King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,461
- 7,456
Shida ya klopp ni emotional guy alitakiwa awe very calculated likewise Pep Guardiolla,
Rajabu Omari nilimwambia pep is a perfect thinker, Afcon inawachukua outlets wawili Mane & Salah, Sasa Van dijk anacheza kwa nani tena zile Long press breaking passes? Hapo ndio Pep anapoCapitalize, No wonder why klopp anaenda kwa RaphinhaView attachment 2050287
ingetumika var vzuri ...
Kane angekula red card ...
Goli la pili la robbo lingekataliwa ,Salah alishika mpira ...
Foul ya jota ingekuwa penalty .....
Robbo angepata red card kama alivopata ...
Game ilikuwa na pressure mno referee kajitahidi ....
Spurs kunakitua wanakitaka ,wanataka top 4 ....
Duuh umerejea at last ndugu aisee...@Captain Marvelous mwamba niajeeeeeee!
Nasubiri tuendelee na nondo mkuuDuuh umerejea at last ndugu aisee...
Habari za siku tele...
Sijambo sana kaka kwa baraka tosha za Allah...
Karibuni tena jamvini tupo na Liverpool yetu tunajikongoja kumfukuza kipara..
Hatimae Mikel naona anaeleweka zaidi na vijana.. Martineli bonge la talent hopefully majeruhi yatampita mbali sanaaa....
YNWA
Kaka harakati tu za maisha ila tupo tunapambana,Duuh umerejea at last ndugu aisee...
Habari za siku tele...
Sijambo sana kaka kwa baraka tosha za Allah...
Karibuni tena jamvini tupo na Liverpool yetu tunajikongoja kumfukuza kipara..
Hatimae Mikel naona anaeleweka zaidi na vijana.. Martineli bonge la talent hopefully majeruhi yatampita mbali sanaaa....
YNWA
Ila Mikel amefanya clean ya nguvu sana pale kwa haraka haraka ni ngumu kuelewa kazi yake..Kaka harakati tu za maisha ila tupo tunapambana,
Yaaaah na ni vema zaidi akikimbizwa kwa faida[emoji122]
kwa upande wetu bado ni mchakato unaendelea ,project ya mikel inaonesha itawapa watu tabu sana humu ikikamilika maana sasa ndio kwanza ipo 49%
[emoji847]Hey Kopites nimekusoma...
YNWA
Kumbe kua Captain wa England hata VAR inakuogopa jamani....
Salah mapema sana achukue tuzo yake.