Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Nina imani ndugu tunakwenda jino kwa jino yaaani wasituzidi pointi nyingi mpaka tunamaliza February tukiwa tupo within kwa pungufu ya pointi 6 basi ndugu nitaamini lolote linawezekana..Mkuu Mimi nakuhakikishia hapa nikiwa kama shabiki wa Liverpool, Klopp hamtoi Pep pale juu na kama huamini subiri Game ya Leicester city na Chelsea utajua Gap letu na City litakuwaje.
Pep wako moto sana lakini wanafungika hilo linajulikana...
Kwa hizo gemu ulizotaja ni maombi yangu tu VVD, Fabinho wawe wamerejea na pia tusiwe na covid mpya...
YNWA
