Albaab
JF-Expert Member
- Jun 6, 2015
- 1,606
- 2,280
Na hiyo ndo inavyotakiwa, hata yule Rangnick wa utd anaonekana faru kwelikweli sizani Kama ronaldo atajaribu umachinoo pale.Upo sahihi sio tu wachezaji pale Ethad Pep aliwachomoa jamaa zake wengi tu kwenye management kutoka Barcelona..
Pep pale Ethad anakua na say ya mwisho kuhusu recruitment na kwa sababu pesa ipo wala hilo haliumizi kichwa na ndio maana Pep hua mtata sana pale wachezaji wanaleta za kuleta kutofuata protocol maana wapo answerable kwake mpaka kwenda klabu nk...
Yaya Toure, Kompany, David Silva, Aguero ni baadhi tu ya wachezaji walioodelewa na Pep pale Manchester City wakiwa bado wanacha ku offer uwanjani lakini Pep alitaka ku stamp his authority ni wale wakiwa senior figures kuna namna ya ku deal nao na vitu hivyo ambavyo Pep dont give a shit yeye anataka supreme authority period...
YNWA
Unaambiwa hata Tuchel nae ni gaidi kwelikweli akikuchukia utatamani ujifukie ardhini mwenyewe!@