuu Mimi nakuhakikishia hapa nikiwa kama shabiki wa Liverpool, Klopp hamtoi Pep pale juu na kama huamini subiri Game ya Leicester city na Chelsea utajua Gap letu na City litakuwaje.
 
Kwamba EPL apewe kipara ama.

Kwa hili nasimama na Klopp ndugu.
Tuna mechi za EPL 3 kali balaa tazama hapa...
Tuna mechi 26/12/21 vs Leeds
Tuna mechi 28/12/21 vs Leicester
Tuna mechi 2/1/22 vs Chelsea.

Je unakumbuka ile gemu ya Champions League msimu uliopita alivyoumia Jota tena tukiwa tume qualify na lile jeraha lakaja kutu cost parefu sana msimu uliopita... Hivyo Klopp lazima ajue priority kwa sasa ni EPL na UCL huku kwingine ni mara FA au Carabao ni kujikongoja hivi hivi...

YNWA
tumewapangia kikosi dhaifu, na kwenye ligi usidhani tutawafunga kirahisi kisa tumepumzisha watu
 
Let's the young Reds express themselves...

Leicester the better team...

No coincidence we are behind Rodgers want this trophy than we do and who can blame him they got the FA last season wakiwafunga Chelsea Mei 2021 hivyo na hili wachukue tu sababu kupambania EPL wamechemka msimu huu.

So you are coming with the excuse that you don't what this trophy right?then which one are you going to win because we all know that man city will win Epl.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom