Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naomba app nzuri ya kuangalizia match.

Jana nimeangalia kwa tabu sana.
Install hii app huwa haisumbui hata kidogo.
Screenshot_20211202-182630_Google%20Play%20Store.jpg
 
Dah! Sema tu Liverpool huwa hatupo serious unaweza shangaa tim nyingine inamchukua alafu sisi tunaishia kubung'aa
Screenshot_20211202-183407_Facebook.jpg
 
Ndio maana jana mashabiki wa Everton wakawa hivi..... Yaaani hata kabla ya lawama kwa Benetiz unakosa aje kutoa lawama kwa board ya Everton sijui wameishiwa ela ama vipi.

Jana pia Anger was also director at Marcel Brands and Bill Kenwright with chants of ‘sack the board’ also ringing around Goodison.

The anger directed towards the directors may force the club’s hierarchy into a change.

Katika dirisha la August 2021 Benetiz hakua backed, he got £1.7million only to spend. He brought in Andros Townsend, Demarai Gray and Rondon. Yaani alitumia contact zake kuleta wachezaji. Hakua backed na mkwaja wa maana.

Benetiz ni victim of being where he is in the wrong time.

YNWA

Benitez tangu amuuze Alonso mpaka leo kila timu lazima afukuzwe tu hawezi kukakaa muda mrefu,me nasemaga laana yakumuuza Alonso bado inamuandama maana Baada ya hapo hajawahi kuwa kocha Bora tena.
 
Benitez tangu amuuze Alonso mpaka leo kila timu lazima afukuzwe tu hawezi kukakaa muda mrefu,me nasemaga laana yakumuuza Alonso bado inamuandama maana Baada ya hapo hajawahi kuwa kocha Bora tena.
Duuh Legend Rafael ana hali mbaya sana karidhi matatizo makubwa sana pale Everton na pia majeruhi waliopo kwake nako pigo aisee... Walianza vizuri sana huu msimu sasa gemu ya 8 bila ushindi aisee ndio maana sasa mashabiki wanamzomea aisee.

Upo uwezekano wakamtoa kafara.

Hahaha hili la Alonso kama kweli basi kwa vile wote ni Wahispania wamalizane wenyewe....

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom