Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sina shaka kabisa na kikosi kwenye UEFA, 8 Bora tunapita, yaani kufika robo ni 3.14 hata kama waje PSG
Mzeee psg wakikuamkia vzuri ,hutaamini mzeee [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kwenye football kauli za nanma hii huwa huwezi zikuta kwa watu wenye akili timamu wanaofuatili na kuaangalia mpira ....!

Match ni February ,unajua Liverpool atakuwa na form gani ?...

Unajua namna timu zitakuwa zimejijenga mpaka February ?


Psg alimtoa buyern mwaka Jana ,tena alikuwa kwenye form buyern ....

Niseme tu ukishafika knock out stage ,usijiamini 100%
 
Don bro mimi naitaka hiyo jezi bana inabidi uongeze nafasi moja ya upendeleo πŸ˜‚πŸ˜‚.

I hope all is well kaka.
 
Sisi tukianza ushindi tutavululiza game Kama 15 Hivi ni kushinda tu. Tumeanza kwa Leeds ..angalia Moto tutakaopeleka Hadi ligi imalizike lazima mojawapo ya kombe Kati ya EPL au/na uefa tunyanyue mzeeπŸ˜€πŸ˜€

Sisi tumepata injuries wachezaji wa muhimu Sana..nyie tuseme akiumia salah au vvd tu so mutapoteana kabisa. Imagine wachezaji karibu nane wa kikosi cha Kwanza wote majeruhi
Tukimaliza hii desemba salama ..bas nawahakikishia mujiandae kisaikolojia hapo May πŸ˜€πŸ˜€

#CFCπŸ’™πŸ’™πŸ’™
 
Hili li timu hata nikipewa ten million nilishabikie ..aise nakataa iyo ngawira wazi wazi kwa jinsi navyochukia hili li timu litakataka kabisa ushindi wa kubebwa bila penati ninyi kuku hamushindi kabisa.
#CFCπŸ’™πŸ’™πŸ’™
 
Mwaka jana tulikuwa na majeruhi karibia nusu ya kikosi chote ila tulimaliza above nyie
 
Don bro mimi naitaka hiyo jezi bana inabidi uongeze nafasi moja ya upendeleo πŸ˜‚πŸ˜‚.

I hope all is well kaka.
Achana na hii livakuku weweπŸ˜€πŸ˜€ ..chukua uzi mkali kuliko wote, Uzi unakimbiza kwa uzuri na kwa ubora Uzi wa mabingwa wa Ulaya kwa misimu mitano ijayo mfululizo ..#TheBlues hakika hutojutia pesa yako kuvaa Brand kubwa Kama ya Chelsea.
#CFCπŸ’™πŸ’™πŸ’™
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…