Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Hili sio jukwaa la mapenzi na mahusiano mseeeI love you more sweetheart![]()
Hili sio jukwaa la mapenzi na mahusiano mseeeI love you more sweetheart![]()
Punguza bangi ukapambane na timu lako.Hili sio jukwaa la mapenzi na mahusiano mseee
Hahaha huo wimbo originally ni wa mashabiki wa Manchester United ukiwa na tunes za Stone Roses..Nilisikia mashabiki wakiimba " Rafa at the wheel"
lile bao ni impossible angle kabisa
Chelsea kule wanatafutana kutokana na majeruhi walio nayo wakati huo wao walikuwa wanatuombea mabaya sisi kuwa mara tutapata majeruhi. Trevoh Chaloba nae majeruhi kule ukimuombea mabaya mwenzako ndio yanakukuta mwenyewe.

Utasikia kajamaa ....Liverpool tunaenda kuchukua epl na uefa ....
Unabaki unasemaaa hiiiiiiiiiiii...
.Ndio maana jana mashabiki wa Everton wakawa hivi..... Yaaani hata kabla ya lawama kwa Benetiz unakosa aje kutoa lawama kwa board ya Everton sijui wameishiwa ela ama vipi.
Sana aisee tukimpata na yule baunsa wa wolves atatuongezea makali aiseeLile goli alilofunga ....khatar Sana,mwepesi mnoo
Wale jamaa huwa wanahasira balaa anyway hatuwezi jua sio kisa walitupiga sisi ndio wawapige na chelsea lolote laweza tokea, msingi nafurahi Liverpool kwa sasa inakuwa tim hatari sana.Mechi ijayo wako na westham![]()
Mkuu sisi kupata matokeo kama hayo ni kawaida hatuwezi kuwa na kelele za namna hiyo,
Wale ambao hawajawahi kupata matokeo kama hayo ndio wanakuwa na kelele hizo.


umempa jibu zuri sana asitutambie na ka man city kake hako.Hatari sana

Yaah city niumempa jibu zuri sana asitutambie na ka man city kake hako.

🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Tupoo vizuri na by the way kuna lose ends here and there by the time Klopp and his boys make its compact mbona watakimbiana aisee...Hatari sana
Tunawanyoosha tu watu na hii timu.
Naomba app nzuri ya kuangalizia match.Tupoo vizuri na by the way kuna lose ends here and there by the time Klopp and his boys make its compact mbona watakimbiana aisee...
YNWA
Hofu YANGU ni mwezi January pale mane,Salah na keita watakapokuja AFCONkwa ushindi wa jana ni kwamba tumewasha taa ya kijani kuonesha msimu huu tunautaka ubingwa