Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Soon watakwambia Reece James,maana ndio anaongoza kwa mogoli mengi kwenye timu yao ana magoli 4,Sio lukaku tena lukaku kabla ya kuumia alicheza mechi 6 bila kufunga goli lolote mashindano yote sana karudi wamesahau walipoishia.

Sasahivi kila unapopita utasikia wanamfananisha TAA na Reece kama eti yule Awilolongomba wao awe bora kuliko TAA 😂

TAA ambaye huu ni MSIMU WA 5 ameshaprove ubora wake na kuwa na CONSISTENCY anafananishwa na Awilolongomba ambaye hajatimiza hata Nusu Msimu.

Dah! Rent Boys wana visa kweli.
 
Adjustments.jpg
 
Kesho ligi inaanza rasmi Sasa ..
Mwanangu SG8 pia uwanjani

YNWA

Screenshot_20211129-063426_1.jpg
 
Kumbe ka moyo kana wadunda.

Kila mtu ashinde mechi zake.hiyo game nitaenda kuiangalia nione mbinu za SG8.
 
Hao ni swala la muda tu wataanza kuelewa kuwa wao ni wakawaida sana,huko tunapoendea ndio wataanza kujiona,maana wanakuwaga wabishi sana.

Timu yao hakuna mchezaji wakututisha Kabisa pale yaani twende uwanjani tuogope kama vile akiwa messi uwanjani.

Na wasiwasi hata kwenye klabu bingwa dunia wataenda kutia Aibu hawa kama walivyotiaga Aibu.
Kinacho wasumbua Liverpool ni ubinafasi,mnajiona kuwa nyinyi tu ndo timu bora timu zingine haziwezi kuwa bora wala hazistahili kufanikiwa kama nyinyi,acheni wivu wenu wakike.
 
1st Winter Signing...

World Cup-winning goalkeeper Claudio Taffarel has joined Liverpool's coaching staff.

The former Brazil stopper, who won the World Cup in 1994, will link up with John Achterberg and Jack Robinson to work with the club's goalkeepers.

Taffarel, 55, won 101 caps for Brazil and had stints in Europe with Parma and Galatasaray, winning two league titles and a UEFA Cup with the latter.

YNWA
 
Kinacho wasumbua Liverpool ni ubinafasi,mnajiona kuwa nyinyi tu ndo timu bora timu zingine haziwezi kuwa bora wala hazistahili kufanikiwa kama nyinyi,acheni wivu wenu wakike.
Roho mbaya km nini....liverkuku nyingine ikasema Chelsea hawana world-class player. .Hz jamaa zina husda

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Wao wana Lukaku sisi tunaenda kumchukua Adama traore shida iko wapi?
 
Kinacho wasumbua Liverpool ni ubinafasi,mnajiona kuwa nyinyi tu ndo timu bora timu zingine haziwezi kuwa bora wala hazistahili kufanikiwa kama nyinyi,acheni wivu wenu wakike.
Bring facts. Stop crying mtoto wa kiume wewe
 
Developing Gossip..

Adama Traore bei imeporomoka sana kwa £20m hakika atue mapema tu.

Ni proper back up na 1 for the future pia.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom