Safi sana1st Winter Signing...
World Cup-winning goalkeeper Claudio Taffarel has joined Liverpool's coaching staff.
The former Brazil stopper, who won the World Cup in 1994, will link up with John Achterberg and Jack Robinson to work with the club's goalkeepers.
Taffarel, 55, won 101 caps for Brazil and had stints in Europe with Parma and Galatasaray, winning two league titles and a UEFA Cup with the latter.
YNWA
Acheni ujinga wa kumpa pressure Klop, akija huyu jamaa mwaweza mtukana sana, lampard aliipenda chelsea ila alikuwa shitty coachWhat do you see? [emoji23][emoji23]
View attachment 2026481
Yes nakujaI love you babe[emoji8]
Nina ujumbe wako Pm.
Ukiachana na akina Alison kuna dogo mmoja pale Liverpool jina Marcelo Pitaluga ana miaka 18 ni kipa kutoka Brazil huyu bwana mdogo ni very highly regarded actually anaonekana ndio mridhi wa Allison sasa kaletewa mwalimu sahihi kabisa kutoka huko huko Brazil imekaa powa sana hii.Safi sana
Wanamrahisishia kazi Klopp , lakini pia wanamtengenezea njia safi SG8 ili aje akute benchi zuri la ufundi.
Salama Mkuu Don.Greetings to you guys.
It's Derby Day.
All the best to the Lads and The Family.
YNWA.
Salama Mkuu Don.
Tuna jambo letu kwenye derby leo.
Benitez anasema he is full blue hivyo tutakwenda mazima pale bila huruma.. Japo wapo vimbaya sana maana mechi 8 hajashinda hata moja. Amepigwa 6 na ku droo 6.
YNWA
Ni saa 5 eeh??
Naona upo macho mpaka we paint Goodison Park kote in Red...Ni saa 5 eeh??
Kama una Super Sport watakua live channel za farmers league...Game ya Chelsea imehairishwa nn?