Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

What do you see? 😂😂
IMG-20211128-WA0014.jpg
 
Hongera na wewe mkuu kwa kupata hiyo point moja imekuwaje tena wewe ndio champion of Europe unashindwa kumfunga nyumbu na wakati kila timu inajipigia hapo?

Au ndio wameshaanza kuwajulia?
Moira unadunda, unaweza kumbuka ile siku Aston Villa anaifunga Liver goli 7? Ilimfikisha popote? Tumeteleza kwenye umaliziaji tunakwenda kuyafanyia kazi.
Let's meet next match.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom