Ungeangalia na tokeo hapo ubaoni ungetia mzigo mapemaNamuona The Brain katika ubora wake.
YNWA
Naona upo macho mpaka we paint Goodison Park kote in Red...
So far so good.
Tupo live kwenye channel mahususi kabisa ya EPL 223 Super Sport.
YNWA


Hahahaha noma ndugu.Ungeangalia na tokeo hapo ubaoni ungetia mzigo mapema
Mambo ni 🔥 🔥 🔥 🔥 tumeanza festive busy season kwa ushindi murwa sana.
Sikumalizia match ila naona vijana walimaliza vizuri mno,waliendeleza kichapoMambo ni![]()
![]()
![]()
tumeanza festive busy season kwa ushindi murwa sana.
YNWA

Jana ilikua mechi muhimu sana.Sikumalizia match ila naona vijana walimaliza vizuri mno,waliendeleza kichapo
Wacha leo nifanye kazi ya kuangalia marudio.
YNWA![]()
kwa mara ya kwanza baada ya miaka 39 kupita tumewafunga Everton magoli 4 Goodison Park. Mara ya mwisho kuwafunga goli nyingi ilikua chini ya Paisley tukiwafunga goli 5 pale Goodison Park.
Rafae Benitez ndio meneja wa pili kufundisha hizi timu mbili. Akiwa kwanza Meneja wa Liverpool 2004 mpaka 2010 na hatimae sasa ni Meneja wa Everton.
Meneja wa mwisho kufundisha timu hizi mbili ilikua ni karne ya 19 akiwa ni William Edward Barclay alikua meneja wa Everton mwaka 1888 mpaka 1889. Na kufundisha Liverpool mwaka 1892 mpaka 1896.
Ni miaka 11 sasa Liverpool hajapoteza mechi ugenini Goodison Park.
Klopp kasema ndio ushindi wake wa kwanza murwa sana dhidi ya Everton.
Ni hatariJana ilikua mechi muhimu sana.
Fact za jana ni..
YNWA

I love youSikumalizia match ila naona vijana walimaliza vizuri mno,waliendeleza kichapo
Wacha leo nifanye kazi ya kuangalia marudio.
YNWA![]()

Nilisikia mashabiki wakiimba " Rafa at the wheel"Hahahaha noma ndugu.
Home Boy aka Rafa jana yamemkuta.
YNWA
lile bao ni impossible angle kabisa🔥🔥🔥🔥🔥😆😆😆😆😆😆Jotaaaaaa
Wooow what's a hit pure forward instinct...
Kama kawa bila goli nne hatupoi kabisaaaa....
YNWA
Lile goli alilofunga ....khatar Sana,mwepesi mnooKijana wangu Jota naona yupo vizuri sana msim huu.
I love you more sweetheartI love you![]()
