Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,427
- 11,151
Yaaa tunahitaji goli moja to a game... Naamini tutalipata tu..Backline naona wamekua wazito, wame relax.. tunahitaji goli jingine.. Jamaa wana shida sana na hii mechi
Yaaa tunahitaji goli moja to a game... Naamini tutalipata tu..Backline naona wamekua wazito, wame relax.. tunahitaji goli jingine.. Jamaa wana shida sana na hii mechi
Hahaha lol mpaka Henderson anawala chenga jamani Goodison kumenoga sana.
YNWA

Hahaha msimu huu anajiamini zaidi huyu dogo tofauti kabisa na misimu mengine..Mkuu me mpaka nikashangaa hapa![]()
Hivi kwanini mashabiki wengi wa Liverpool ni wazaramo?Kama una Super Sport watakua live channel za farmers league...
YNWA
Kafunga goli na katoa assist hahahaha hapana chezea Le Captain jamani..Mkuu me mpaka nikashangaa hapa![]()

Link wakuu naona hesgoal kazi imewashinda