Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Oh
Hiyo mechi aliyofunga goli sikuangalia ,itabidi niicheki.

Tuendelee mkuu
Nafurahi sana kusoma maandishi yako.
Leo tupo na beki bora Duniani kwa sasa..

Virgil van Dijk..
Amezaliwa 8/7/1991 eneo la Brenda Uholanzi.

Babake anaitwa Ray Van Dyke na Mamake ni Ruby Helen Van Dyke. Babake ni Mholanzi na Mamake ni Msurinamese. Babake aliachana na mamake VVD akiwa mdogo na baba alianza kurejea nyumbani pale VVD alipoaanza kujulikana na kua tajiri.

Maisha ya huyu mwamba ya utotoni yalikua yashinda kubwa sana kiafya kwani alikua na tatizo la kutokua(retarded growth) na akisumbuliwa na ugonjwa wa tumbo uliofanya alazwe hospitali mara kwa mara. Ugonjwa alilkuja kugudulika ni dangerous Abdominal Abscess.

Baada ya kupona dogo sasa mwili ulikua kwa spidi ya ajabu sana. Kwa wazazi waliona kama muujiza.

Alianza maisha yake ya mpira mwaka 2009 akijiunga Willem II mpaka 2011.

Pale Willem II walijaribu kumuuza kwa timu kongwe kama Ajax nk za Uholanzi lakini timu zilimkataa kabisa. Akiwa hapa alikua anacheza beki wa kulia RB baadae beki wa kati.. Alikua pia anafanya kazi ya part time kuosha vyombo ili kupata ela ya kujikimu.

Mwaka 2009 alijunga na tumu ya vijana Groningen bure ambao walikua kilomita 255 kutoka kwao. Mwaka 2010 aliunga na kikosi cha wakubwa mpaka mwaka 2012 akicheza mechi 66 na kufunga magoli 7. Akiwa hapa Groningen waliwai kumchezesha kama straika April 2011. Akiwa Groningen 2011 aliumwo peritonitis and kidney poisoning na kulazwa hosipotalini na alivyopona akarejea klabuni. Akiwa pale hospitalini walimwambia asaini fomu kabla ya operation ili kama angekufa🙆🏿🙆🏿🙆🏿 hospitali isingepata lawama. Baadae alisema alikaribia kufa. Ugonjwa huu wa bacteria wakali alipata kwa sababu ya kula hovyo na alikiri hilo alivyohojiwa.
Alipona na kurejea klabuni Groningen na kwa vile alishakua amepona kabisa na kuiva powaa aliona ni wakati sahihi kutafuta changamoto mpya. Timu yake walijaribu kumuuza kwa timu za Uholanzi lakini zote zilimkataa. Walimuuza Celtic kwa £2.6m na pia waliweka kipengele cha asilimia 10 kwa mauzo yake baadae.

Mwaka 2013 mpaka mwaka 2015 alijunga na Celtic. Alicheza mechi 115 alifunga magoli 15. Alishinda Scottish Premier league 2013 2014 na 2014 2015.

Mwaka 2015 alijiunga na Southampton alilocheza kwa miaka 3 akifunga magoli 7,alicheza mechi 80. Akiwa hapa timu kadhaa zikiwemo Chelsea, Liverpool, Manchester United nk zilivutiwa nae na kuhutaji kumnunua.

Liverpool walikwama June 2017 kumnunua na kustakiwa kwenye uongozi wa EPL kwa kutaka kutumia njia zisizorasmi kuanzisha mazungumzo na VVD. Hatimae mwaka 2018 January Liverpool walifanikwa kumsajili huyu kisiki kwa rekodi ya dunia kipindi kile £75m.

Akiwa Liverpool ameshinda
*champions league 2019
*Uefa Super Cup 2019
*World club cup 2019
* EPL trophy 2019 2020.

Nataja tuzo chache binfasi alizoshinda..
* PFA Player of the Seaon 2018 2019
*Epl player of the season 2018 2019
*Uefa Men's Player of the Season 2018 2019.
* Uefa Defender of the season 2018 2019.
*Uefa Champions League Squad of season 2017-18, 2018-19, 2019-2020.
* Liverpool Fans Player of the Season 2018 2019.
*Football Supporters Federation Player of the year 2019.
* FIFA FIFPRO WORLD II: 2019, 2020
*Uefa Nations League Finals Team of the Tournament 2019.
*Jamii Forums Liverpool fans Player of the season 2018 2019, 2019 2020 🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂😂😂😂😂😂😂😂😂.

Key points.

*Pamoja na kuumwo alikowai kuumwo huyu dogo hajawai kukataa tamaa ya kucheza mpira na kufika levo za juu kama hizi. Ki ukweli ni kielelezo cha NEVER GIVE UP IN LIFE NO MATTER THE CHALLENGE.

* Staili yake ya uchezaji ni ya kipekee kwani anawafanya pia anaocheza nao safu ya ulinzi kua bora na imara. Nk kiongozi, anajua namna ya kupanga safu yake pale nyuma na hua hakai kimya pale anapoona panatatizo, anapiga pasi za mbali, ni mzuri mipira ya kichwa kwa kufunga na kuziuia, ni mzuri pia kuweka blocks nk

* kama hachezi mpira anapenda kutoka na marafiki, kupumzika beach nk

* ni mkrsto.

* Ana mahusiano /mke na Rike Nooitgedagt. Ni marafiki tangu utotoni wakiwa na umri sawa. Rike aliacha kazi yake nzuri tu na kuhamia Scotland mpenzi wake alivyosajiliwa Celtic. Na baadae akahamia Uingereza alivyohamia Southampton. Mwaka 2014 walipata mtoto wa kwanza wa kike Nila. Historia ya mtoto huyu ilileta balaa Uholanzi kwani VVD alifanya kituko cha karne, baada ya mwamba kuitwa kwa mara ya Kwanza kuchezea timu ya Taifa Uholanzi aliona ili asikose mtoto azaliwe akiwa hayupo ni vyema basi madkatari wamzalishe mkwewe kabla ya kuda waliotarajia kupata mtoto(pre maturity). Mashabiki wengi wa Uholanzi waliponda hiki kitendo hadi kupelekea kocha wa kipindi hicho Guus Hiddink kutompanga mechi hio.

* Akiwa mdogo alipedelea kuwaangilia Barcelona wakicheza.

* kutokana na kulelewa maisha ya kawaida hajasahau alikotoka ni mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima pale Nepal na pia MC Veigh Foundation.

* alikaa nje miezi tisha baada ya kupata jeraha mbaya msimu wa 2020 2021 ugenini Everton.

* Ana miaka 30.

* Anavaa jezi namba 4.

* mkataba wake unaisha 2025. Akilipwa 2
£220,000 kwa wiki.

* amecheza mechi 148 Liverpool akifunga magoli 14.

* Amecheza mechi 44 Timu ya Taifa Uholanzi akifunga magoli 5. Na ndio Kapteni.

* Magari anapendelea brand ya Mercedes ya kifahari kama Mercedes Benz G63 AMG, Mercedes ML Class, Mercedes Viano Van. Magari yake mengi ni rangi nyeusi.

* ana mikataba ya biashara na makumpuni mengi kama vile Dolce & Gabbana Mens Apparel, Nike Sport, Global Ambassador TCP, Face EA Sport Fifa 2020.

YNWA
 
Dah! Nimecheka sana kupita kule kwenye uzi wa chelsea na kukuta wanamlaum na kumuita Lukaku furushi wakati walikuwa wanafurahia mpk wanakuja kututisha kuwa wana bonge la Foward wamelitoa Intermilan . Na msim huu walidai atafunga magori mengi chelsea bhana wanajua kufurahisha
 
Leo tupo na beki bora Duniani kwa sasa..

Virgil van Dijk..
Amezaliwa 8/7/1991 eneo la Brenda Uholanzi.

Babake anaitwa Ray Van Dyke na Mamake ni Ruby Helen Van Dyke. Babake ni Mholanzi na Mamake ni Msurinamese. Babake aliachana na mamake VVD akiwa mdogo na baba alianza kurejea nyumbani pale VVD alipoaanza kujulikana na kua tajiri.

Maisha ya huyu mwamba ya utotoni yalikua yashinda kubwa sana kiafya kwani alikua na tatizo la kutokua(retarded growth) na akisumbuliwa na ugonjwa wa tumbo uliofanya alazwe hospitali mara kwa mara. Ugonjwa alilkuja kugudulika ni dangerous Abdominal Abscess.

Baada ya kupona dogo sasa mwili ulikua kwa spidi ya ajabu sana. Kwa wazazi waliona kama muujiza.

Alianza maisha yake ya mpira mwaka 2009 akijiunga Willem II mpaka 2011.

Pale Willem II walijaribu kumuuza kwa timu kongwe kama Ajax nk za Uholanzi lakini timu zilimkataa kabisa. Akiwa hapa alikua anacheza beki wa kulia RB baadae beki wa kati.. Alikua pia anafanya kazi ya part time kuosha vyombo ili kupata ela ya kujikimu.

Mwaka 2009 alijunga na tumu ya vijana Groningen bure ambao walikua kilomita 255 kutoka kwao. Mwaka 2010 aliunga na kikosi cha wakubwa mpaka mwaka 2012 akicheza mechi 66 na kufunga magoli 7. Akiwa hapa Groningen waliwai kumchezesha kama straika April 2011. Akiwa Groningen 2011 aliumwo peritonitis and kidney poisoning na kulazwa hosipotalini na alivyopona akarejea klabuni. Akiwa pale hospitalini walimwambia asaini fomu kabla ya operation ili kama angekufa hospitali isingepata lawama. Baadae alisema alikaribia kufa. Ugonjwa huu wa bacteria wakali alipata kwa sababu ya kula hovyo na alikiri hilo alivyohojiwa.
Alipona na kurejea klabuni Groningen na kwa vile alishakua amepona kabisa na kuiva powaa aliona ni wakati sahihi kutafuta changamoto mpya. Timu yake walijaribu kumuuza kwa timu za Uholanzi lakini zote zilimkataa. Walimuuza Celtic kwa £2.6m na pia waliweka kipengele cha asilimia 10 kwa mauzo yake baadae.

Mwaka 2013 mpaka mwaka 2015 alijunga na Celtic. Alicheza mechi 115 alifunga magoli 15. Alishinda Scottish Premier league 2013 2014 na 2014 2015.

Mwaka 2015 alijiunga na Southampton alilocheza kwa miaka 3 akifunga magoli 7,alicheza mechi 80. Akiwa hapa timu kadhaa zikiwemo Chelsea, Liverpool, Manchester United nk zilivutiwa nae na kuhutaji kumnunua.

Liverpool walikwama June 2017 kumnunua na kustakiwa kwenye uongozi wa EPL kwa kutaka kutumia njia zisizorasmi kuanzisha mazungumzo na VVD. Hatimae mwaka 2018 January Liverpool walifanikwa kumsajili huyu kisiki kwa rekodi ya dunia kipindi kile £75m.

Akiwa Liverpool ameshinda
*champions league 2019
*Uefa Super Cup 2019
*World club cup 2019
* EPL trophy 2019 2020.

Nataja tuzo chache binfasi alizoshinda..
* PFA Player of the Seaon 2018 2019
*Epl player of the season 2018 2019
*Uefa Men's Player of the Season 2018 2019.
* Uefa Defender of the season 2018 2019.
*Uefa Champions League Squad of season 2017-18, 2018-19, 2019-2020.
* Liverpool Fans Player of the Season 2018 2019.
*Football Supporters Federation Player of the year 2019.
* FIFA FIFPRO WORLD II: 2019, 2020
*Uefa Nations League Finals Team of the Tournament 2019.
*Jamii Forums Liverpool fans Player of the season 2018 2019, 2019 2020 .

Key points.

*Pamoja na kuumwo alikowai kuumwo huyu dogo hajawai kukataa tamaa ya kucheza mpira na kufika levo za juu kama hizi. Ki ukweli ni kielelezo cha NEVER GIVE UP IN LIFE NO MATTER THE CHALLENGE.

* Staili yake ya uchezaji ni ya kipekee kwani anawafanya pia anaocheza nao safu ya ulinzi kua bora na imara. Nk kiongozi, anajua namna ya kupanga safu yake pale nyuma na hua hakai kimya pale anapoona panatatizo, anapiga pasi za mbali, ni mzuri mipira ya kichwa kwa kufunga na kuziuia, ni mzuri pia kuweka blocks nk

* kama hachezi mpira anapenda kutoka na marafiki, kupumzika beach nk

* ni mkrsto.

* Ana mahusiano /mke na Rike Nooitgedagt. Ni marafiki tangu utotoni wakiwa na umri sawa. Rike aliacha kazi yake nzuri tu na kuhamia Scotland mpenzi wake alivyosajiliwa Celtic. Na baadae akahamia Uingereza alivyohamia Southampton. Mwaka 2014 walipata mtoto wa kwanza wa kike Nila. Historia ya mtoto huyu ilileta balaa Uholanzi kwani VVD alifanya kituko cha karne, baada ya mwamba kuitwa kwa mara ya Kwanza kuchezea timu ya Taifa Uholanzi aliona ili asikose mtoto azaliwe akiwa hayupo ni vyema basi madkatari wamzalishe mkwewe kabla ya kuda waliotarajia kupata mtoto(pre maturity). Mashabiki wengi wa Uholanzi waliponda hiki kitendo hadi kupelekea kocha wa kipindi hicho Guus Hiddink kutompanga mechi hio.

* Akiwa mdogo alipedelea kuwaangilia Barcelona wakicheza.

* kutokana na kulelewa maisha ya kawaida hajasahau alikotoka ni mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima pale Nepal na pia MC Veigh Foundation.

* alikaa nje miezi tisha baada ya kupata jeraha mbaya msimu wa 2020 2021 ugenini Everton.

* Ana miaka 30.

* Anavaa jezi namba 4.

* mkataba wake unaisha 2025. Akilipwa 2
£220,000 kwa wiki.

* amecheza mechi 148 Liverpool akifunga magoli 14.

* Amecheza mechi 44 Timu ya Taifa Uholanzi akifunga magoli 5. Na ndio Kapteni.

* Magari anapendelea brand ya Mercedes ya kifahari kama Mercedes Benz G63 AMG, Mercedes ML Class, Mercedes Viano Van. Magari yake mengi ni rangi nyeusi.

* ana mikataba ya biashara na makumpuni mengi kama vile Dolce & Gabbana Mens Apparel, Nike Sport, Global Ambassador TCP, Face EA Sport Fifa 2020.

YNWA
Jamii Forums Liverpool fans Player of the season 2018 2019, 2019 2020 .

Hahhaha Mwamba umeua

........._______________________

Historia yake imenisisimua.
Ina mchanganyiko wa hisia..
Yote kwa yote Mungu aendelee kumtunza VVD

Huwa nafurahi sana nikimuona uwanjani.
Najua nyavu yetu ipo salama.
 
Ukuta imara unakupa ubingwa na makombe na bila shaka huyu mwamba anaufanya ukuta wetu kua ngangari na makombe amesaidiana na wenzie kutuletea hapa Anfield...

Coutinho = Allison + VVD
Allison + VVD = UCL Champions, Club World Cup and EPL 🏆.

YNWA
 
Ukuta imara unakupa ubingwa na makombe na bila shaka huyu mwamba anaufanya ukuta wetu kua ngangari na makombe amesaidiana na wenzie kutuletea hapa Anfield...

Coutinho = Allison + VVD
Allison + VVD = UCL Champions, Club World Cup and EPL .

YNWA
Jamaa anazuia huyu
Akicheza huyu ,na Trend,
Hata mimi nikipewa namba kati lazima tushinde

Jamaa ni mpambanaji na hakukata tamaa licha ya changamoto zote alizopitia
Mungu na azidi kumbariki.

Tuendelee na nondo mkuu
 
hawa liverpool wasipokuwa makini leo watatoka uwanjani wanachana chana hayo manguo ya Gerald waliyoingia nayo uwanjani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom